Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu wana msemo wao curiosity killed the cat.
Maana tunajaribiwa kwa tamaa zetu wenyewe. ...mbona hatuonji sumu
whiteney houston, wine house, mary j blige, T.I. lil wayne eminem n.k nao ni wa majuu.
sawaMary J. Blige naukubali sana na Be without you
Kwani huo muziki wao unamtukuza nani? Hiyo ndio 'amani' na 'furaha' anayoweza kutoa huyo wanayemtukuza.Ninaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...
Gold digger ilikuwa hit songI'm not a gold digger..... Duuh anatia huruma jamani, Mungu amsaidie
Yap!Kiruuu majanga tatizo LA mziki una uvuvio sijui wa kishetani ukichangia na kuiga kujichora hyo mitatoo hawajui ndo hujiingiza matatizoni. Pole yake