Muinjilisti ahukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka mtoto wa mwaka 1 Pangani

Muinjilisti ahukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka mtoto wa mwaka 1 Pangani

Status
Not open for further replies.

Fahari ya kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
545
Reaction score
1,908
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (miaka 55), Mkristo, Muinjilisti na mkazi wa Raskazoni Tanga, baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4.

Akisoma hukumu hiyo jana tarehe 10 Septemba 2025 majira ya saa 13:00, Mheshimiwa Husna Mwiula, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Pangani, alisema kuwa mahakama imeridhika na ushahidi uliowasilishwa na kumhukumu mtuhumiwa kifungo cha miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa jamii na kuhakikisha haki inatendeka.

Awali, imeelezwa mahakamani kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo mnamo tarehe 1 Septemba 2025 katika eneo la Funguni Street, Pangani.

#EastAfricaRadio
 
Mahakama ya wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (55), mkazi wa Raskazoni – Tanga baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4.

Awali imeelezwa mahakamani hapo kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo mnamo tarehe 1 Septemba 2025 katika eneo la Funguni Street, Pangani.

Akisoma hukumu hiyo Mheshimiwa Husna Mwiula, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Pangani, amesema kuwa Mahakama imeridhika na ushahidi uliowasilishwa na kumhukumu mtuhumiwa kifungo cha miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa jamii na kuhakikisha haki inatendeka.
1757592942721.png

Chanzo: Stromfmtz​
 
hio hukumu haipo sawa ni ndogo mno kwa sababu ukilala na mwanafunzi wa kidato cha 3 au 4 wa miaka 17 au 18 ambae ajitambua nini anafanya na mwenye utamu wake tena mkiwa mmekubaliana kabisa unapigwa miaka 30..sasa iweje huyu katoto cha mwaka mmoja nayo iwe 30 au alikabaishia tu kajisugulisha kwa juu tu ili apizi basi lakni hajasokomeza ndani mpini..kama kamtoboa kabisa katoto ka mwaka mmoja ilitakiwa ale kifungo cha maisha pengine labda mtuhumiwa kahonga mkwanja mrefu ili apate hio miaka 30 badala ya maisha
 
Kama ni mtoto wangu wangu kafanyiwa hivo natoa hukumu mwenyewe. Mtoto wa huo Umri sidhani kama kidole tu kinapita.
 
Mahakama ya wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (55), mkazi wa Raskazoni – Tanga baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4.

Awali imeelezwa mahakamani hapo kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo mnamo tarehe 1 Septemba 2025 katika eneo la Funguni Street, Pangani.

Akisoma hukumu hiyo Mheshimiwa Husna Mwiula, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Pangani, amesema kuwa Mahakama imeridhika na ushahidi uliowasilishwa na kumhukumu mtuhumiwa kifungo cha miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa jamii na kuhakikisha haki inatendeka.
View attachment 3469598
Chanzo: Stromfmtz​
Hukumu ndogo kulingana na kosa.
 
Write your reply...nashauri kuepukana na majanga kama hayo ambayo mengi ni kusingiziana yakupasa kua na roho mbaya usizoeane na mtoto yeyote asie wako
 
Aisee wanaume wengine Huwa sijui Wana akili gani unabaka mtoto wa mwaka Mmoja unapata raha gani
 
Chai na maharageeee, huyo jamaa hajabaka alikua anapiga nyeto ya kidigitar, ila adhabu ni ndogo mheshimiwa ongeza ongeza kidogo basi, nimeona na nitauona...
 
Kama umekataliwa bora tu uhasiwe kuliko ubake mtoto mchanga.kwanza huyu mzee naona ni kama kalogwa.kwa maana mwenye akili hawezi akatenda unyama huo.Huo mkoa haufai kabisa kuliko niishe tanga bora niende umaasai.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom