avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Kimsingi tumekatazwa kumla tuu
Lakini tunatambua kuwa ni Moja ya kiumbe Cha Mungu ambacho kama vilivyo viumbe vingine vyote tukiwepo sisi binadaam . Mungu ametuumba kwa makusudi yake.
Hivyo, kwa kuwa katika viumbe vyote vyenye mwilinambavyo Mungu aliviumba, alimjaalia mwanaadamu akili nyingi na busara za kujilinda na kulinda viumbe wengine ambavyo Mungu aliwaumba akiwepo shwain.Hivyonakipata changamoto ya kiafya bas means Adam akiwa na suluhidho lake anamtibia na ndipo anapaya thawabu kutoka kwa MnyanziMungu.
Sababu kuu iliyomfanya Mungu akataze nguruwe kuwa kitoweo ni kwamba ana ukaribu Sana na binaadamu na hata wanasayansi wanakubali kuwa IQ yake ni kubwa Sana. Pili hata viungo vyake vingi vinafanana na vya binaadamu ndio maana viungo vyake vinatumika Sana kwenye matibabu na utafiti wa matibabu ya binaadamu.
Hivyo, kitendo Cha kumla shwain ni sawa sawa na kumla ndugu yako na inawezekana nyama ya shwain na ya binaadamu zinafanana Sana kwa ladha na Muonekano. Hivyo tusile hiyo nyama. Lakini kutokuila haimaanishi tumchukie kiumbe huyo Bali tumtumze kwani Mungu kamuumba kwa makusudi yake