Muislamu anaweza kutibu nguruwe?

Muislamu anaweza kutibu nguruwe?

Kama huamini uwepo wa Mungu una kila haki ya kuhoji kila kitu ili kuongeza maarifa yako. Ila kwa muumini ambaye vitabu vya imani yake vinamwambia kuwa Mungu anayemwamini hataki muumini wake ale nguruwe, hiyo ni full stop. Sasa unaposema bila hofu kuwa eti ni kwa nini Mungu asihojiwe, nadhani hujui kabisa Mungu ni nani na mamlaka yake yakoje.
Dini ziko nyingi sana..ndio mana lazima tuzihoji kujua ipi sahihi ipi uongo..na uzuri Mungu hana dini Mungu ni kutenda haki ipasayo kutendwa.

Kama dini inakataza waumini wasiihoji jua hiyo ni dini feki na dhaifu isiyo na uwezo wa kujitetea..manake imejaa falsafa za uongo na uzushi...hivyo inaogopa kuhojiwa mana itavuliwa nguo.

#MaendeleoHayanaChama
 
View attachment 2416329


tuendelee kusema maendeleo hayan chama dr jiwe angavu
Shida Iko wap,na elimu yako yote Bado unakaririshwa .Kila nyama Ina minyoo endapo haita chemshwa vizuri,Sasa sijui Kwa nn nguruwe unamkandia hivyo.

Shida yenu hizi data unazosema wewe zinafanana za wenzako wanao mkandia nguruwe,wengi wenu ni brainwashed kuhusu nguruwe,na hamuwezi kuleta hoja ya maana kujitetea ,wengi mnabaki kurudia tu nguruwe ni mchafu mara nguruwe ana bleed[emoji3],mara nguruwe ana kula mtu,
[emoji23],That is bullshit Kwa kwel[emoji23],acheni hizo badilikeni aisee ,najua ni uko madrasa ndio mnafundishwa na ustaz ambae Hata elimu Hana ,poleni sana na sio kosa lako.
 
Shida Iko wap,na elimu yako yote Bado unakaririshwa .Kila nyama Ina minyoo endapo haita chemshwa vizuri,Sasa sijui Kwa nn nguruwe unamkandia hivyo.

Shida yenu hizi data unazosema wewe zinafanana za wenzako wanao mkandia nguruwe,wengi wenu ni brainwashed kuhusu nguruwe,na hamuwezi kuleta hoja ya maana kujitetea ,wengi mnabaki kurudia tu nguruwe ni mchafu mara nguruwe ana bleed[emoji3],mara nguruwe ana kula mtu,
[emoji23],That is bullshit Kwa kwel[emoji23],acheni hizo badilikeni aisee ,najua ni uko madrasa ndio mnafundishwa na ustaz ambae Hata elimu Hana ,poleni sana na sio kosa lako.
kukujibu kwa unavyotaka wewe naweza mkuu ila cha nisikujibu nadhani ndo itakuwa vizuri zaidi.

siku njema
 
ebu soma kwanza hiyo comments hapo nadhani utajua utofaut wa nguruwe na wanyama wengine.

la nyongeza tu nguruwe wa kike anapata ada yake mwisho wa mwezi ( HEDHI & ANA BLOOD) . kama binadamu
Usilete habari za kufikirika, sisi ndio walaji wenyewe tupo na afya Bora kabisa na tafiti zinaonyesha kule Moshi ambalo huyu mdudu ndio mbuzi wao wanaomla Kila siku, ndio wanaishi umri mrefu zaidi ya Watanzania wote. Sasa unaenda kukopi vi propaganda vya kijinga vilivyotengenezwa na waliokaririshwa kuwa mdudu ni mbaya unatuletea hapa?
 
Usilete habari za kufikirika, sisi ndio walaji wenyewe tupo na afya Bora kabisa na tafiti zinaonyesha kule Moshi ambalo huyu mdudu ndio mbuzi wao wanaomla Kila siku, ndio wanaishi umri mrefu zaidi ya Watanzania wote. Sasa unaenda kukopi vi propaganda vya kijinga vilivyotengenezwa na waliokaririshwa kuwa mdudu ni mbaya unatuletea hapa?
Kuna kitu kinafikirisha sana..sehemu wanazo kula sana kitimoto au jamii ya watu wanao kula kitimoto huwa wanakuwa smart sana pia wanakuwa na maendeleo sana ebu tazama wazungu..wachina hawa jamaa ndio wanaongoza dunia kwa maarifa sayansi na tekinolojia.

