Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
kwahyo daktar muislam anatakiw atibu au aache?Takbir
Huu mwezi wanalo aseeeWaislam wamewakosea wapi..???[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nguruwe alichowafanya mwaazilishi wa dini hiyo nadhani ni tukio kubwa sana ambalo hawawezi lisahau maisha... mana bora waumini wale paka kuliko kula nguruwe.Nimesoma mifugo na waislam wanamshika nguruwe vizuri sana na wanamtibu na kumwosha kabisa,wengine walienda mbali zaid wakamla sio mara moja na si mmoja na walikiri huyu mdudu wanamsingizia hana makosa yoyote
Poleni na majukumu wakuu.
Niende kwenye mada,hivi dakitari wa wanyama (vet) muislam ana ruhusiwa kutibu nguruwe?
kama hapana je pale vyuo vya kilimo huwa naona wakifuga wanyama tofauti tofauti akiwemo na nguruwe au taaluma haina dini?
Kama ndiyo basi daktari hatakiwi kuwa na itikadi ya dini yoyote kwa maana hakuna kitabu cha dini yotote kinacho ruhusu kula nguruwe ila kama mimi sijaelewa basi naomba wajuvi wa mambo haya mnisaidie[emoji120]
Wanajuta kulipeleka uko aisee
[emoji16][emoji16]no mbupu[emoji119][emoji119]Wanajuta kulipeleka uko aisee
Wanapangia watu vitu vya kula 😀😀Wanajuta kulipeleka uko aisee
[emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]mi simoNimesoma mifugo na waislam wanamshika nguruwe vizuri sana na wanamtibu na kumwosha kabisa,wengine walienda mbali zaid wakamla sio mara moja na si mmoja na walikiri huyu mdudu wanamsingizia hana makosa yoyote