Muimbaji wa zamani wa Blue 3 Jackie Chandiru hoi kwa madawa ya kulevya

Muimbaji wa zamani wa Blue 3 Jackie Chandiru hoi kwa madawa ya kulevya

Nimesikitika mno
nyimbo yake ya Shamim naikubali hadi kesho yaani,,
 
Ninaanza kuhisi hii fani ya muziki ina laana ya kipekee. Haiwezekani zaidi ya asilimia hamsini ya wasanii wa muziki maisha yao 'hayaeleweki heleweki'. Yani ni kuanzia kwenye ndoa, matumizi ya madawa n.k...
Ni wakati wa kila anayetaka kuingia kwenye fani hii kujitathmini tena na tena...
Kwani huo muziki wao unamtukuza nani? Hiyo ndio 'amani' na 'furaha' anayoweza kutoa huyo wanayemtukuza.
 
Kiruuu majanga tatizo LA mziki una uvuvio sijui wa kishetani ukichangia na kuiga kujichora hyo mitatoo hawajui ndo hujiingiza matatizoni. Pole yake
Yap!
Muziki ni roho!
Una annointing yake kabisa!
So inategemea unamuimbia nani.....
Plus tatoo nazo zina roho nyuma inayokusukuma uchore hayo madude!
 
Back
Top Bottom