Muliro awakana Makada wa CHADEMA wanaodai kuteswa, kutupwa porini

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro.jpg

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amekanusha jeshi hilo kuwakamata makada wa Chadema waliokuwa wakihudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24, 2025.

Awali Kamanda Muliro aliwaonya viongozi na wanachama wa Chadema kutofika mahakamani hapo kufuatilia kesi hiyo, kwa madai kuwa wanataka kushinikiza Lissu aachiliwe huru, jambo ambalo lilipingwa na viongozi wa chama hicho waliowataka wanachama wao kufika kufuatilia kesi hiyo.

Kesi hiyo iliyosikilizwa kwa njia ya mtandao, ilitawaliwa na vurugu, baada ya polisi wa kutuliza ghasia kuwatawanya wafuasi wa Chadema na wengine wakikamatwa.

Msikilize Amani Golugwa: Golugwa adai makada 21 waliteswa

Aprili 25, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Amani Golugwa alitaja wanachama 21 aliodai kuwa walikamatwa na polisi wakiwa njiani kuelekea Mahakama ya Kisutu na kisha kuteswa kabla ya kutupwa maporini ndani na nje ya Dar es Salaam.

Waliotajwa ni pamoja na Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Mzee anayedaiwa kupigwa mwili mzima, Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar), Ally Juma ambaye naye amedaiwa kupigwa marungu kwenye uti wa mgongo na kuvunjwa mguu wa kulia na mkono wa kushoto.

Wengine ni pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa chama hicho, Tito Kitalika anayedaiw akuwa na hali mbaya kutokana na kipigo alichopata na Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti, Lucas Ngoto aliyevunjwa mguu na Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganaizesheni, John Pambalu ambaye pia anadaiwa kuvunjwa mguu.

Wengine ni Peter Alex, Emmanuel Severine, Bwire G Bwire, Elizabeth Mangosho, Taliflo Mussa Mussa, Emmanuel Modest Mwihawa, Nasra Said (mwandishi wa habari), Ramadhan Kilengo, Pendo Jonas Kileo, Twaha Mwaipaya, Raphael Makalla mzee wa miaka 70, aliyeteguka mguu.

Wengine ni Shaaban Kirita aliyeokotwa kutoka Coco Beach baada ya kuokolewa na wasamaria wema na Erick Zakaria Bulega.

Angalia maelezo: Waeleza walivyoteswa

Muliro akana kukamata makada Chadema

Akizungumza na Jamii Forums leo Aprili 28, Kamanda Muliro amesema waliokamatwa Aprili 24 ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche na Katibu Mkuu, John Mnyika na walirudi wakiwa salama.

“Sisi tuliwakamata Heche na Mnyika, waliulize kama wana majeraha. Hao wengine tuwakamate tuwapeleke wapi? Waulizeni walikamatwa wapi?” amehoji.

Heche aeleza alivyokamatwa: Heche adai kutekwa na polisi

Licha ya picha za video kuonyesha watu mbalimbali wakimakamatwa na kuwekwa kwenye magari ya polisi, Kamanda Muliro amekana.

“Hebu muwahoji hao, kwa hiyo kila aliyepigwa na kujeruhiwa siku hiyo alikamatwa na polisi? Ukienda pale MOI (Muhimbili Orthopedic Institute), kila aliyejeruhiwa alikamatwa na polisi?”

Ametetea sababu ya kuwafukuza wanachama wa Chadema eneo la Mahakama akisema wangesababisha shughuli za mahakama hiyuo zisimame.

Alipoulizwa kama kuna sharia inayowazuia watu kwenda kusikiliza kesi zao mahakamani, amesema:

“Sisi tuliweka mazingira mazuri kwa mahakama kufanya kazi. Kwani hao Chadema peke yao ndio wenye kesi? Pale Kisutu kuna mahakakimu wangapi? Kama Mahakimu wapo 20, kesi moja ya Lissu ndio isimamishe kesi nyingine 19? Hao wanyonge wengine wasisikilize kesi zao?

“Iweje watu kama 3,000 waje pale mahakamani wapige kelele dunia yote ijue?” amehoji.