Ebu tazama taasisi kubwa za kidini kama RC ni taasisi yenye nguvu sana dunia nzima na wakristo kuwaujumla...hakika kwenye kitimoto kuna maarifa na maendeleo.

Njoo kwa jamii zisizo kula kitimoto yani wanatia huruma sio kwa umasikini na ujinga ulio watawala...huku wakikaa kusema haramu haramu wakati kanzu na baraghashia zimejaa viraka vitupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu sasa hivi nina mambo mengi hapa ya kufanya sasa nahisi nitatumia nguvu kubwa sana kumuaminisha nyani asali ni tamu kuliko ndizi
Sawa mkuu,lakin tambua kuwa nguruwe ni nyama tamu sana yenye kuleta faida nyingi sana .ila izo faida sita kuambia ni Siri ya Kambi adi pale tu utakapo fungua ubongo wako.
 
Dini ziko nyingi sana..ndio mana lazima tuzihoji kujua ipi sahihi ipi uongo..na uzuri Mungu hana dini Mungu ni kutenda haki ipasayo kutendwa.

Kama dini inakataza waumini wasiihoji jua hiyo ni dini feki na dhaifu isiyo na uwezo wa kujitetea..manake imejaa falsafa za uongo na uzushi...hivyo inaogopa kuhojiwa mana itavuliwa nguo.

#MaendeleoHayanaChama
huyo Mungu anayeruhusu kuhojiwa kuhusu sheria na amri zake sio Mungu anayestahili kuhojiwa. Ila viongozi wa dini wanaweza kuhojiwa kama wanachosema ni kweli kimetoka kwa Mungu. Hapo wewe mhubiri au kiongozi unatakiwa uthibitishe kutoka kwenye scripture kama kweli Mungu kaamuru hayo. Sio uanze kutoa logic kuwa eti Mungu kaamuru haya kwa sababu hii na ile. Mungu hawajibiki kutoa sababu ya amri au makatazo anayowapa binadamu.
 
Ewaaaa swali zuri sana nakupa jibu alafu hilo jibu nataka ukawape na wengine .


SABABU GANI NA KUNA ATHARI GANI YA KIAFYA KWENYE ULAJI WA NYAMA YA NGURUWE


[KUWA NA] VITU VYENYE SUMU

Nyama ya nguruwe ina mafuta mengi sana. Ikiwa italiwa, mafuta huchanganyika na damu. Kwahiyo, damu huchanganyika na chembechembe za mafuta. Kiwango hiki kikubwa cha mafuta husababisha magonjwa yanayojulikana kama, arteriosclerosis, presha (hypertension) na magonjwa ya moyo (heart infarct). Zaidi ya hayo, vitu vyenye sumu vijulikanavyo kama sutoxines vinapatikana kwenye siagi (lard). Matezi ya limpathik (Lymphatic glands) hulazimika kufanya kazi ngumu ili kuondoa chembechembe hizo za sumu ambazo huingia mwilini. Husababisha maambukizi na kunyonya tezi zijulikanazo kama lymph nodes hasa kwa watoto. Koromeo la mtoto humeza na kuonekana kama la nguruwe. Hivyo basi, maradhi haya yanajulikana kama scrofulosis (maradhi ya nguruwe). Kama maradhi yataongezeka, tezi zote za lymph huathiriwa na kumezwa. Hali joto huongezeka; maumivu huanza na hali ya hatari sana hujitokeza.


