Muinjilisti ahukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka mtoto wa mwaka 1 Pangani

Muinjilisti ahukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka mtoto wa mwaka 1 Pangani

Status
Not open for further replies.
Mahakama ya wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 30 jela kwa mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (55), mkazi wa Raskazoni – Tanga baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4.

Awali imeelezwa mahakamani hapo kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo mnamo tarehe 1 Septemba 2025 katika eneo la Funguni Street, Pangani.

Akisoma hukumu hiyo Mheshimiwa Husna Mwiula, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Pangani, amesema kuwa Mahakama imeridhika na ushahidi uliowasilishwa na kumhukumu mtuhumiwa kifungo cha miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa jamii na kuhakikisha haki inatendeka.
View attachment 3469598
Chanzo: Stromfmtz​
Huyo adhabu inayomfaa ni risasi ya kichwa au kunyongwa hadi kufa au kukatwa kichwa.
Miaka 30 ni kidogo na unaweza sikia kaachiliwa huru kwa msamaha wa rais!.
Kwa mtu aliyembaka mtu mzima kifungo cha miaka 30 au kifungo cha maisha ni sawa lakini kwahuyu aliyembaka mtoto wa mwaka mmoja napendekeza serikali iweke adhabu ya kifo kwa wabakaji wa aina hii.
 
Alidanganywa na waganga akifanya hivyo atakuwa maarudfu kama Manabii wa Dar
 
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (miaka 55), Mkristo, Muinjilisti na mkazi wa Raskazoni Tanga, baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4.

Akisoma hukumu hiyo jana tarehe 10 Septemba 2025 majira ya saa 13:00, Mheshimiwa Husna Mwiula, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Pangani, alisema kuwa mahakama imeridhika na ushahidi uliowasilishwa na kumhukumu mtuhumiwa kifungo cha miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa jamii na kuhakikisha haki inatendeka.

Awali, imeelezwa mahakamani kuwa mtuhumiwa alitenda kosa hilo mnamo tarehe 1 Septemba 2025 katika eneo la Funguni Street, Pangani.

#EastAfricaRadio
Mtoto wa mwaka mmoja na miezi minne anaelewa nini jamani!??

Achomwe juani huyo mbinguni😂
 
Saa saba mchana mwinjilisti amebaka mtoto wa mwaka 1 na miezi 4
1. Mtoto wa umri huo hatembei alifikaje kwenye mikono ya mwinjilisti?
2. Mama wa mtoto alikuwa wapi wakati mtoto mdogo hivyo anabakwa?
3. Kuna uhusiano gani kati ya mama wa mtoto na mwinjilisti?
4. Mtoto alibakwa katika mazingira gani, ofisini,nyumbani kwa mwinjilisti, nyumbani kwa mama wa mtoto au??
Nina mashaka mengi na tukio hili
Tanga ni mkoa ambao wanawake hawana uchoyo na wanajua kukususia ukiwa kwenye faragha
 
Wengi humu wanatumia akili kisoda kuhukumu!
Kuna mambo watu wengi wanasingiziwa hasa ubakaji!
Mwaka mmoja hata njiti haiingii iweje uume?
 
Bado sijaona comments about dini, tumezowea kuona kitu kidogo " Dini gani huyo?"
 
Anyway, inawezekana ni masharti ili na yeye aweze kufanya miujiza kama manabii wakina Suguye, Bulldozer, na Tony Kapola mzee wa gesi
 
Wengi humu wanatumia akili kisoda kuhukumu!
Kuna mambo watu wengi wanasingiziwa hasa ubakaji!
Mwaka mmoja hata njiti haiingii iweje uume?

Ishu nyingine mbona kesi imesikilizwa muda mfupi sana hadi hukumu? Siku 10 tu? Ushahidi ulijitosheleza? Napatwa mashaka na hii kesi.
 
Mjuba acha kukoleza eti ni muinjilisti na mkristo, hapa unaongeza chumvi kenge we! Una uhakika kuwa ni muinjilisti na mkristo? Pumbavu kabisa, unaandika kiushabiki wa kidini kwa kuchafua ukristo. Huyo ni mhalifu kama wahalifu wengine, uinjilisti na ukristo havihusiani na kosa hilo
 
Hili tukio linaacha mashaka makubwa pamoja vinginevyo mwenye kujua hili shauri na mazingira ya kosa aje atusaidie
Wana JF tumieni akili kufikiri badala ya fuvu mtaweza kuona kitu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom