Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kiukweli Mukwala kuchezea Simba ni hatari sana kwa usalama wa timu yetu, sio striker mkali kivile, Mukwala hamfikii hata robo huyo Baleke anayetemwa Yanga, Mukwala hamfikii hata Freddy Michael Funga Funga, leo amedhihirisha wazi kabisa kuwa hata robo hamfikii Herieth Makambo wala Yakuba Sogni.
Mukwala sio asset, Mukwala ni Liability, Simba itafute striker mwingine dirisha dogo huyu ameprove failure kabisa.
Mzunguko wa pili mgumu sana tunahitaji striker kweli kweli na sio huyu
Mukwala sio asset, Mukwala ni Liability, Simba itafute striker mwingine dirisha dogo huyu ameprove failure kabisa.
Mzunguko wa pili mgumu sana tunahitaji striker kweli kweli na sio huyu