KIWANGO KIKUBWA CHA SALFA


Tishu zijulikazo kama kolageni (collagen tissue) zilizopo katika mfumo wa majimaji kamasi (mucus) ambazo zinapatikana kwa wingi kwenye nyama ya nguruwe, zina kiwango kikubwa sana cha salfa (sulfur). Hivyo, kiwango kikubwa cha salfa huchukuliwa na kuingizwa mwilini. Kiwango hiki cha ziada cha salfa hubaki kwenye misuli (muscles) na mishipa ya neva (nerves), na kusababisha maambukizi kwenye viungio (joints), calcification na ngiri (hernia) kwenye viuno (loins). Ikiwa mtu atakuwa na mazoea ya kula nyama ya nguruwe, sehemu ngumu (hard cartilage) kwenye mwili itaondolewa na tishu za kolageni zenye mfumo wa majimaji (kamasi) kutoka kwa nguruwe. Hatimae, fuvu gumu linalainika; haliwezi sasa kuhimili uzito wa mwili na huvunjika. Hivyo basi, uharibifu kwenye viungo huanza kujitokeza. Miili ya wanaokula nyama ya nguruwe huwa legevu kama jeli; tabaka za mafuta hutengenezeka. Kwa mfano, mwanamichezo akila nguruwe, huwa mchovu, mvivu na kutokuwa madhubuti. Baadhi ya wachezaji wa mpira hufikia hatua ya kukata tamaa kwasababu ya matumizi ya nyama ya nguruwe.


UKUAJI KUPINDUKIA


Kiwango cha vichocheo vya makuzi (growth hormone) kwenye nguruwe ni vingi kupita kiasi. Kitoto cha nguruwe ambazo kina uzito wa gramu mia kadhaa anapozaliwa huwa na kilo mia kwa miezi sita tu. Kwa kiwango hicho cha makuzi ni kutokana na kiwango kikubwa cha vichocheo vya makuzi (growth hormone). Homoni ya makuzi inayobebwa na nyama ya nguruwe husababisha kumezwa kwa tishu na maambukizi kwenye mwili. Husababisha pua, kidevu, mkono na mifupa ya miguu kukuwa katika hali isiyo ya kawaida na mwili kuganda mafuta. Jambo la hatari zaidi kwenye homoni hii ya makuzi ni uwezekano wa kufungua njia ya kupata saratani (cancer). Kwakweli, wachinjaji wa nguruwe wanaeleza kwamba nguruwe dume hupata saratani baada ya umri fulani.


MARADHI YA NGOZI


Chembe chembe zinazojulikana kama histamine na imidazole kwenye nyama ya nguruwe husababisha maumivu kupita kiasi. Pia hurahisisha kutokea kwa maradhi ya kuambukiza ya ngozi kama vile ugonjwa unaojulikana kama eczema, damatiti (dermatitis) na nyurodamatitis (neurodermatitis). Chembechembe hizi huongeza hatari ya kutokea majipu (boils), kidole tumbe (appendicitis), magonjwa ya kibofu (gall bladder diseases), venali (venal) na maambukizi ya ateri (arterial infections). Kwa sababu hiyo, madaktari huwashauri wagonjwa wa moyo wasile nyama ya nguruwe.

NYAMA YA NGURUWE NA MNYOO UJULIKANAO KAMA TRICHINA


Moja ya maradhi hatari sana ambayo yanaaambukizwa kwa mwanadamu kupitia nyama ya nguruwe ni trichina. Ingawa, trichina hausababishi tatizo kubwa kwa nguruwe mwenyewe. Hata hivyo, mnyoo huu unasababisha maradhi hatari sana kwa wanadamu. Mnyoo wa trichina humezwa kupitia nyama ya nguruwe na kwenda kwenye damu kupitia utumbo mkubwa na utumbo mdogo. Hivyo basi, hutapakaa mwili mzima.


Minyoo ya trichina hukaa hasa kwenye tishu za misuli kwenye magego, ulimi, shingo, koo na maeneo ya kifuani. Husababisha kupooza kwenye kutafuna, kuzungumza na misuli ya kumezea. Pia husabisha vikwazo kwenye mishipa, tatizo la meningitis na athari kwenye ubongo. Na hatari zaidi zinaweza kusababisha kifo. Jambo la hatari katika maradhi haya ni kwamba hayana tiba sahihi. Ugonjwa wa trichina ni maarufu hasa kwenye nchi za Ulaya. Mripuko wa maradhi ya trichina umeshuhudiwa kwenye nchi kama vile Uswidi (Sweden), Uingereza, na Poland, licha ya udhibiti wa mifugo. Uturuki, mripuko wa ugonjwa wa trichina haujawahi kuonekana isipokuwa kwenye jamii za Wakristo wanaoishi Uturuki.


