kuna vyombo vingine vya ukamataji sio lazima polisi, inawezekana walikamatwa na askari wa wanyama pori,Sasa kama anakana polisi hawakuwakamata, kuwapiga na kuwatesa, si Jeshi la Polisi lingewakamata na kuwashtaki viongozi/wanachama wa Chadema kwa kusema/kuchapisha habari za uwongo, halafu wapelekwe mahakamani, na huko ndiko ukweli ujulikane?
Nyinyi chadema mnaishi milele wanaokufa ni CCM na policeHivi huyu MUNGU hawezi kumuua huyu babu ambaye ni laana ya taifa na chukizo mbele MUNGU?
JE MULIRO NI KADA WA CHAMA?View attachment 3318629
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amekanusha jeshi hilo kuwakamata makada wa Chadema waliokuwa wakihudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24, 2025.
Awali Kamanda Muliro aliwaonya viongozi na wanachama wa Chadema kutofika mahakamani hapo kufuatilia kesi hiyo, kwa madai kuwa wanataka kushinikiza Lissu aachiliwe huru, jambo ambalo lilipingwa na viongozi wa chama hicho waliowataka wanachama wao kufika kufuatilia kesi hiyo.
Kesi hiyo iliyosikilizwa kwa njia ya mtandao, ilitawaliwa na vurugu, baada ya polisi wa kutuliza ghasia kuwatawanya wafuasi wa Chadema na wengine wakikamatwa.
Msikilize Amani Golugwa: Golugwa adai makada 21 waliteswa
Aprili 25, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Bara), Amani Golugwa alitaja wanachama 21 aliodai kuwa walikamatwa na polisi wakiwa njiani kuelekea Mahakama ya Kisutu na kisha kuteswa kabla ya kutupwa maporini ndani na nje ya Dar es Salaam.
Waliotajwa ni pamoja na Makamu Mwenyekiti (Zanzibar), Said Mzee anayedaiwa kupigwa mwili mzima, Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar), Ally Juma ambaye naye amedaiwa kupigwa marungu kwenye uti wa mgongo na kuvunjwa mguu wa kulia na mkono wa kushoto.
Wengine ni pamoja na Mkurugenzi wa Fedha wa chama hicho, Tito Kitalika anayedaiw akuwa na hali mbaya kutokana na kipigo alichopata na Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti, Lucas Ngoto aliyevunjwa mguu na Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganaizesheni, John Pambalu ambaye pia anadaiwa kuvunjwa mguu.
Wengine ni Peter Alex, Emmanuel Severine, Bwire G Bwire, Elizabeth Mangosho, Taliflo Mussa Mussa, Emmanuel Modest Mwihawa, Nasra Said (mwandishi wa habari), Ramadhan Kilengo, Pendo Jonas Kileo, Twaha Mwaipaya, Raphael Makalla mzee wa miaka 70, aliyeteguka mguu.
Wengine ni Shaaban Kirita aliyeokotwa kutoka Coco Beach baada ya kuokolewa na wasamaria wema na Erick Zakaria Bulega.
Angalia maelezo: Waeleza walivyoteswa
Muliro akana kukamata makada Chadema
Akizungumza na Jamii Forums leo Aprili 28, Kamanda Muliro amesema waliokamatwa Aprili 24 ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche na Katibu Mkuu, John Mnyika na walirudi wakiwa salama.
“Sisi tuliwakamata Heche na Mnyika, waliulize kama wana majeraha. Hao wengine tuwakamate tuwapeleke wapi? Waulizeni walikamatwa wapi?” amehoji.
Heche aeleza alivyokamatwa: Heche adai kutekwa na polisi
Licha ya picha za video kuonyesha watu mbalimbali wakimakamatwa na kuwekwa kwenye magari ya polisi, Kamanda Muliro amekana.
“Hebu muwahoji hao, kwa hiyo kila aliyepigwa na kujeruhiwa siku hiyo alikamatwa na polisi? Ukienda pale MOI (Muhimbili Orthopedic Institute), kila aliyejeruhiwa alikamatwa na polisi?”
