Muliro awakana Makada wa CHADEMA wanaodai kuteswa, kutupwa porini

Sasa kama anakana polisi hawakuwakamata, kuwapiga na kuwatesa, si Jeshi la Polisi lingewakamata na kuwashtaki viongozi/wanachama wa Chadema kwa kusema/kuchapisha habari za uwongo, halafu wapelekwe mahakamani, na huko ndiko ukweli ujulikane?

Kama Msemaji wa Magereza alitoa mpaka press ya uongo kuwa na kuutangazia umma kuwa Lisu bado yupo Gereza la Keko na hajahamishwa Gereza; Ni wazi CCM na serikali yake haiaminiki na imekua ikitengeneza matukio ya uongo na kuudanganya umma.
 
Mungu atakuua wewe kwanza
Mungu anauwa madikteta wa CCM wanoua,kutesa na kupoteza Watz wenzao! Kama hujui endeleeni na ujinga wenu, utaenda kumwuliza JPM a.k.a Mwendazake!! (Roho ya Kaini aliyemwua ndugu yake Habili).

Kaini alimwua ndugu yake wa kuzaliwa Habili(Abel). Kaini alipoulizwa na Mungu ndugu yake yuko wapi akasema HAJUI na yeye SI MULINZI wa ndugu yake. Hichi ndicho wanachowafanyia Watz wasio na hatia kosa lao ni kuwa Wanachadema kwa mujibu wa Katiba ya JMT.
 
WanaCHADEMA waliofariki nao walikuwa madikteta?
 
Ulitegemea nini, km walimuua dada akwilina kisha wakasema mbowe ndo muuaji unakumnbuka
 
Huyo mburundi hata yeye mwenyewe anajistukia anapoongea, anahaha kusikia atashtakiwa
 
Akili, mbinu na vifaa vya kisasa inatakiwa kutumika kukabiliana na hawa watu
wao wana silaha na wananguvu nyingi lakini hata Goliathi alikufa kwa namna Daudi alivyofanya
 
Nipo tayari kuchanga kama kazi itafanyika na nikaona Polisi wakifa kama Kuku
 
Hao waliovunjwa miguu wapo hospitali gani niwatembelee ndugu zetu hao
 
Nipo tayari kuchanga kama kazi itafanyika na nikaona Polisi wakifa kama Kuku

Kuacha Damu ya mtu ipotee kama vile gogo ni mbaya hata kwa wale waliokaa kimya .

Yaani mtu apige mtu asiye na hatia na kumuua hadharani au hata kwa siri halafu eti jamii ikae kimya na kusamehe eti inamwachia Mungu !! Sio sawa labda kama wenzake wanamtoa kafara ! Na yeye anajitoa kafara kama YESU lakini kama ni kupigania haki basi mapambano hayaishi hapo yanatakiwa ya waguse Wauaji kwa namna ya kuwafanya wajue.

Hivi kwa mfano LimuLilo hata kwa kuliangalia linahofu ya kumwaga damu ya mtu ,au hata kumwogopa Mungu . Kwanza ukiliambia habari ya Mungu linakudharau na kukuona unaliletea masihara . Na unaposema unamwachia Mungu ni lazima uwe na imani ya kimungu kweli sio mchezo mchezo maana ukisema sisi tumesamehe basi ujue Mungu naye anasamehe maana umewaombea msamaha . Unasubiri kuingia peponi .

Watawala Katili walitumia Ukatili kuitawala Dunia na kuwaumiza watu kwa karne nyingi sana huku wakifurahia misamaha ya ukatili wao lakini pia walifanikiwa kufuta matambiko ya haki ya asili kwa kuungana na waliokua wanayapinga ili jamii ibaki gizani na kutawaliwa kama wanyama.

