Muislamu anaweza kutibu nguruwe?

Muislamu anaweza kutibu nguruwe?

Kimsingi tumekatazwa kumla tuu
Lakini tunatambua kuwa ni Moja ya kiumbe Cha Mungu ambacho kama vilivyo viumbe vingine vyote tukiwepo sisi binadaam . Mungu ametuumba kwa makusudi yake.

Hivyo, kwa kuwa katika viumbe vyote vyenye mwilinambavyo Mungu aliviumba, alimjaalia mwanaadamu akili nyingi na busara za kujilinda na kulinda viumbe wengine ambavyo Mungu aliwaumba akiwepo shwain.Hivyonakipata changamoto ya kiafya bas means Adam akiwa na suluhidho lake anamtibia na ndipo anapaya thawabu kutoka kwa MnyanziMungu.

Sababu kuu iliyomfanya Mungu akataze nguruwe kuwa kitoweo ni kwamba ana ukaribu Sana na binaadamu na hata wanasayansi wanakubali kuwa IQ yake ni kubwa Sana. Pili hata viungo vyake vingi vinafanana na vya binaadamu ndio maana viungo vyake vinatumika Sana kwenye matibabu na utafiti wa matibabu ya binaadamu.

Hivyo, kitendo Cha kumla shwain ni sawa sawa na kumla ndugu yako na inawezekana nyama ya shwain na ya binaadamu zinafanana Sana kwa ladha na Muonekano. Hivyo tusile hiyo nyama. Lakini kutokuila haimaanishi tumchukie kiumbe huyo Bali tumtumze kwani Mungu kamuumba kwa makusudi yake
 
kuhoji kiazi kamawewe nikupoteza muda.
Uzuri wengi wenu vichwani weupe sana zaidi ya kukaririshwa kitabu cha zama za kale..na kulazimishwa kukiapply ulimwengu wa sayansi na teknolojia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wapo madaktari wazuri tu na niwaislamu na wanatibu vizuri sana hao nguruwe.
Wapo mpka wanawazalisha nguruwe akishindwa kutoa watoto mwenyewe.
Na niswala la kuijua dini vizuri tu kama ni muislamu mkaza fuvu utahisi haiwezekani ila dunia ya sasa hutakiwi kuchagua kazi kisa dini inamtazamo fulani
 
Free education you know ukikataa fedha ww ni fakeni
JamiiForums-819730547.jpg
 
Uzuri wengi wenu vichwani weupe sana zaidi ya kukaririshwa kitabu cha zama za kale..na kulazimishwa kukiapply ulimwengu wa sayansi na teknolojia.

#MaendeleoHayanaChama
nyie sindio Mana mnaenda nateknolojia yaushoga mnajadili Hadi makanisani. tafta mchumba wakiume uolewe Mana kiongozi wenu amebariki kufanya hivyo fwala ww
 
Poleni na majukumu wakuu.
Niende kwenye mada,hivi dakitari wa wanyama (vet) muislam ana ruhusiwa kutibu nguruwe?

Kama hapana je pale vyuo vya kilimo huwa naona wakifuga wanyama tofauti tofauti akiwemo na nguruwe au taaluma haina dini?

Kama ndiyo basi daktari hatakiwi kuwa na itikadi ya dini yoyote kwa maana hakuna kitabu cha dini yotote kinachoruhusu kula nguruwe ila kama mimi sijaelewa basi naomba wajuvi wa mambo haya mnisaidie[emoji120]
Una akili finyu saana we jamaa, haya yote yakuwaza ndo umeamua uwaze hili!? Uko huru kuwaza chchte ila chagua chakuandika humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini asihojiwe..kama alimua kutupa huo utashi kwa nini tusihoji..hizi dini ni ukanjanja tu wa watu..ndio mana kuna mahali wanasema zijaribuni kila roho..sio zote ni imani za Mungu zingine ni za shetani..hivyo kuhoji kunataka kufahamu ipi ni ipi.

Usiwe kama kikondoo wa kupelekeswa tu na kila jambo..lazima ulihoji uhalali wake.

#MaendeleoHayanaChama
Kama huamini uwepo wa Mungu una kila haki ya kuhoji kila kitu ili kuongeza maarifa yako. Ila kwa muumini ambaye vitabu vya imani yake vinamwambia kuwa Mungu anayemwamini hataki muumini wake ale nguruwe, hiyo ni full stop. Sasa unaposema bila hofu kuwa eti ni kwa nini Mungu asihojiwe, nadhani hujui kabisa Mungu ni nani na mamlaka yake yakoje.
 
Kama huamini uwepo wa Mungu una kila haki ya kuhoji kila kitu ili kuongeza maarifa yako. Ila kwa muumini ambaye vitabu vya imani yake vinamwambia kuwa Mungu anayemwamini hataki muumini wake ale nguruwe, hiyo ni full stop. Sasa unaposema bila hofu kuwa eti ni kwa nini Mungu asihojiwe, nadhani hujui kabisa Mungu ni nani na mamlaka yake yakoje.
Uwepo wa Mungu hauhusiani na uwepo wa dini sema watu huviunganisha ili wapige mpunga tu[emoji16][emoji2357]
 
Back
Top Bottom