Ametetea sababu ya kuwafukuza wanachama wa Chadema eneo la Mahakama akisema wangesababisha shughuli za mahakama hiyuo zisimame.
Alipoulizwa kama kuna sharia inayowazuia watu kwenda kusikiliza kesi zao mahakamani, amesema:
“Sisi tuliweka mazingira mazuri kwa mahakama kufanya kazi. Kwani hao Chadema peke yao ndio wenye kesi? Pale Kisutu kuna mahakakimu wangapi? Kama Mahakimu wapo 20, kesi moja ya Lissu ndio isimamishe kesi nyingine 19? Hao wanyonge wengine wasisikilize kesi zao?
“Iweje watu kama 3,000 waje pale mahakamani wapige kelele dunia yote ijue?” amehoji.
Kamanda Muliro pia amesema kauli ya viongozi wa Chadema ya kutaka Lissu aachiliwe ndio imewaponza Chadema.
“Walisema tunataka Mahakama imwachilie Lissu la sivyo tutachukua hatua” amedai Muliro.
Ameendelea, “kwa hiyo ulitaka tusubiri hiyo hatua?Ulitaka tusubiri ushahidi? Sisi kazi yetu ni kuzuia uhalifu usifanyike.
“Hili ni jiji la biashara, ukiangalia upande huu kuna vituo vya mafuta, ukiangalia upande huu kuna maduka, ukiangalia upande huu kuna Maktaba ya Taifa. Ni pesa tupu,” amesema.
Alipoulizwa kama polisi wataendelea kuzuia watu kuhudhuria kesi za Lissu, Muliro amesema, “Sisi tunaangalia mtu mwenye nia ya kufanya uovu, tukimbaini tutamkamata. Kazi ya polisi ni kuzuia uovu sio kusubiri utokee.”
Mnyika aeleza alivyokamatwa: Mnyika alivyokamatwa
Kuvunjwa mkutano Kariakoo
View attachment 3318643
Akizungumia tukio la polisi kuzuia mkutano wa hadhara uliotakiwa kufanywa na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche Aprili 22, Muliro amesema walivunja baada ya kuona kuna hatari.
Awali Chadema walisema kuwa walishatioa taarifa kwa Jeshi la Polisi siku sita kabla ya kufanya mkutano huo, lakini siku hiyo ndipo polisi waliwajibu na kuvunja mkutano huo, hali iliyosababisha vurugu na kisha Heche kikamatwa na polisi.
“Sawa walitoa taarifa wiki moja kabla, lakini kama kukitokea shida muda mfupi tusizuie? Kuna watu pale wanafanya biashara na wasingependa kufanyiwa mkutano. Kuna watu sio wana Chadema pale unafikiri wote watakubali?” amehoji Muliro.
Alipoulizwa sababu ya kuvutana na Chadema ilihali mikutano mingine ikiwamo ya CCM hufanyikia Kariakoo, Muliro amesema hawana upendeleo kwa chama chochote.
“CCM huwa tukiwashauri huwa wanakubali, hawapigi kelele na ushahidi ninao. Mbona wao tukiwashauri huwa wanakubali tu?
“Mbona Chadema wamefanya mikutano maeneo mbalimbali na tumewapa ulinzi? Wamefanya mikutano Manzese, Buza Mwanagati, Buza Kwa Mama Kibonge, Tegeta, Temeke na maeneo mengine. Wamefanya mikutano na wamewasema polisi, mbona hatukuzia?”
Hivi unafikiri kwa akili za huyo afande anaweza kuwa anamfahamu hata Pinochet au Pol Pot? Hao ma form four failures wamepewa vyeo vilivyowazidi maarifa. Polisi liachane na hawa wazee wasiojitambua waweke wasomi kwenye hizo nafasi.Hata Augusto Pinochet alijibu kwa dharau sana kipindi hiko.
Leo kiko wpi?
Hata nyie UWT hamuishi mileleNyinyi chadema mnaishi milele wanaokufa ni CCM na police
Hii hoja unaweza kuithibitishaje in relation to kilichotokea Kisutu mahakamani siku hiyo? Kulikuwa na vyombo vingapi vya ukamataji, wakati Muliro mwenyewe akisema Jeshi la Polisi lilikuwa limeimarisha ulinzi? Mbona yeye hakuvitaja?kuna vyombo vingine vya ukamataji sio lazima polisi, inawezekana walikamatwa na askari wa wanyama pori,
MKuu Mahakama zetu hazitoi haki tena. tugeukie Mahakama za kimila ili tupate hakiKuacha Damu ya mtu ipotee kama vile gogo ni mbaya hata kwa wale waliokaa kimya .
Yaani mtu apige mtu asiye na hatia na kumuua hadharani au hata kwa siri halafu eti jamii ikae kimya na kusamehe eti inamwachia Mungu !! Sio sawa labda kama wenzake wanamtoa kafara ! Na yeye anajitoa kafara kama YESU lakini kama ni kupigania haki basi mapambano hayaishi hapo yanatakiwa ya waguse Wauaji kwa namna ya kuwafanya wajue.
Hivi kwa mfano LimuLilo hata kwa kuliangalia linahofu ya kumwaga damu ya mtu ,au hata kumwogopa Mungu . Kwanza ukiliambia habari ya Mungu linakudharau na kukuona unaliletea masihara . Na unaposema unamwachia Mungu ni lazima uwe na imani ya kimungu kweli sio mchezo mchezo maana ukisema sisi tumesamehe basi ujue Mungu naye anasamehe maana umewaombea msamaha . Unasubiri kuingia peponi .
Watawala Katili walitumia Ukatili kuitawala Dunia na kuwaumiza watu kwa karne nyingi sana huku wakifurahia misamaha ya ukatili wao lakini pia walifanikiwa kufuta matambiko ya haki ya asili kwa kuungana na waliokua wanayapinga ili jamii ibaki gizani na kutawaliwa kama wanyama.
Enzi za Babu zetu katika mila za makabila mengi mtu akikutwa ameuawa ,Ndugu zake wanatangaza hadharani kuwa wanatoa muda kwa aliyemuua ndugu yao ajitokeze hadharani Ili wamhukumu kwa kumpiga faini ya kulipa fidia lakini akisipotoka kwa muda uliotajwa basi watarudi kwenye matambiko .
Tambiko lilifanyika na Yule mtu alikua anazika ndugu zake kila mwaka kwa Tarehe ile ile kila mwaka mpaka ukoo unaisha kabisa na yeye anakua wa mwisho ili apate majuto makubwa . Baada ya hapo watu wanafanya tambiko la kupooza hasira ya mizimu.
Palikua hakuna kucheka na wauaji wasiojulikana ?
Leo hii watu wanaangalia ndugu au rafiki yao au baba yao au mtoto wao anauawa na watu wasiojulikana na sio kwamba ameliwa na Simba au chui au mamba ,wanakaa kimya kama vile kuku amekufa kwa kideri . Hii ni dhambi kuliko ushirikina.
Leo mtu akiibiwa hata Mbuzi wake anahangaika kujua nani ameiba au ameingia kwenye zizi na kuua wanyama wake .
Hata Mkulima au mfugaji hawezi kukaa kimya ngombe wake akauawa au mazao yake Yakaliwa.
Akikaa kimya mazao yake Yakaliwa basi mwakani wataingiza tena mifugo . Lakini mifugo wamekula mahindi ya mtu . Kesho ukatia sumu kwenye shamba wakafa ng'ombe mia . Mwakani hathubutu kuingiza ng'ombe labda awe mgeni .
Aliyesema jino kwa jino ni yeye kwa sababu alijua kuwa kisasi ni Tiba ndiyo maana mahakama zipo kwa ajili ya kulipa visasi badala ya waliokosewa lakini kama mahakama zinasimama kuwalinda waonevu basi kisasi kinarudi mikononi mwa watu katika asili yao iliyoonekana . Asili ipo kwa ajili ya kulinda wanyonge wasionewe na wenye nguvu .
Kila aliyeumizwa au kuuawa atafute haki yake katika asili ili watu waogope kumwaga damu za watu wanyonge wasio na nguvu wala hatia.
Anapigwa kitu kila akisimama mbele za watu anableed damu kama maji hata avae pampus zinatoka kwama mto Rufiji .