Enzi za Babu zetu katika mila za makabila mengi mtu akikutwa ameuawa ,Ndugu zake wanatangaza hadharani kuwa wanatoa muda kwa aliyemuua ndugu yao ajitokeze hadharani Ili wamhukumu kwa kumpiga faini ya kulipa fidia lakini akisipotoka kwa muda uliotajwa basi watarudi kwenye matambiko .
Tambiko lilifanyika na Yule mtu alikua anazika ndugu zake kila mwaka kwa Tarehe ile ile kila mwaka mpaka ukoo unaisha kabisa na yeye anakua wa mwisho ili apate majuto makubwa . Baada ya hapo watu wanafanya tambiko la kupooza hasira ya mizimu.

Palikua hakuna kucheka na wauaji wasiojulikana ?
Leo hii watu wanaangalia ndugu au rafiki yao au baba yao au mtoto wao anauawa na watu wasiojulikana na sio kwamba ameliwa na Simba au chui au mamba ,wanakaa kimya kama vile kuku amekufa kwa kideri . Hii ni dhambi kuliko ushirikina.

Leo mtu akiibiwa hata Mbuzi wake anahangaika kujua nani ameiba au ameingia kwenye zizi na kuua wanyama wake .
Hata Mkulima au mfugaji hawezi kukaa kimya ngombe wake akauawa au mazao yake Yakaliwa.
Akikaa kimya mazao yake Yakaliwa basi mwakani wataingiza tena mifugo . Lakini mifugo wamekula mahindi ya mtu . Kesho ukatia sumu kwenye shamba wakafa ng'ombe mia . Mwakani hathubutu kuingiza ng'ombe labda awe mgeni .
Aliyesema jino kwa jino ni yeye kwa sababu alijua kuwa kisasi ni Tiba ndiyo maana mahakama zipo kwa ajili ya kulipa visasi badala ya waliokosewa lakini kama mahakama zinasimama kuwalinda waonevu basi kisasi kinarudi mikononi mwa watu katika asili yao iliyoonekana . Asili ipo kwa ajili ya kulinda wanyonge wasionewe na wenye nguvu .

Kila aliyeumizwa au kuuawa atafute haki yake katika asili ili watu waogope kumwaga damu za watu wanyonge wasio na nguvu wala hatia.

Anapigwa kitu kila akisimama mbele za watu anableed damu kama maji hata avae pampus zinatoka kwama mto Rufiji .
Kama ni mwanaume pigwa kitu anakua kichaa na kutoa mboohh hadharani .

Lakini eti tumesamehe tutamwachia Mungu . Mungu atasamehe pia maana mmeridhika . Ndio maana watu waliuzwa kama wanyama na Mungu alikaa kimya kwa sababu waliridhika wakati aliwapa nguvu za kuwaadhibu waovu kwa adhabu kali badala yake wakaungana na Watekaji kwa tamaa ya kupewa rushwa za Kaniki na shanga . Ndugu zao wakachukuliwa kwenda kuwa watumwa .

Tukapoteza nguvu za Mungu za asili na uhuru wetu katika jamii yetu na ardhi yetu.

Leo Bomu lenye pilipili linawaogopesha watu wenye uwezo wa kumfanya mtu avimbe tumbo na kumpiga kifafa akiwa nyumbani kwake kabla hata hajampiga mtu risasi 😆😆😆
Maana ni pilipili tu hakuna sumu .

Watawala wao wanafanyiwa matambiko ya kula aina kuwatisha na kuwakalia watu. Wanachoshindwa kujua ni kwamba matambiko siku zote yanazingatia sana Haki . Yaani kudhulumu mtu huyoboi hata kwa mganga gani !1 Eti Mbunge anashinda kwa dhulma na ameua watu halafu anakwenda Bungeni kabisa kwa raha kabisa kama Musukuma na Mawazo . Yeye anajizatiti kwa waganga halafu waliopoteza ndugu zao wanakwenda kuomba Mungu amsamehe muuaji .Mungu atasamehe maana ameombwa .😆😆😆😆.
Damu inasubiri kulipizwa .
Ilikua ni wote kwa mtaalamu ili mizimu na asili iamua nani mwenye haki .Leo Msukuma angekua anaokota Makopo na kulala makaburini
 

Mungu haui mtu bila kushitakiwa na kumlalamikia kwa formula na dua alizozitoa .