CHAKULA NA TABIA YA MWANADAMU


Wanadamu na wanyama huathiriwa na vyakula wanavyokula kwa kiasi fulani. Kwa mfano, inajulikana kwamba wanyama wanaokula nyama (carnivorous) kama paka, mbwa na simba ni wakali na wanyama wanaokula majani (herbivorous ) kama kondoo, mbuzi na ngamia ni watiifu na wapole. Na hivyo hivyo kwa wanadamu. Imeonekana kwamba watu wanaokula mboga kwa ujumla wao ni wapole, na wale wanaokula nyama na yatokanayo na nyama ni wakali. Nguruwe ni mnyama pekee ambae hana wivu kwa mwenza wake wa kike. Imegundulika kuwa hisia za wivu zinadhoofika au kuisha kabisa kwa wanaotumia nyama ya nguruwe. Katika kulipa umuhimu jambo la athari za chakula kwenye tabia, Savorin, mwanafalsafa wa Kifaransa amesema “Niambie unachokula, ntakuambia wewe ni nani.”


CHAKULA CHA HALALI KINATOSHA KWA MAHITAJI YA MWANADAMU


Mola wetu ametuumbia aina nyingi za vyakula kwa ajili yetu. Ingawa, Ametukataza tusile na tusinywe aina za vyakula vyenye madhara kwasababu Ana ukarimu na huruma isiyo na ukomo. Hamtwishi mja wake mzigo mzito ambao ni nje ya uwezo wake. Maamrisho na makatazo yake ni rahisi kutekelezwa. Kwani mtu atapoteza nini akiacha kunywa pombe na ikiwa hali nyama ya nguruwe?

Hilo jibu kama alijakutosha niambie mkuu nitakupa jibu jingine cha umuhimu nataka upate elimu tu
acha porojo wewe na research ushenzi. nyama ya nguruwe iko katika kundi la nyama nyeupe na mafuta yake hayagandi maana yake ni free cholesterol. hiyo ngonjera uliyoandika hapo ni nyama nyekundu ambayo mnaita halal.
 
huyo Mungu anayeruhusu kuhojiwa kuhusu sheria na amri zake sio Mungu anayestahili kuhojiwa. Ila viongozi wa dini wanaweza kuhojiwa kama wanachosema ni kweli kimetoka kwa Mungu. Hapo wewe mhubiri au kiongozi unatakiwa uthibitishe kutoka kwenye scripture kama kweli Mungu kaamuru hayo. Sio uanze kutoa logic kuwa eti Mungu kaamuru haya kwa sababu hii na ile. Mungu hawajibiki kutoa sababu ya amri au makatazo anayowapa binadamu.
Akili za kushikiwa hizi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Akili za kushikiwa hizi.

#MaendeleoHayanaChama
Sasa kama wewe umeamua kuamini kutokuwepo kwa Mungu ungebaki kama ulivyo na waache wanaomwamini Mungu wampe heshima yake ya kutokuhojiwa. Ukimwamini Mungu hata hilo wazo la kuhoji amri zake haliwezi kumea nafsini mwako.
 
Nimesoma mifugo na waislam wanamshika nguruwe vizuri sana na wanamtibu na kumwosha kabisa,wengine walienda mbali zaid wakamla sio mara moja na si mmoja na walikiri huyu mdudu wanamsingizia hana makosa yoyote
Daaah[emoji23]
 
Na kwanini upite, karibu namsikitini na nguruwe si kujitafutia msala tu

Ova
Hao walipata boya wa kuonea tu, kwahiyo Tz hii nikiwa na nguruwe wangu kisha njia ya kuelekea ninakoenda ipo karibu na msikiti sitakiwi kupita?

Dini yao inanihusu nini ikiwa ninapita pembeni na si kwamba ninawapelekea msikitini?
 
Mi lisoma Agriculture,na baadhi ya Practical tulienda mabuctcher ya nguruwe na tulikuwa na Waislam, wengine tuliokuwa tunamtumia mdudu tulichomewa kidogo na kula,ni mwanangu Dula tu hakutaka unafiki nayeye alipiga......Kwa kazi sioni shida mwite tu aje amtibu huyo Veterinary Ofdicer
Kwenye swala la kitimoto, Salum huwa anageuka kuwa Samsoni, kisha nguruwe analiwa.[emoji23]
 
Back
Top Bottom