RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 1,472
- 2,766
Mpenz wangu huyo aisee.Faiza
Mnaposema mwenyexi Mungu ndie mtoa haki hasa mnamaanisha nini hasa?Sisi hatumpiganii Mungu ila tunafuata mafundisho kwamba tusiwe wanyonge katika kupigania haki, atakae leta ujinga kwenye haki yetu kichwa halali yetu, muislam hatakiwi kukubali kudhulumiwa by any means
Sasambona vichwa vyenu ndio vinaliwa maradufu huko mashariki ya kati, aliewafundisha amewaingiza mkenge, mnahemkwa sana badala ya kutumia akili.Sisi hatumpiganii Mungu ila tunafuata mafundisho kwamba tusiwe wanyonge katika kupigania haki, atakae leta ujinga kwenye haki yetu kichwa halali yetu, muislam hatakiwi kukubali kudhulumiwa by any means
Msumbiji hapo wamekosea nini? Haya nenda Somalia na Sudan mapanga wanachapana tu waislamu kwa waislanuNyie uwa mnadhulumiwa nini kila sehemu?.
Mfn:naijeria imemdhulumu nani?.
haijachukua ardhi ya mtu.
waislam mna haki ya ku- practice Cult yenu bila bugudha.
tena,baadhi ya majimbo mmepewa haki kamili ha kuweka Sharia.
Lakini,as I speak now, Naijeria inapita kwenye Tanuru la Moto, inapata cha mtema kuni kutoka kwenu.
nyie ni Kansa katika hii dunia.
Sasa badala ya kupanda mashua uende Somalia, Sudan au Yemen upo tu umejibanza na bando lako unapost JF.Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani, alikufa kitandani akiwa na huzuni kwa sababu alitarajia kufa shahidi vitani.
Inasemekana kwamba kabla ya kufariki, Khalid alisema:
“Nimepigana vita vingi, na hakuna hata sehemu moja mwilini mwangu isipokuwa imejeruhiwa na panga, mshale, au mkuki, lakini hapa niko, ninakufa kitandani kama ngamia anavyokufa. Lakini macho ya woga hayatulii kamwe.”
Maneno haya yanaonyesha huzuni yake kwa kutokufa shahidi, licha ya mapambano yake mengi vitani. Hata hivyo, alikubali kwamba mwisho wake ulikuwa mikononi mwa Mungu, na kifo chake kilikuwa kinyume na matarajio yake ya kufa vitani.
Sawa Mkuu endelea kumgegeda.Mpenz wangu huyo aisee.
Heshima itawale
Hata vyao vinaliwa ipo siku wataendelea nao kiteknolojia ndio tutaona balance katika hii equation. InshaallahSasambona vichwa vyenu ndio vinaliwa maradufu huko mashariki ya kati, aliewafundisha amewaingiza mkenge, mnahemkwa sana badala ya kutumia akili.
hata Tanzania pia, mkuranga na kibiti hawa hayawani wamechukua uhai wa innocent people wengi.Msumbiji hapo wamekosea nini? Haya nenda Somalia na Sudan mapanga wanachapana tu waislamu kwa waislanu
Ni kansa ya dunia
Je wanaoendelea kufa vitani nani huwathibitishia yanayoendelea huko waliko, isijekuwa watu wanacheza kamariManeno haya yanaonyesha huzuni yake kwa kutokufa shahidi, licha ya mapambano yake mengi vitani. Hata hivyo, alikubali kwamba mwisho wake ulikuwa mikononi mwa Mungu, na kifo chake kilikuwa kinyume na matarajio yake ya kufa vitani.
Eheeeeee boya ni yeye kuzabwa makofiAlifufuka kuonesha kuwa waliomsulubisha ni maboya tu. Aliwakomoa.
Acha pombe kama huziwezi mzee, hizi porojo unaokota vibarazani wapi?Allah alimtanguliza Mtume Muhammad kuandaa au kumuandalia njia Imaam Hussein. Kaka yake Imaam Hussein Hassan alipozaliwa mtume Muhammad akasema siyo mwenyewe. Naam alipozaliwa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Mudi alikuwepo akamtwaa na kumuambi Ali na binti yake naam huyu ndo mwenyewe Allah kamtuma mkombozi wa uislamu na waislam. Mtume akamchukua amini usiamini Imaam wetu hakuwahi kunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa Mudi kwa muda wa miaka miwili.
Malaria 2
Nyau de adriz
View attachment 3131463
Hebu mwislamu mmoja anifafanulie hata huku PM, pale Msumbiji Waislamu wanapigania nini? Hata hua sielewi kabisa yaaniWewe ndie unasifia kufa vitani, nenda hapo Msumbiji tu, waislamu wenzako wanapigana hapo. Wewe hutaki mito ya pombe na mabikira 72?
Yesu alikuja duniani akiwa Mungu ktk mwili.Kama yesu mungu wako kasulubiwa na watu kama wewe bado unamuamini ndio mkombozi wako
kwani wale waliokuwa wanacheza disko mkawateka, walikosea kitu gani?Propaganda za wakiristo hizo. Ones have picha mtoto 1 tu aliechomwa moto humu. Lete picha moja jf yenye ushahidi wa maneno yako