Kama ni mwanaume pigwa kitu anakua kichaa na kutoa mboohh hadharani .
Lakini eti tumesamehe tutamwachia Mungu . Mungu atasamehe pia maana mmeridhika . Ndio maana watu waliuzwa kama wanyama na Mungu alikaa kimya kwa sababu waliridhika wakati aliwapa nguvu za kuwaadhibu waovu kwa adhabu kali badala yake wakaungana na Watekaji kwa tamaa ya kupewa rushwa za Kaniki na shanga . Ndugu zao wakachukuliwa kwenda kuwa watumwa .
Tukapoteza nguvu za Mungu za asili na uhuru wetu katika jamii yetu na ardhi yetu.
Leo Bomu lenye pilipili linawaogopesha watu wenye uwezo wa kumfanya mtu avimbe tumbo na kumpiga kifafa akiwa nyumbani kwake kabla hata hajampiga mtu risasi 😆😆😆
Maana ni pilipili tu hakuna sumu .
Watawala wao wanafanyiwa matambiko ya kula aina kuwatisha na kuwakalia watu. Wanachoshindwa kujua ni kwamba matambiko siku zote yanazingatia sana Haki . Yaani kudhulumu mtu huyoboi hata kwa mganga gani !1 Eti Mbunge anashinda kwa dhulma na ameua watu halafu anakwenda Bungeni kabisa kwa raha kabisa kama Musukuma na Mawazo . Yeye anajizatiti kwa waganga halafu waliopoteza ndugu zao wanakwenda kuomba Mungu amsamehe muuaji .Mungu atasamehe maana ameombwa .😆😆😆😆.
Damu inasubiri kulipizwa .
Ilikua ni wote kwa mtaalamu ili mizimu na asili iamua nani mwenye haki .Leo Msukuma angekua anaokota Makopo na kulala makaburini
MKuu Mahakama zetu hazitoi haki tena. tugeukie Mahakama za kimila ili tupate haki
Taja hivyo vyombo vingine vya ukamataji!kuna vyombo vingine vya ukamataji sio lazima polisi, inawezekana walikamatwa na askari wa wanyama pori,
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kihalifu.Chadema ni genge la wahuni lazima wadhibitiwe
Hawa kudili nao ni kwa kutumia soft weaponry, wala hamna haja ya kukimbizana nao sana. Revenge zinapigwa kimya kimya tu wanadondoka mmoja baada ya mwengine.Akili, mbinu na vifaa vya kisasa inatakiwa kutumika kukabiliana na hawa watu
wao wana silaha na wananguvu nyingi lakini hata Goliathi alikufa kwa namna Daudi alivyofanya
Kichwa cha Panzi!!!Tofautisha kati ya Kaini kumuua Habili na Mungu kumwua Kaini! Wana CHADEMA wamefariki kwa kuuawa na Mapolisi/CCM a.k.a Wasiojulikana!!!WanaCHADEMA waliofariki nao walikuwa madikteta?
Software, 'ima faima'Hawa kudili nao ni kwa kutumia soft weaponry, wala hamna haja ya kukimbizana nao sana. Revenge zinapigwa kimya kimya tu wanadondoka mmoja baada ya mwengine.
Ule mzigo ni balaa, ile journalism imefanyika pale ni top notch. Hadi serikal ya kenya inefungia lakin wapi.BBC kuna mzigo wameuachia wa Kenya wa Askari kuua vijana wa Gen Z
Kifo cha Mwendazake ni mfano hai kabisa. Huwezi ukapingana na Mungu ukabaki salama!Hawa kudili nao ni kwa kutumia soft weaponry, wala hamna haja ya kukimbizana nao sana. Revenge zinapigwa kimya kimya tu wanadondoka mmoja baada ya mwengine.
Sawa Naibu Mungu.Kichwa cha Panzi!!!Tofautisha kati ya Kaini kumuua Habili na Mungu kumwua Kaini! Wana CHADEMA wamefariki kwa kuuawa na Mapolisi/CCM a.k.a Wasiojulikana!!!
Mwendazake kauawa kwa kudra za Mwenye enzi Mungu!
Upo?