Kamanda Muliro pia amesema kauli ya viongozi wa Chadema ya kutaka Lissu aachiliwe ndio imewaponza Chadema.

“Walisema tunataka Mahakama imwachilie Lissu la sivyo tutachukua hatua” amedai Muliro.

Ameendelea, “kwa hiyo ulitaka tusubiri hiyo hatua?Ulitaka tusubiri ushahidi? Sisi kazi yetu ni kuzuia uhalifu usifanyike.

“Hili ni jiji la biashara, ukiangalia upande huu kuna vituo vya mafuta, ukiangalia upande huu kuna maduka, ukiangalia upande huu kuna Maktaba ya Taifa. Ni pesa tupu,” amesema.

Alipoulizwa kama polisi wataendelea kuzuia watu kuhudhuria kesi za Lissu, Muliro amesema, “Sisi tunaangalia mtu mwenye nia ya kufanya uovu, tukimbaini tutamkamata. Kazi ya polisi ni kuzuia uovu sio kusubiri utokee.”

Mnyika aeleza alivyokamatwa: Mnyika alivyokamatwa

Kuvunjwa mkutano Kariakoo
heche1.jpg

Akizungumia tukio la polisi kuzuia mkutano wa hadhara uliotakiwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche Aprili 22, Muliro amesema walivunja baada ya kuona kuna hatari.

Awali Chadema walisema kuwa walishatioa taarifa kwa Jeshi la Polisi siku sita kabla ya kufanya mkutano huo, lakini siku hiyo ndipo polisi waliwajibu na kuvunja mkutano huo, hali iliyosababisha vurugu na kisha Heche kikamatwa na polisi.

“Sawa walitoa taarifa wiki moja kabla, lakini kama kukitokea shida muda mfupi tusizuie? Kuna watu pale wanafanya biashara na wasingependa kufanyiwa mkutano. Kuna watu sio wana Chadema pale unafikiri wote watakubali?” amehoji Muliro.

Alipoulizwa sababu ya kuvutana na Chadema ilihali mikutano mingine ikiwamo ya CCM hufanyikia Kariakoo, Muliro amesema hawana upendeleo kwa chama chochote.

“CCM huwa tukiwashauri huwa wanakubali, hawapigi kelele na ushahidi ninao. Mbona wao tukiwashauri huwa wanakubali tu?

“Mbona Chadema wamefanya mikutano maeneo mbalimbali na tumewapa ulinzi? Wamefanya mikutano Manzese, Buza Mwanagati, Buza Kwa Mama Kibonge, Tegeta, Temeke na maeneo mengine. Wamefanya mikutano na wamewasema polisi, mbona hatukuzia?”
 
View attachment 3318629

Akizungumza na Jamii Africa leo Aprili 28, Kamanda Muliro amesema waliokamatwa Aprili 24 ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche na Katibu Mkuu, John Mnyika na walirudi wakiwa salama.

View attachment 3318643

Jeshi la Wahuni, la KIHUNI
 
Hivi inawezekana kabisa hao jamaa kwenye mitaala yao huwa wanafundishwa mambo ya kujizima data, kujitoa ufahamu, maigizo, namna ya kuondoa mishipa ya aibu, wanafundishwa kuua na kutesa raia wasio na hatia, kupokea rushwa, kutumikishwa kama wanyama na watawala wa chama tawala, nk.
 
Sisi ni waafrika na tuna mila zetu.
Haya masheria ya kizungu yanatumiwa na watawala kuua watu na kumwaga damu za watu kwa uonevu .

Kama sheria za kizungu hazifuatwi kutoa haki ni vyema watu wakatafuta haki na kulipa visasi kwa kutumia nguvu za asili na mizimu ya kiafrika kufikisha kilio cha damu za watu kwa Mungu .
Kuna wazee wanaojua matambiko ya kulipa visasi . Changeni pesa watafutwe hata Kongo na Nigeria . Kama watu wanafanya matambiko ya kuzuia risasi ili wafanye uhalifu kule Kigoma basi ni wazi wakipewa pesa watafanya matambiko ya malipizi na haki ikaheshimiwa na wale watakaokalia ofisi za umma,

Kuua mtu bila kosa halafu ndugu wakae kimya au kuvunja mtu mguu awe mlemavu halafu ndugu wakae kimya ni jambo baya sana na kutomtendea mhanga haki .

