Mwizi na mchawi wote hawana akili. Furaha yao wakutese au kukutia hasara. Mwizi yupo tayari akuibie kitu aischokitumia..ilimradi aisirudi mikono mitupu.Halafu wakazifanyie nini [emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanajeshi huwa naona wanasimamisha basi zao wanapakia wanafunzi wanaosubiri daladala ila hao washenzi hawawezi fanya hivyo. Kwanza wanaweza kuwaibia wanafunzi penseli zao.
Hahahaha, wakienda nishusha sentro atakuja kunitoa?
"Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu?
Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
Zingatia maadili mazuri uliojifunza.Wanajeshi huwa naona wanasimamisha basi zao wanapakia wanafunzi wanaosubiri daladala ila hao washenzi hawawezi fanya hivyo. Kwanza wanaweza kuwaibia wanafunzi penseli zao na vichongeo.
"Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu?
Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
Niliwahi kupanda karandinga la jeshi miaka fulani natoka job. Mvua ilikiwa inanyesha Sana alafu Usafiri mgumu. Wanajeshi wakatupa lift.Wanajeshi huwa naona wanasimamisha basi zao wanapakia wanafunzi wanaosubiri daladala ila hao washenzi hawawezi fanya hivyo. Kwanza wanaweza kuwaibia wanafunzi penseli zao na vichongeo.
Mi nishaomba lift mara kibao
"Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu?
Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
Hajui kama kesi ni nyingi kuliko watuhumiwaUnajitafutia kesi ya buree utaungwa na watuhumiwa na ukapewa kesi, kesi zipo nyingi sana.