Ukisema nimesamehe namwachia Mungu basi Mungu anasamehe pia lakini utapata thawabu kubwa ila adui yako ataendelea kudunda na kuumiza watu akisubiri kinyama .
Lakini binadamu amepewa akili ya kujua lipi la kulipa kisasi na lipi la kusamehe . Kusamehe ni lazima mkosaji aombe msamaha kwa kukiri kosa lake . na Alipokiri kosa basi anaadhibiwa kwa kiwango kile kile. Yaani kama ni jino ,basi ni jino kwa jino .
Kwa waislam kuna allbadiri na Wakristo kuna vifungu na Zaburi za kuomba Mungu apigane na adui zako kwa kuwalipa mabaya kwa ubaya wanaokutendea na sehemu zao ziondoshwe milele.
Kwa mila za asili kuna matambiko ya kulipiza kisasi kwa mabaya wanayofanya watu kwa siri au hadharani kwa ubabe wakitegemea nguvu zao basi hakuna namna ya kupambana na mwenye nguvu zaidi ya kuiambia mizimu ya asili ilipoze kisasi.

Bila kilio kulingana kati ya CCM na Wapinzani kamwe hawataacha dhulma inayowanufaisha .

Kama watu wema wanatengenezewa ajali za kimiujiza inashindikana vipi kwa watu waovu .
Kama wamemuua mwanao basi tafuta daktari wa asili afanye dua mtoto wake naye aondoke . Kama ni ndugu au baba yako basi hivyo hivyo . Hiyo ndiyo haki kwa sababu mifumo ya haki imekufa. Serikali isipotenda haki Mungu anadharaulika na watawala wanajiinua na kujiona miungu . Ndio maana Samia kwa sasa hana tofauti na mungu . Ardhi yote ya Tanganyika ni yake ,rasilimali zote ni zake ,sheria inamlinda yeye hata kama amekosea ,vyombo vya dola ni vyake anavipongeza kwa ubaya zaidi kuliko uzuri , mbaya zaidi hata uhai wa wanadamu hauna thamani yoyote kwake kama haumpendi . Yaani ukimchukia huna haki ya kuishi utatafutiwa kisa uuawe au upotezwe.
Huyu Samia ni mungu kabisa tofauti labda kama na yeye atakufa . Lakini inawezekana anajua ataishi milele ndio maana anajisikia kuwa ni mungu . Na hua haheshimu imani za watu wengine na ameaminishwa kuwa imani za watu wengine ni imani za uongo hivyo ulimwambia eti Mungu atalipa anaangalia kwanza nani amesema.
Kama ni askofu,basi anaona hakuna kitskachompata maana hao ni makafiri hawana dini na wanamshirikisha Mungu na wanakufuru Mungu kwa kusema Yesu ni Mungu . Hivyo kwa kauli hiyo tu wanastahili kukatwa shingo. Sasa mtu aliyekulia na kulelewa kwenye mazingira yake tangu utotoni hawezi kuwasikiliza wala kuhofu kauli au ushauri wa maaskofu . Lakini angeambiwa na Mashehe kwa sauti moja angepata hofu .
Halikadhalika Jumanne Mulilo hatishiki na sala za utatu mtakatifu maana haamini katika huo maana hajawahi kuona mtikisiko wa malipizi kwa dua na sala za maaskofu.

Ni Lazima ifikie mahali Mungu wa Elia aonekane sio tu kwa imani ya kusamehe lakini pia kuadhibu kwa moto ili hawa watawala miungu wafikie tamati na Mungu abaki kuwa Mungu pekee na mtawala wa haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…