Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Sheikh ponda ndiye muislamu anayeishi haya wanayozungumza wa humu. Sio muoga kabisa, enzi za JK aliwahi kupigwa risasi akiwa kwenye mihadhara ya kutetea waislamu.Shekh Ponda ni Mtumishi wa Mungu aliyehai.
Kama chadema, wanataka siasa kila siku wanatupwa maporiniKama alivyokufa kamanda wa Hamas eee; unaanzisha vita afu kupigana hujiwez lazima uliwe kichwa dadeq.
Ni kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa uislamu na waislam kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek (the ability and opportunity to succeed) na tuna uhakika wa jannah na firdaus.Imamu hussen huwa ni nan?
Naomba ilimu, kati ya mtume Muhammad na imamu Hussein nani mkombozi wa uislamu?Ni kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa uislamu na waislam kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek (the ability and opportunity to succeed) na tuna uhakika wa jannah na firdaus.
Aendelee kufanyiwa wepes na kupewa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S the grandson of the prophet, son of Ali the prophet's cousin, son of Fatima the prophet's daughter, brother to Hassan and the father to Imaam Ali peace be upon him.
Malaria 2
Nyau de adriz
View attachment 3131450
Kama chadema, wanatekwa tuSheikh ponda ndiye muislamu anayeishi haya wanayozungumza wa humu. Sio muoga kabisa, enzi za JK aliwahi kupigwa risasi akiwa kwenye mihadhara ya kutetea waislamu.
Wengine waliobaki hasa humu ni keyboard warriors. Ponda alipambana mali za waislamu zisichukuliwe lakini akakosa support ya waislamu. Wakatoliki hawana sera ya jino kwa jino lakini huwezi kuchukua au kudhulumu mali yao, lakini hawa waislamu maneno mengi vitendo sifuri
Chadema wao kufia kwenye harakati au vitani sio ushujaaKama chadema, wanatekwa tu
Wanajiona wapo pembenj ya Mungu 😂Kufa vitani ni ushujaa mkubwa sana dini inapo kuwa ugonjwa wa akili , sio Islam ama Christian wapo sahihi wote ni makanjanja tu.
Ukishaona mtu anaandika Yani Hadi mtanzania mwenzake kauwawa na Hamas bado ataitetea Hamas. Dini ya uongo hiyo inawatesa sana.Propaganda za wakiristo hizo. Ones have picha mtoto 1 tu aliechomwa moto humu. Lete picha moja jf yenye ushahidi wa maneno yako
Allah alimtanguliza Mtume Muhammad kuandaa au kumuandalia njia Imaam Hussein. Kaka yake Imaam Hussein Hassan alipozaliwa mtume Muhammad akasema siyo mwenyewe. Naam alipozaliwa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Mudi alikuwepo akamtwaa na kumuambi Ali na binti yake naam huyu ndo mwenyewe Allah kamtuma mkombozi wa uislamu na waislam. Mtume akamchukua amini usiamini Imaam wetu hakuwahi kunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa Mudi kwa muda wa miaka miwili.Naomba ilimu, kati ya mtume Muhammad na imamu Hussein nani mkombozi wa uislamu?
Nyie uwa mnadhulumiwa nini kila sehemu?.Sisi hatumpiganii Mungu ila tunafuata mafundisho kwamba tusiwe wanyonge katika kupigania haki, atakae leta ujinga kwenye haki yetu kichwa halali yetu, muislam hatakiwi kukubali kudhulumiwa by any means
Umeeleza vizuri, ahsante sana kwa ilimuAllah alimtanguliza Mtume Muhammad kuandaa au kumuandalia njia Imaam Hussein. Kaka yake Imaam Hussein Hassan alipozaliwa mtume Muhammad akasema siyo mwenyewe. Naam alipozaliwa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Mudi alikuwepo akamtwaa na kumuambi Ali na binti yake naam huyu ndo mwenyewe Allah kamtuma mkombozi wa uislamu na waislam. Mtume akamchukua amini usiamini Imaam wetu hakuwahi kunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa Mudi kwa muda wa miaka miwili.
Malaria 2
Nyau de adriz
View attachment 3131463
Propaganda za wakiristo hizo. Ones have picha mtoto 1 tu aliechomwa moto humu. Lete picha moja jf yenye ushahidi wa maneno yako
Chadema wanatekwa kama kuku virangaChadema wao kufia kwenye harakati au vitani sio ushujaa
Muislamu kufia kwenye vita ni ushujaa, hivyo nilitegemea mngefia pale kwenye zile mali zenu enzi za JK.
Sijasoma thread Yako lkn kichwa Cha bandiko kinatosha kukukosoa Moja kwa moja. Kama waislamu hawaogopi kifo hao kina snawar mbona walikua wakiishi mashimoni kama digidigi?? Unajua nyie mnakifanya masihara!! Naludia Tena hakuna binadamu asieogopa kifo chini ya juaKhalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani.
Inasemekana kwamba kabla ya kufariki, Khalid alisema:
“Nimepigana vita vingi, na hakuna hata sehemu moja mwilini mwangu isipokuwa imejeruhiwa na panga, mshale, au mkuki, lakini hapa niko, ninakufa kitandani kama ngamia anavyokufa. Lakini macho ya woga hayatulii kamwe.”
Maneno haya yanaonyesha huzuni yake kwa kutokufa shahidi, licha ya mapambano yake mengi vitani. Hata hivyo, alikubali kwamba mwisho wake ulikuwa mikononi mwa Mungu, na kifo chake kilikuwa kinyume na matarajio yake ya kufa vitani.
Tunaogopa kifo lakini tunakitarajia kwa mazingatio makubwa kuliko dini yeyote ile ndio maana hua tukikubaliana jambo tunatanguliza Inshaallah.....kwasababu muda wowote it can happenSijasoma thread Yako lkn kichwa Cha bandiko kinatosha kukukosoa Moja kwa moja. Kama waislamu hawaogopi kifo hao kina snawar mbona walikua wakiishi mashimoni kama digidigi?? Unajua nyie mnakifanya masihara!! Naludia Tena hakuna binadamu asieogopa kifo chini ya jua
Huo ni uzembe pia walifanya viongozi lakini serikali pia wanatuonea bila sababu ya msingi tuki react tunaonekana wakorofi wanajua kabisa mali ya waislam wanaruhusu vipi hayo yatokee kama sio kuleta vurugu?Kipindi kile mbona mlikubali kudhulumiwa zile mali zenu vikiwemo viwanja pale chang'ombe? Sheikh ponda aliitisha maandamano mkaandamana siku mbili tu mkaacha. Sasa hivi lile eneo limeuzwa imekua yard
SijamsikiaUmemsikia Mjukuu wa Mtume Bin Salman alivyosema? Je yeye anapenda kudhulumiwa au Waislam wenzake kudhulmiwa?
FaizaKahaba upi tena?
FaizaKahaba upi tena?