Muimbaji wa zamani wa Blue 3 Jackie Chandiru hoi kwa madawa ya kulevya

umaarufu unakuja na pressure na expectations kubwa sana kutoka kwa jamii inayomzunguka msanii, sasa wakishindwa kuishi kuendana na huo umaarufu wao ndio wanakua frustrated na kukimbilia kujipooza na madawa ya kulevya

Wakati wa show ndio huingizwa na wajanja kwenye haya madawa.Kupata mzuka anashangaa aliperform vizuri bila nishai zaidi kurudia kutumia next time, ndio maana unaona wale waigizaji hili tatizo sio sana.
mwisho wanamuambia ile iliyokusaidia siku ile ilikuwa unga, keshaingia hatoki tena.
 
utakuwa unawapa habari wadaku kila siku, mwisho wa siku ule udaku unawekewa na chumvi na watu wanaamini, unakuumiza na unaathiri na kazi yako hadi unawaza ningejua nisingeruhusu mtu kujua nilivyo kiuhalisia
Mfano me ninajua kabisa uwezo wangu mdogo, napanga tu room yangu self contained, kagari kangu kakawaida, nikiingia nimeingia nikitoka nimetoka, tena napunguza mishemishe zisizo za kazima, namtafuta dereva tax wangu kama nikitaka kubadilisha gari, pia kila ninachokipata nakitumia kwa akili, mademu najua watanitaka wenyewe tu, akijileta analiwa tena gharama aingie mwenyewe sababu gheto kwangu hakuna kuingia kijingajinga, shida nn mkuu nikicheki tv ni news na vipindi vya kujenga, magazeti sinunui ya udaku na pia nawapiga beat washikaji sitaki kuhadithiwa utumbo wwte ulioandikwa kuhusu mimi, nakuwa busy kuandaa project zangu, stress zinatoka wapi hapo
 
you making it look very easy lakini kiuhalisia haipo hivi, kuna makundi na makundi ya washiaji watakua wanakujia home, waandishi wa habari, utajaribu kuwaepuka ila mwishoni utakubali tu
 
Ukijipanga inawezekana tu, waandishi wa habari waje tu na sitaficha kitu mkuu
 
Tunajaribiwa kwa tamaa zetu wenyewe. Huyo binti asilaumiwe, asaidiwe.
 
Daaaa uyu demu masikini aisee kawa kama kizee sura haieleweki alaaniwe anae tengeneza na wanao sambaza hii midude nyie wasanii ishini maisha yenu msiige ya ugaibuni mtakwenda na sembe wotee
 
Black Beautiful Mmoja Matata Sana Anapotea Kisa Sembe, Kwel Poda Ni Janga Kwa Kizazi Kilichopo Na Kijacho.
 
Daaaa uyu demu masikini aisee kawa kama kizee sura haieleweki alaaniwe anae tengeneza na wanao sambaza hii midude nyie wasanii ishini maisha yenu msiige ya ugaibuni mtakwenda na sembe wotee
whiteney houston, wine house, mary j blige, T.I. lil wayne eminem n.k nao ni wa majuu.
 
Back
Top Bottom