Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Dirisha dogo linaanza liniKiukweli Mukwala kuchezea Simba ni hatari sana kwa usalama wa timu yetu, sio striker mkali kivile, Mukwala hamfikii hata robo huyo Baleke anayetemwa Yanga, Mukwala hamfikii hata Freddy Michael Funga Funga, leo amedhihirisha wazi kabisa kuwa hata robo hamfikii Herieth Makambo wala Yakuba Sogni.
Mukwala sio asset, Mukwala ni Liability, Simba itafute striker mwingine dirisha dogo huyu ameprove failure kabisa.
Mzunguko wa pili mgumu sana tunahitaji striker kweli kweli na sio huyu
Ulishawahi kucheza mpira mkuu?Kiukweli Mukwala kuchezea Simba ni hatari sana kwa usalama wa timu yetu, sio striker mkali kivile, Mukwala hamfikii hata robo huyo Baleke anayetemwa Yanga, Mukwala hamfikii hata Freddy Michael Funga Funga, leo amedhihirisha wazi kabisa kuwa hata robo hamfikii Herieth Makambo wala Yakuba Sogni.
Mukwala sio asset, Mukwala ni Liability, Simba itafute striker mwingine dirisha dogo huyu ameprove failure kabisa.
Mzunguko wa pili mgumu sana tunahitaji striker kweli kweli na sio huyu
Lengo wamchukue wao yangaId yako sijawahi kuiona ikipost mambo ya simba wala kukomenti kwenye threads za simba we ni yanga a.k.a utopolo toa huo mwiko nyuma kwanza ndo ukomenti.
Mukwala tuko naye na tunatamba naye haachwi mtu deal na litimu lako acha shobo na ugasho ungali mtoto mdogo hata meno wala v×z× hujaanza kunyoa.
makelele tu, wewe unaweza?Kiukweli Mukwala kuchezea Simba ni hatari sana kwa usalama wa timu yetu, sio striker mkali kivile, Mukwala hamfikii hata robo huyo Baleke anayetemwa Yanga, Mukwala hamfikii hata Freddy Michael Funga Funga, leo amedhihirisha wazi kabisa kuwa hata robo hamfikii Herieth Makambo wala Yakuba Sogni.
Mukwala sio asset, Mukwala ni Liability, Simba itafute striker mwingine dirisha dogo huyu ameprove failure kabisa.
Mzunguko wa pili mgumu sana tunahitaji striker kweli kweli na sio huyu
Ni umbea tu,wa Tanzania ni kama washirikina tu.Sikia upande mwingine wanavyomuimba dube.Utadhani hawakuwa wakimtukana.Mwache ww huoni mchezo ulivyokua?
Hatuhitaji ushauri wako mr UtoWewe ni mtu unaye itakia mema timu yako, Mbumbumbu wengi hawaoni timu inavyo pata Matokeo kwa njia za panya.
Muda usio na Jina mambo yataharibika ata iyo nafasi ya pili wataikosa ndipo watakapo shtuka.
Muda si mrefu wata kuja na nyimbo za kuhamia Burundi.
Anaweza akawa hajacheza ..basi atutajie tu leseni yake ya ukochaUlishawahi kucheza mpira mkuu?