Muinjilisti ahukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka mtoto wa mwaka 1 Pangani

Status
Not open for further replies.
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (miaka 55), Mkristo, Muinjilisti na mkazi wa Raskazoni Tanga, baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4.

Akisoma hukumu hiyo jana tarehe 10 Septemba 2025 majira ya saa 13:00, Mheshimiwa Husna Mwiula, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Pangani, alisema kuwa mahakama imeridhika na ushahidi uliowasilishwa na kumhukumu mtuhumiwa kifungo cha miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa jamii na kuhakikisha haki inatendeka.

Awali, imeelezwa mahakamani kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo mnamo tarehe 1 Septemba 2025 katika eneo la Funguni Street, Pangani.

#EastAfricaRadio
Watu wana matatizo ya akili badala ya kwenda kuwatibia mirembe tunawapeleka lupango. Sisi ni bure kabisa 🤣🤣🤣
 
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (miaka 55), Mkristo, Muinjilisti na mkazi wa Raskazoni Tanga, baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4.

Akisoma hukumu hiyo jana tarehe 10 Septemba 2025 majira ya saa 13:00, Mheshimiwa Husna Mwiula, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Pangani, alisema kuwa mahakama imeridhika na ushahidi uliowasilishwa na kumhukumu mtuhumiwa kifungo cha miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa jamii na kuhakikisha haki inatendeka.

Awali, imeelezwa mahakamani kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo mnamo tarehe 1 Septemba 2025 katika eneo la Funguni Street, Pangani.

#EastAfricaRadio

JINGA KABISA HUYO MTU. WATU WA HIVI WANAPASWA KUNYONGWA. NI USHETANI KABISA KWA ASILIMIA 100. KAMA USHAHIDI NI KAMILI ANA HATIA ANYONGWE TU. SHERIA IWE WATOTO CHINI YA MIAKA 12 MTU ANYONGWE JUU YA MIAKA HIYO AFUNGWE MAISHA.
 
Kuna namna ukisikia hii case kuna namna ina uwalakini mkubwa sana ndani yake.
1.mtoto wa mwezi mwaka mmoja na mwezi kabakwa?
2.case imeamuliwa ndani ya siku zisizo pungua 9?
3.kwanini miaka 30 na sio zaidi.?
4.Mama wa mtoto alikuwa na uhusiano hgani na huyo Mtuhumiwa?

Yako mengi yakujiuliza juu ya hii case. Kwa sababu za kiimani na mazingira kuna uwezekano case ikawa ya kubumba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom