Muliro na Mafwele hivi, hao jamaa ni binadamu kama sisi au?

Court martial kazi yake ni kumfukuza kazi na kumrudisha kwa polisi kuendelea na jinai yake kwenye mahakama ya kiraia, hivyo ndo utaratibu ulivyo ndo maana hata yule Nyundo wa kesi ya kulawiti alikua askari wa Jwtz lakini akakabidhiwa polisi kwasababu ndo wana mamlaka ya kuchunguza makosa ya jinai na kufikisha watuhumiwa mahakamani
Hao hawajafukuzwa kazi, sikiliza vizuri kauli ya Mafwele. Wamewasomba active soldiers na kuwatia nguvuni kana kwamba wao ni civilians, hii ni dharau kwa jeshi. Kwa kifupi hali ilivyo kwa sasa JWTZ(TPDF) si lolote si chochote mbele ya Mafwele.
 
Kuna mtu aliwahi kusema kule twitter/x kwamba huyu mafwele anategemewa sana na idd amin mama kwenye kusimika utawala wake wa kiimla kuliko hata IGP, Nikaweka doubt...

..Ila kwa hii audio niliyoiskia leo, sasa nimeconfirm huyu jamaa sio tu kuwa ana nguvu kuliko IGP kwenye vyomb9 vyetu vya dola, bali ana nguvu kuliko hata CDF mkunda...

....Ni wazi kabisa Mkunda lazima anafahamu kuwa mafwele amewateka mpaka vijana wa JWTZ tena kwa kosa la kipuuzi, eti kuchana bango..

Aisee JWTZ wanazidi kuninyong'onyeza napata mashaka hata siku tukipata miliatary challenge yoyote kama wanaweza wakatulinda, yaani wanakubali wenzao wanashikiliwa na polisi Mafwele kisa tu wamechana bango la picha ya samia? Kosa gani hilo jamani?

Yaani mimi nimepanga nyumba nalipia kodi, kisha wewe uje upachike bango lako sijui la kampeni, mimi nilitoe uniambie eti nimefanya kosa la jinai unitie mbaroni?

Aisee JWTZ wametia aibu sana kwa kuruhusu huyu mpuuzi achezee vyombo vyetu vya ulinzi kwa ajili tu ya maslahi ya samia.

Mpaka hapa nimeshaanza kuona hatuna jeshi...

..maana sababu legitimate za JWTZ kumfurumusha samia na genge lake bila hata ya sisi kuingia barabarani zipo, hawaoni mainchi ya west africa huko, raisi akizungua tu wanamfurumisha bila hata kusubiri wanainchi waandamane!
Jwtz
Ni
Jeshi la WAOGA Tanzania
Jeshi la wanaccm Tanzania
Jeshi la walanchi Tanzania
 
Hao hawajafukuzwa kazi, sikiliza vizuri kauli ya Mafwele. Wamewasomba active soldiers na kuwatia nguvuni kana kwamba wao ni civilians, hii ni dharau kwa jeshi. Kwa kifupi hali ilivyo kwa sasa JWTZ(TPDF) si lolote si chochote mbele ya Mafwele.
Kuna mtu alisema Twitter kuwa Jwtz kirefu chake ni Jeshi la waoga Tanzania na mafwele ndio Defacto president wa Tanzania ni rais kivuli wa Tanzania.
 
Hawa jamaa wamefikia extent ya kuteka mpaka wajeda, ila TZ wanajeshi ni machoko sana yaani nao huyo Mafwele anawagaragaza kama nao ni defenseless common citizens.
JWTZ mmetia aibu, Mafwele anawateka na anatamba kwa polisi wenzake, wananrekodi na kuzivujisha mpo mmekaa kikondoo tu stupid.
Hahaha na akiamua anawala jicho
 
Kuna mtu aliwahi kusema kule twitter/x kwamba huyu mafwele anategemewa sana na idd amin mama kwenye kusimika utawala wake wa kiimla kuliko hata IGP, Nikaweka doubt...

..Ila kwa hii audio niliyoiskia leo, sasa nimeconfirm huyu jamaa sio tu kuwa ana nguvu kuliko IGP kwenye vyomb9 vyetu vya dola, bali ana nguvu kuliko hata CDF mkunda...

....Ni wazi kabisa Mkunda lazima anafahamu kuwa mafwele amewateka mpaka vijana wa JWTZ tena kwa kosa la kipuuzi, eti kuchana bango..

Aisee JWTZ wanazidi kuninyong'onyeza napata mashaka hata siku tukipata miliatary challenge yoyote kama wanaweza wakatulinda, yaani wanakubali wenzao wanashikiliwa na polisi Mafwele kisa tu wamechana bango la picha ya samia? Kosa gani hilo jamani?

Yaani mimi nimepanga nyumba nalipia kodi, kisha wewe uje upachike bango lako sijui la kampeni, mimi nilitoe uniambie eti nimefanya kosa la jinai unitie mbaroni?

Aisee JWTZ wametia aibu sana kwa kuruhusu huyu mpuuzi achezee vyombo vyetu vya ulinzi kwa ajili tu ya maslahi ya samia.

