Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Sawa Naibu wa Mama Samia na Murilo. Time gonna tell!Sawa Naibu Mungu.
Sawa Naibu wa Mama Samia na Murilo. Time gonna tell!Sawa Naibu Mungu.
Pambaf na Chawa mkubwa ww!!kuna vyombo vingine vya ukamataji sio lazima polisi, inawezekana walikamatwa na askari wa wanyama pori,
Amesema askari wa Wanyama pori.Taja hivyo vyombo vingine vya ukamataji!
Aisee!!Amesema askari wa Wanyama pori.
Kwa maana hiyo kuna Watz kumbe wanaonekana ni sawa na wanyama ndani ya Tanzania. Kisa tu wako upinzani au vyama vya siasa tofauti na CCM!!
Udikteta, Uonevu, Ukandamizaji na Unyanyadaji unaofanywa na CCM kwa CHADEMA haihitaji sayansi ya Kurusha roketi kuyaona haya!!!Kama Msemaji wa Magereza alitoa mpaka press ya uongo kuwa na kuutangazia umma kuwa Lisu bado yupo Gereza la Keko na hajahamishwa Gereza; Ni wazi CCM na serikali yake haiaminiki na imekua ikitengeneza matukio ya uongo na kuudanganya umma.
Wale Askari kazi wako nayo kwa Kenye imeenda hiyo.Ipo Tiktok documentary yote.Ule mzigo ni balaa, ile journalism imefanyika pale ni top notch. Hadi serikal ya kenya inefungia lakin wapi.
Natamani wafanye ile kwa tz
Salama yake afe muda huu vinginevyo akiwa hai atakamatwa tuAtakuja tu kushitakiwa hata akiwa kibabu wa miaka 80.
Akae kwa kutulia.
siwamekutwa kwenye hifadhiPambaf na Chawa mkubwa ww!!
Pale Mahakama ya Kisutu kulikuwa na Askari wa Wanyama pori? Unataka kumdanganya nani kuwa pale Kisutu siku hz ni Mbuga ya Wanyama? Think b4 u utter thy nonsensical ideas!
sasa nyie mliempiga dada wa watu ngumi ya jicho nani gaidi?CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kihalifu.
Hv hujui kuwa Policcm ndo walio wapeleka huko porini??siwamekutwa kwenye hifadhi
ila haya mambo kutoana ngeo sio mazuri, tutafute njia bora ya kufanya siasa,Hv hujui kuwa Policcm ndo walio wapeleka huko porini??
Kaoge kwanza usituletee janaba lako humu.sasa nyie mliempiga dada wa watu ngumi ya jicho nani gaidi?
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amekanusha jeshi hilo kuwakamata makada wa Chadema waliokuwa wakihudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24, 2025.