Kama taasisi watu wanatakiwa wachangie pesa kwa ajili ya kulipa kisasi kwa njia ya asili iliyowaumba wanadamu wote .

Chadema mtaoukutishwa kama mtashindwa kuwaadhibu wauaji basi itakua ni kushindwa kukubwa sana
 
View attachment 3318629
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amekanusha jeshi hilo kuwakamata makada wa Chadema waliokuwa wakihudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24, 2025.

Awali Kamanda Muliro aliwaonya viongozi na wanachama wa Chadema kutofika mahakamani hapo kufuatilia kesi hiyo, kwa madai kuwa wanataka kushinikiza Lissu aachiliwe huru, jambo ambalo lilipingwa na viongozi wa chama hicho waliowataka wanachama wao kufika kufuatilia kesi hiyo.

Kesi hiyo iliyosikilizwa kwa njia ya mtandao, ilitawaliwa na vurugu, baada ya polisi wa kutuliza ghasia kuwatawanya wafuasi wa Chadema na wengine wakikamatwa.

Msikilize Amani Golugwa: Golugwa adai makada 21 waliteswa

Aprili 25, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Amani Golugwa alitaja wanachama 21 aliodai kuwa walikamatwa na polisi wakiwa njiani kuelekea Mahakama ya Kisutu na kisha kuteswa kabla ya kutupwa maporini ndani na nje ya Dar es Salaam.

Waliotajwa ni pamoja na Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Mzee anayedaiwa kupigwa mwili mzima, Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar), Ally Juma ambaye naye amedaiwa kupigwa marungu kwenye uti wa mgongo na kuvunjwa mguu wa kulia na mkono wa kushoto.

Wengine ni pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa chama hicho, Tito Kitalika anayedaiw akuwa na hali mbaya kutokana na kipigo alichopata na Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti, Lucas Ngoto aliyevunjwa mguu na Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganaizesheni, John Pambalu ambaye pia anadaiwa kuvunjwa mguu.

Wengine ni Peter Alex, Emmanuel Severine, Bwire G Bwire, Elizabeth Mangosho, Taliflo Mussa Mussa, Emmanuel Modest Mwihawa, Nasra Said (mwandishi wa habari), Ramadhan Kilengo, Pendo Jonas Kileo, Twaha Mwaipaya, Raphael Makalla mzee wa miaka 70, aliyeteguka mguu.

Wengine ni Shaaban Kirita aliyeokotwa kutoka Coco Beach baada ya kuokolewa na wasamaria wema na Erick Zakaria Bulega.

Angalia maelezo: Waeleza walivyoteswa

Muliro akana kukamata makada Chadema

Akizungumza na Jamii Africa leo Aprili 28, Kamanda Muliro amesema waliokamatwa Aprili 24 ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche na Katibu Mkuu, John Mnyika na walirudi wakiwa salama.

“Sisi tuliwakamata Heche na Mnyika, waliulize kama wana majeraha. Hao wengine tuwakamate tuwapeleke wapi? Waulizeni walikamatwa wapi?” amehoji.

Heche aeleza alivyokamatwa: Heche adai kutekwa na polisi

Licha ya picha za video kuonyesha watu mbalimbali wakimakamatwa na kuwekwa kwenye magari ya polisi, Kamanda Muliro amekana.

“Hebu muwahoji hao, kwa hiyo kila aliyepigwa na kujeruhiwa siku hiyo alikamatwa na polisi? Ukienda pale MOI (Muhimbili Orthopedic Institute), kila aliyejeruhiwa alikamatwa na polisi?”

Ametetea sababu ya kuwafukuza wanachama wa Chadema eneo la Mahakama akisema wangesababisha shughuli za mahakama hiyuo zisimame.

