Muislamu anaweza kutibu nguruwe?

Muislamu anaweza kutibu nguruwe?

Nguruwe haliwi, ni haramu! Nguruwe ni mnyama mchafu sana anayefugwa huko vijiji, anaishi kwa kula vitu vya ajab ajab tu!
Kitimoto ni nyama ya nguruwe na hiyo ni safi mno, ikiandaliwa vyema hasa rost kwa ndizi ama ugali basi huondoa stress za njaa na mawazo!
Tuendelee kula kitimoto!!
Bata na nguruwe nani msafi zaidi ya mwezie.??

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa babu yangu amekula hiyo nyama pendwa na ameishi zaidi ya miaka 100...

Hebu tupe madhara serious basi.
swala la kuishi sana au kutoishi sana ni mipango ya mungu. ila kama kitu ukiambiwa kina madhara unaweza ukaachana nacho au uoaendelea nacho.

Ukitaka madhara seriouz na me naweza nikakuuliza wewe unashiriki mapenzi ya jinsia moja
 
swala la kuishi sana au kutoishi sana ni mipango ya mungu. ila kama kitu ukiambiwa kina madhara unaweza ukaachana nacho au uoaendelea nacho.

Ukitaka madhara seriouz na me naweza nikakuuliza wewe unashiriki mapenzi ya jinsia moja
Sishiriki mapenzi ya jinsia moja kama wewe.

Turudi kwenye mada ya nguruwe sasa...
 
Sishiriki mapenzi ya jinsia moja kama wewe.

Turudi kwenye mada ya nguruwe sasa...
uko kwenye mada ya nguruwe wewe hata usiwaze tutarudi tu.

Sasa kwanini hautaki kushiriki mapenzi ya jinsia moja kwani umesikia kuna madhara yoyote yale
 
Sijajua kama kuna madhara maana sijawahi hata kuwaza kujaribu... Tupe uzoefu wako basi afu turudi kwa nguruwe....
basi hakuna madhara yoyote ndugu yangu nakushauri leo utafute mtu akujaribu kidogo au unalionaje wazo langu
 
Kwahiyo unataka niwe kama wewe?
Ndio nataka uthibitishe kwa mdomo wako maana inaonesha wewe hauamni kitu mpaka ufanyiwe au umuone mtu anafanyiwa.

turudi kwenye mada ya nguruwe na swala zima la kula

hivi unajua kama Mahta Gadhi aliyekuwa mwanaharakati wa india wakati wa kudai uhuru wa india . alikawahi kukaa wiki tatu (3) . bila kula huku akinywa maji lakini hii aimaanishi kuwa yeye ni kipimo au jibu sahihi kwa watu wote duniani. kuwa wanaweza kuishi week 3 nzima kwa kunywa maji tu
 
Niliwahi pita na nguruwe kwenye pikipiki mbele ya msikiti ikawa nongwa! Nilizongwa sana, tulichapana sana mkono na madogo wa msikitini pale,walianza kama masikhara apigwe apigwe,nilipambana kiume wakataka kuchoma pikipiki. Ila nilichapika sana siku ile sitasahau. Akatokea mzee mtu mzima toka msikitini akawaamuru waniachie ndo tifu likaisha. Nguruwe wangu nilikuwa nimemfunga nyuma na mipira nikawasha chuma nikasepa.
Na kwanini upite, karibu namsikitini na nguruwe si kujitafutia msala tu

Ova
 
Kulingana na Uislamu vitu vinaharamishwa kwa sababu nyingi; ima kwa hekima, au bila hekima ikiwa ni sehemu ya mitihani na kupimwa viumbe utiifu wao, na kwa hekima mfano ni vichafu au vina madhara. Ikiwa kitu chochote kina madhara kinakuwa haraam; na kikiwa kina manufaa kinakuwa halaal; na kikiwa madhara yake ni makubwa kuliko manufaa kitakuwa ni haraam; ilhali madhara yake yakiwa ni kidogo kuliko manufaa kinakuwa ni halaal
Hivi sigara pamoja na madhila yote inayosababisha Kwa watumiaji na wasiotumia hamjaona sababu ya kuiharamisha kama ilivyo pombe na nguruwe?
 
Back
Top Bottom