Muimbaji wa zamani wa Blue 3 Jackie Chandiru hoi kwa madawa ya kulevya

Michael Jackson, Whitney Houston, Brenda Fassie, Ngwea, ......
Hii fani hii fani!!!!
 
Inasikitisha sana, na vita ni ngumu kuliko ya ugaidi kuyamaliza haya maunga ni kwa nguvu ya sala tu.
 
Uwiiiiiiii jamani Jackie Chandiru na wimbo wale wa gold digger naupendaje?
Mungu akusaidie upone mapema Dada.
Amen
 
Wabaya ni wale wanaoingiza madawa kuja kuteketeza vijana wetu.
 
duh maskini kati ya wote huyu ndie alisimama imara na kusonga mbele, hatari sana hapo I hope Cindy yeye hatumii maana yupo waruwaru mda wote mmh
 
Duuh haka kademu nilikuwa natamani sana nikatie, ila sasa no way siwezi sio kwa hali iyo..
 
duh maskini kati ya wote huyu ndie alisimama imara na kusonga mbele, hatari sana hapo I hope cindy yeye hatumii maana yupo waru waru mda wote mmh
Hivi ndo huyu aliolewa na mzungu ka miaka miwili?
 
Duh!! Wimbo wake wa Gold digger niliupenda sana. Ila haya madawa haya!!! Mungu atuepushe na hili janga na amsaidie huyo Binti apone. I
 
Hao mabwana wao wa kitasha ndo wanachangia sana kuwaingiza kwenye madawa.
Nilitaka kukomenti kuhusu hilo.asante kwa kuniwahi.uko sahihi 100%.na watoto wakiume wanaotumia hayo madude wanaponzwa na nini?
 
ndio maana baadhi ya familia zenye wazazi wenye kipato kizuri,hawaruhusu watoto wao waingie kwenye sanaa ya mziki,urembo na uigizaji hata kama mtoto ana kipaji.
 
Tatizo la Heroine and Cocaine linasababishwa na washika dau na mameneja wa muziki wengi ni wafanyabiashara ya madawa ya kulevya. Sasa wanapoenda kufanya show wengi wanakuwa wanasafirisha mzigo. Sasa awa wasanii wanawatumia kubeba kwy begi zao sasa. Ile biashara ina pesa mingi wanajikuta na wenyewe wameingia ktk biashara iyo. Sasa ktk biashara iyo Kuna siku ladhima utakutana na changamoto ya kudhurumiwa na kutapeliwa kupewa mzigo fake. Sasa kutokana na pesa nyingi ujikuta wameshahasirika na watu wengi wanaingia bila kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…