Alipoulizwa kama kuna sharia inayowazuia watu kwenda kusikiliza kesi zao mahakamani, amesema:

“Sisi tuliweka mazingira mazuri kwa mahakama kufanya kazi. Kwani hao Chadema peke yao ndio wenye kesi? Pale Kisutu kuna mahakakimu wangapi? Kama Mahakimu wapo 20, kesi moja ya Lissu ndio isimamishe kesi nyingine 19? Hao wanyonge wengine wasisikilize kesi zao?

“Iweje watu kama 3,000 waje pale mahakamani wapige kelele dunia yote ijue?” amehoji.

Kamanda Muliro pia amesema kauli ya viongozi wa Chadema ya kutaka Lissu aachiliwe ndio imewaponza Chadema.

“Walisema tunataka Mahakama imwachilie Lissu la sivyo tutachukua hatua” amedai Muliro.

Ameendelea, “kwa hiyo ulitaka tusubiri hiyo hatua?Ulitaka tusubiri ushahidi? Sisi kazi yetu ni kuzuia uhalifu usifanyike.

“Hili ni jiji la biashara, ukiangalia upande huu kuna vituo vya mafuta, ukiangalia upande huu kuna maduka, ukiangalia upande huu kuna Maktaba ya Taifa. Ni pesa tupu,” amesema.

Alipoulizwa kama polisi wataendelea kuzuia watu kuhudhuria kesi za Lissu, Muliro amesema, “Sisi tunaangalia mtu mwenye nia ya kufanya uovu, tukimbaini tutamkamata. Kazi ya polisi ni kuzuia uovu sio kusubiri utokee.”

Mnyika aeleza alivyokamatwa: Mnyika alivyokamatwa

Kuvunjwa mkutano Kariakoo
View attachment 3318643
Akizungumia tukio la polisi kuzuia mkutano wa hadhara uliotakiwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche Aprili 22, Muliro amesema walivunja baada ya kuona kuna hatari.

Awali Chadema walisema kuwa walishatioa taarifa kwa Jeshi la Polisi siku sita kabla ya kufanya mkutano huo, lakini siku hiyo ndipo polisi waliwajibu na kuvunja mkutano huo, hali iliyosababisha vurugu na kisha Heche kikamatwa na polisi.

“Sawa walitoa taarifa wiki moja kabla, lakini kama kukitokea shida muda mfupi tusizuie? Kuna watu pale wanafanya biashara na wasingependa kufanyiwa mkutano. Kuna watu sio wana Chadema pale unafikiri wote watakubali?” amehoji Muliro.

Alipoulizwa sababu ya kuvutana na Chadema ilihali mikutano mingine ikiwamo ya CCM hufanyikia Kariakoo, Muliro amesema hawana upendeleo kwa chama chochote.

“CCM huwa tukiwashauri huwa wanakubali, hawapigi kelele na ushahidi ninao. Mbona wao tukiwashauri huwa wanakubali tu?

“Mbona Chadema wamefanya mikutano maeneo mbalimbali na tumewapa ulinzi? Wamefanya mikutano Manzese, Buza Mwanagati, Buza Kwa Mama Kibonge, Tegeta, Temeke na maeneo mengine. Wamefanya mikutano na wamewasema polisi, mbona hatukuzia?”
Najiuliza ikija civil war hawa wataweza kupigana? sidhani maana wamezoea kuumiza raia wakikutana na wababe sidhani kama watamudu!.....hawawezi......
 
Sasa kama anakana polisi hawakuwakamata, kuwapiga na kuwatesa, si Jeshi la Polisi lingewakamata na kuwashtaki viongozi/wanachama wa Chadema kwa kusema/kuchapisha habari za uwongo, halafu wapelekwe mahakamani, na huko ndiko ukweli ujulikane?
 
Hivi hii nchi ina waandishi kweli? Mkiwa mnaukizaga vitu gani? Uhuni kama huu viongozi wa dini wakiongea mnasema siasa
 
Hawa Policcm wanatufanya Watz ni mazuzu, mazezeta na tusiojua lolote kuhusu kinachoendelea hapa nchini kuhusu kesi ya CHADEMA......!!!!
 
Back
Top Bottom