Muislam kufa vitani ni ushujaa mkubwa

Muislam kufa vitani ni ushujaa mkubwa

Ndomaana mnakuwa magaidi sababu yakulishana huu upumbavu.

Nyinyi ndo mnaifanya dunia kuwa sehem hatari sana,mbona wenzenu wakristo wamestaarabika?

Waigeni hata kidogo tu kwenye ile amri yao ya upendo ili tuwe salama.
 
Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani.

Inasemekana kwamba kabla ya kufariki, Khalid alisema:

“Nimepigana vita vingi, na hakuna hata sehemu moja mwilini mwangu isipokuwa imejeruhiwa na panga, mshale, au mkuki, lakini hapa niko, ninakufa kitandani kama ngamia anavyokufa. Lakini macho ya woga hayatulii kamwe.”

Maneno haya yanaonyesha huzuni yake kwa kutokufa shahidi, licha ya mapambano yake mengi vitani. Hata hivyo, alikubali kwamba mwisho wake ulikuwa mikononi mwa Mungu, na kifo chake kilikuwa kinyume na matarajio yake ya kufa vitani.

Muislamu au muarabu? Muislamu strong bongo ni sheikh Ponda
 
Sisi hatumpiganii Mungu ila tunafuata mafundisho kwamba tusiwe wanyonge katika kupigania haki, atakae leta ujinga kwenye haki yetu kichwa halali yetu, muislam hatakiwi kukubali kudhulumiwa by any means
Umemsikia Mjukuu wa Mtume Bin Salman alivyosema? Je yeye anapenda kudhulumiwa au Waislam wenzake kudhulmiwa?
 
Muislamu au muarabu? Muislamu strong bongo ni sheikh Ponda tu wengine wote mbwa koko tu kama watz wengine hatunaga tofauti kuanzia profesa hadi mkulima kule matombo wote kikilia twakimbilia uvunguni tunablidi kama kawa
Ila Tz bwana hakunaga tofauti ya Profesa na Class 7.

Kama ipo mtu aje aniambie ni ipi.
 
Mkuu mimi hao wayahudi tukienda kwa misingi ya dini zote kama nyie mnavyoamini wanakatwa ,wengi wao ni mashonga wakubwa🤔 hii sijui imekaaje hata ninapo ishi mashoga wengi wana asili ya kiyahudi🤔
Acha uongo. Nimeishi Tel Aviv na nimekaa Jerusalem kwa miaka kadhaa.
Hicho unachosema sio halisi.

Labda useme hao unaowajua ni Wayahudi wa wapi.
 
Sisi hatumpiganii Mungu ila tunafuata mafundisho kwamba tusiwe wanyonge katika kupigania haki, atakae leta ujinga kwenye haki yetu kichwa halali yetu, muislam hatakiwi kukubali kudhulumiwa by any means
Kipindi kile mbona mlikubali kudhulumiwa zile mali zenu vikiwemo viwanja pale chang'ombe? Sheikh ponda aliitisha maandamano mkaandamana siku mbili tu mkaacha. Sasa hivi lile eneo limeuzwa imekua yard
 
Kama alivyokufa kamanda wa Hamas eee; unaanzisha vita afu kupigana hujiwez lazima uliwe kichwa dadeq.
 
Back
Top Bottom