Muislamu anaweza kutibu nguruwe?

Muislamu anaweza kutibu nguruwe?

Doctor hana baya na mtu,
hapa kamaliza kumchoma sindano nguruwe.
D16890C8-9CE4-40B5-9668-9A3AFC94B90F.jpeg
 
Hizi ni stori tu maana mimi nimekula kitimoto kwenye mahoteli makubwa.
Hayo mahotel yatakuwa yameingiza kwa utaratibu maalumu. Hata zenji kwenye hotel kubwa kubwa kama serena utakutana na kitimoto safi kabisa
 
Heshimu imani ya mwengine ili imani yako pia iheshimuwe usiongee kufurahisha kijiwe bila kujua athari ya maneno unayoyazungumza.

fikri kabla ya kuandika/ kusema.
Samahani mkuu, naomba kufahamu hivi uharamu wa huyo mnyama unatokana na nini. Nahitaji kuipata hii elimu aisee.
 
Samahani mkuu, naomba kufahamu hivi uharamu wa huyo mnyama unatokana na nini. Nahitaji kuipata hii elimu aisee.
Kulingana na Uislamu vitu vinaharamishwa kwa sababu nyingi; ima kwa hekima, au bila hekima ikiwa ni sehemu ya mitihani na kupimwa viumbe utiifu wao, na kwa hekima mfano ni vichafu au vina madhara. Ikiwa kitu chochote kina madhara kinakuwa haraam; na kikiwa kina manufaa kinakuwa halaal; na kikiwa madhara yake ni makubwa kuliko manufaa kitakuwa ni haraam; ilhali madhara yake yakiwa ni kidogo kuliko manufaa kinakuwa ni halaal
 
Niliwahi pita na nguruwe kwenye pikipiki mbele ya msikiti ikawa nongwa! Nilizongwa sana, tulichapana sana mkono na madogo wa msikitini pale,walianza kama masikhara apigwe apigwe,nilipambana kiume wakataka kuchoma pikipiki. Ila nilichapika sana siku ile sitasahau. Akatokea mzee mtu mzima toka msikitini akawaamuru waniachie ndo tifu likaisha. Nguruwe wangu nilikuwa nimemfunga nyuma na mipira nikawasha chuma nikasepa.
 
Back
Top Bottom