Muislam kufa vitani ni ushujaa mkubwa

Muislam kufa vitani ni ushujaa mkubwa

Dini zimeleta mauaji makubwa sana na majanga kuliko uponyaji wa mataifa!!

Upagani uliua but in small scale not like this!!

Tuwe watu wa Mungu ,sio watu wa Dini!
 
Sisi hatumpiganii Mungu ila tunafuata mafundisho kwamba tusiwe wanyonge katika kupigania haki, atakae leta ujinga kwenye haki yetu kichwa halali yetu, muislam hatakiwi kukubali kudhulumiwa by any means
Mnaposema mwenyexi Mungu ndie mtoa haki hasa mnamaanisha nini hasa?
 
Sisi hatumpiganii Mungu ila tunafuata mafundisho kwamba tusiwe wanyonge katika kupigania haki, atakae leta ujinga kwenye haki yetu kichwa halali yetu, muislam hatakiwi kukubali kudhulumiwa by any means
Sasambona vichwa vyenu ndio vinaliwa maradufu huko mashariki ya kati, aliewafundisha amewaingiza mkenge, mnahemkwa sana badala ya kutumia akili.
 
Nyie uwa mnadhulumiwa nini kila sehemu?.
Mfn:naijeria imemdhulumu nani?.
haijachukua ardhi ya mtu.
waislam mna haki ya ku- practice Cult yenu bila bugudha.
tena,baadhi ya majimbo mmepewa haki kamili ha kuweka Sharia.
Lakini,as I speak now, Naijeria inapita kwenye Tanuru la Moto, inapata cha mtema kuni kutoka kwenu.
nyie ni Kansa katika hii dunia.
Msumbiji hapo wamekosea nini? Haya nenda Somalia na Sudan mapanga wanachapana tu waislamu kwa waislanu

Ni kansa ya dunia
 
Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani.

Inasemekana kwamba kabla ya kufariki, Khalid alisema:

“Nimepigana vita vingi, na hakuna hata sehemu moja mwilini mwangu isipokuwa imejeruhiwa na panga, mshale, au mkuki, lakini hapa niko, ninakufa kitandani kama ngamia anavyokufa. Lakini macho ya woga hayatulii kamwe.”

Maneno haya yanaonyesha huzuni yake kwa kutokufa shahidi, licha ya mapambano yake mengi vitani. Hata hivyo, alikubali kwamba mwisho wake ulikuwa mikononi mwa Mungu, na kifo chake kilikuwa kinyume na matarajio yake ya kufa vitani.
Sasa badala ya kupanda mashua uende Somalia, Sudan au Yemen upo tu umejibanza na bando lako unapost JF.

Wahi vitani ili ufe shahidi kama Sinwar
 
Sasambona vichwa vyenu ndio vinaliwa maradufu huko mashariki ya kati, aliewafundisha amewaingiza mkenge, mnahemkwa sana badala ya kutumia akili.
Hata vyao vinaliwa ipo siku wataendelea nao kiteknolojia ndio tutaona balance katika hii equation. Inshaallah
 
Maneno haya yanaonyesha huzuni yake kwa kutokufa shahidi, licha ya mapambano yake mengi vitani. Hata hivyo, alikubali kwamba mwisho wake ulikuwa mikononi mwa Mungu, na kifo chake kilikuwa kinyume na matarajio yake ya kufa vitani.
Je wanaoendelea kufa vitani nani huwathibitishia yanayoendelea huko waliko, isijekuwa watu wanacheza kamari
 
Allah alimtanguliza Mtume Muhammad kuandaa au kumuandalia njia Imaam Hussein. Kaka yake Imaam Hussein Hassan alipozaliwa mtume Muhammad akasema siyo mwenyewe. Naam alipozaliwa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Mudi alikuwepo akamtwaa na kumuambi Ali na binti yake naam huyu ndo mwenyewe Allah kamtuma mkombozi wa uislamu na waislam. Mtume akamchukua amini usiamini Imaam wetu hakuwahi kunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa Mudi kwa muda wa miaka miwili.

Malaria 2

Nyau de adriz

View attachment 3131463
Acha pombe kama huziwezi mzee, hizi porojo unaokota vibarazani wapi?
 
Mungu wa ajabu sana, kweli watu wake wanaangamia kwa kukosa maarifa,
Wanaangamia kwa ujinga wao. Jisemeeni unaipiginia ardhi na nga Yako (nchi), siyo Mungu,
Mungu hanaga upumbavu hata kidogo.
Mungu hajatofautisha watu, kwake wote ni sawa, hata pagans kwake ni muhimu, "ndio maana wanapata haki zote, ikiwemo kuzalina na utajiri", ingekuwa Mungu ni Mpumbavu na Mjinga kama wafia Dini, hakika hajakosa mbinu ya kuwaua wote! Au kuwaamua waishi kwa kuelewana kama baba anaposuluhisha migogoro ya familia yake nyumbani.

Mafunzo mengi ya dini yapitwe tu na wakati! The end of this world is known to be The Paradise for all people.
Elimu ikue. Maarifa (Akili) yaongezeke.
 
Wewe ndie unasifia kufa vitani, nenda hapo Msumbiji tu, waislamu wenzako wanapigana hapo. Wewe hutaki mito ya pombe na mabikira 72?
Hebu mwislamu mmoja anifafanulie hata huku PM, pale Msumbiji Waislamu wanapigania nini? Hata hua sielewi kabisa yaani
 
Kama yesu mungu wako kasulubiwa na watu kama wewe bado unamuamini ndio mkombozi wako
Yesu alikuja duniani akiwa Mungu ktk mwili.
Wanaokufa katika Kristo hao tayari wamehesabiwa HAKI.
Jiangalie sana mtafute Kristo na achana na hadithi za abunuwasi za mabikira 72!
 
Propaganda za wakiristo hizo. Ones have picha mtoto 1 tu aliechomwa moto humu. Lete picha moja jf yenye ushahidi wa maneno yako
kwani wale waliokuwa wanacheza disko mkawateka, walikosea kitu gani?
 
Back
Top Bottom