Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Yaani CV yangu iharibike kisa jirani kaniona kwenye kaangio la polisi?
"Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu?
Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
Kisa cha kuwatia heka heka ndugu zangu kusaka barua za dhamana kwa kisa cha kupewa lifti hayo magari yanayopeleka watuhumiwa porini kumalizana nao.....
Watubu kwanza
Kuwaamini polisi ni sawa na kutafuta bikra kwa sexual worker