Mpaka hapa nimeshaanza kuona hatuna jeshi...

..maana sababu legitimate za JWTZ kumfurumusha samia na genge lake bila hata ya sisi kuingia barabarani zipo, hawaoni mainchi ya west africa huko, raisi akizungua tu wanamfurumisha bila hata kusubiri wanainchi waandamane!
CDF Mkunda na ***** tu mbele ya Mafwele na hiyo clip ndiyo imetuthibitishia kila kitu, yaani Mafwele ni zaidi ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama combined. Jamaa anaua watu kama anaua sisimizi sasa kaanza kuteka wajeda nao walivyo maboya wameufyata tu.
 
Inasemekana huyo mtu ana pawa kubwa sana. Ipo siku atamshughulikia hata bitozo. Kiufupi huyo jamaa ni De facto president
 
Kwanini wachawi wasiroge akufe kazi iishe. Au wale wataalam wa kutuma Radi toka Rukwa na Katavi kwanini wasitume radi moja tu kazi iishe. Mbona wachawi wanatesa watu mtaani kwanini wasishughulikie hao watu wanaotesa taifa zima. Wachawi wa kitanzania na wenyewe ni wazembe.
Wakerewe wanatumaga mamba nchi kavu😊
 
Hahaha na akiamua anawala jicho
Labda keshawala teyari, kama aliwala mpaka activists wa Kenya na Uganda nao wakayamwaga hadharani hiyo huwa ndiyo psychological plus physical tortures ambazo huwa wanawafanyia na kuwarekodi huku wakiwatishia kuzivujisha wasipo-comply.
 
Inasemekana huyo mtu ana pawa kubwa sana. Ipo siku atamshughulikia hata bitozo. Kiufupi huyo jamaa ni De facto president
My thoughts wanaweza kumuua wakiona alipowafikisha pametosha kwakuwa wamemtumia sana hivyo ana siri zao za kuweza kuwabomoa into tiny pieces, secondly jamaa it's like hana rules na hana limits so he is the kind of terribly dangerous, scary and unpredictable monster. Anaweza kumgeuka mtu yoyote dakika yoyote and nobody wants to be close to that type of a person.
 
Honestly, huyo Rais wala hana nguvu zozote zile.

Uoga wetu ndo unafanya aonekane ana nguvu.

Watu karibu milioni 70 tutatishwaje na watu wachache hivyo?

Tukiamua kutenda hakuna wa kutuzuia.

Sawa, yatakuwepo mauti. Lakini wao walio wachache ndo watakufa zaidi kuliko sisi tulio wengi.

Wanauonja moto kwa ulimi hao.
Umenikumbusha stori.ya yule kijana aliyekuwa akipiga kelele analiwa na chui kumbe anatania. Watu wakamzoea wakamchukulia poa. Siku analiwa na chui kweli watu wakajua anatani kumbe kweli. Ikawa basi tena. Sasa wewe umekuwa mpinzani kweli wa wadau humu ndani dhidi ya serikali. Yani we ni pro gavt. Leo unanipa mashaka na mada yako
 
My thoughts wanaweza kumuua wakiona alipowafikisha pametosha kwakuwa wamemtumia sana hivyo ana siri zao za kuweza kuwabomoa into tiny pieces, secondly jamaa it's like hana rules na hana limits so he is the kind of terribly dangerous, scary and unpredictable monster. Anaweza kumgeuka mtu yoyote dakika yoyote and nobody wants to be close to that type of a person.
Huko Twitter wanasema yeye ndio kilakitu. Hakuna aliye juu yake.
 
"Najua mnafahamu kifuatacho ITV ,hawana maisha" - Ma-FUEL.

"Najua kuna baadhi humu watasema usitutishe ,lakini kwenye sayansi hii ukigundulika tunakumaliza" - J4
 
Umenikumbusha stori.ya yule kijana aliyekuwa akipiga kelele analiwa na chui kumbe anatania. Watu wakamzoea wakamchukulia poa. Siku analiwa na chui kweli watu wakajua anatani kumbe kweli. Ikawa basi tena. Sasa wewe umekuwa mpinzani kweli wa wadau humu ndani dhidi ya serikali. Yani we ni pro gavt. Leo unanipa mashaka na mada yako
Lini mimi nimekuwa pro government humu?
 
Huko Twitter wanasema yeye ndio kilakitu. Hakuna aliye juu yake.
Duh.....! Wote wanamuogopa na hiyo ni hatari kwake, wanaweza kumpa sumu wakiona matumizi yake yamefikia kikomo. Kinachomsaidia ana kakikundi(a terribly feared gang) ndani ya TISS na jeshi la polisi lililoanzishwa enzi za Jiwe yaani hao wako loyal kwake tu na si yoyote yule hata awe amiri jeshi mkuu, hiyo gang inaogopwa na viongozi wote hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Polisi ni kazi ya kipumbavu na ni kazi ya laana.
Inakuwaje Muliro na Mafwele wanakuwa na nguvu kuliko watu wotee ndani ya nchi?? Hili halikubariki.
Na hivi vipolisi vijinga vijinga lazima tuvishikishe adabu. Enough is enough.
 
Back
Top Bottom