Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Sheikh ponda ndiye muislamu anayeishi haya wanayozungumza wa humu. Sio muoga kabisa, enzi za JK aliwahi kupigwa risasi akiwa kwenye mihadhara ya kutetea waislamu.Shekh Ponda ni Mtumishi wa Mungu aliyehai.
Wengine waliobaki hasa humu ni keyboard warriors. Ponda alipambana mali za waislamu zisichukuliwe lakini akakosa support ya waislamu. Wakatoliki hawana sera ya jino kwa jino lakini huwezi kuchukua au kudhulumu mali yao, lakini hawa waislamu maneno mengi vitendo sifuri