Muliro na Mafwele hivi, hao jamaa ni binadamu kama sisi au?

Muliro na Mafwele hivi, hao jamaa ni binadamu kama sisi au?

Duh.....! Wote wanamuogopa na hiyo ni hatari kwake, wanaweza kumpa sumu wakiona matumizi yake yamefikia kikomo. Kinachomsaidia ana kakikundi(a terribly feared gang) ndani ya TISS na jeshi la polisi lililoanzishwa enzi za Jiwe yaani hao wako loyal kwake tu na si yoyote yule hata awe amiri jeshi mkuu, hiyo gang inaogopwa na viongozi wote hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Ni aibu kubwa mno nchi kufikia hatua hii.
 
CDF Mkunda na ***** tu mbele ya Mafwele na hiyo clip ndiyo imetuthibitishia kila kitu, yaani Mafwele ni zaidi ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama combined. Jamaa anaua watu kama anaua sisimizi sasa kaanza kuteka wajeda nao walivyo maboya wameufyata tu.
Aisee yaani mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda mbio jinsi jamaa alivyokuwa anaelezea suala la kutoa uhai wa watu utafikiri yeye ndio anawapa punzi, eti hakuna maisha tena, mara kifuatacho Itv mnakijua...aisee ana nguvu gani huyu mtu?

Angalia jinsi alivyomuongelea Tesha eti yule muhuni muhuni amekimbia...!! Aisee kwa hiyo jamaa inavyoonekana hakuna anayemuogopa huko JWTZ?

Ila uzuri mimi ninachofurahi, Idd amin mama anapalilia anguko lake mwenyewe, ni dhairi jeshi pekee analolitegemea limlinde kwenye hicho kiti ni hili la mafwele na mlilo basi, sasa anaanzaje kutoboa miaka mitano kama kwa style hii bila kupinduliwa?
 
Wapinduaji sasa ndiyo mtihani.
 
My thoughts wanaweza kumuua wakiona alipowafikisha pametosha kwakuwa wamemtumia sana hivyo ana siri zao za kuweza kuwabomoa into tiny pieces, secondly jamaa it's like hana rules na hana limits so he is the kind of terribly dangerous, scary and unpredictable monster. Anaweza kumgeuka mtu yoyote dakika yoyote and nobody wants to be close to that type of a person.
Kwa tetesi zilizopo pia huyu jamaa ni muhutu na kuna uwezekano mkubwa ni pandikizi la mr. Slim...

So itabidi tuanze kumuangalia kwa jicho hilo pia, hasa kwa huu ujasiri alionao wa kulidharau mpaka jeshi la kulinda wanainchi.
 
Wapinduaji sasa ndiyo mtihani.
Watatokea hata wengine wa huko chini kama wakina Tesha tayari wameshawathibiti.

Nakumbuka Samuel Doe alikuwa ni master sergent tu wakati anaipindua serikali ya Wiliam Tolbert na kuwa raisi wa Liberia.

Naamini hata sisi hapa ipo siku atatokea hata Nyundo na wenzie na kufanya jambo la kishujaa litakalotufurahisha na kupata Tanzania mpya au unasemaje mzee?
 
Kina Muliro Wanatakiwa wakaze kamba hivyohivyo hadi mnyooke maana mbwa ukicheka nae sana iko siku ataingia msikitini
 
Ooh yeah, Sargent Samuel Doe na Captain Valentine Esegragbo Melvin Strasser walikuwa role models enzi hizo, Strasser alichukua nchi(Sierra Leone) akiwa na miaka 25.
 
Kina Muliro Wanatakiwa wakaze kamba hivyohivyo hadi mnyooke maana mbwa ukicheka nae sana iko siku ataingia msikitini
Wewe binadamu huwa unanishangaza sana kwa hizi akili za ajabu ulizonazo..

Ni kwamba unaona raha jinsi hawa majangiri wanavyotumia vyeo vyao kutoa uhai wa binadamu wenzao au?

Unaona raha jinsi mama ako samia anavyotumia gharama kubwa ikiwemo kumwaga damu za watu hili tu abaki madarakani au?

Unachoshabikia hapa ni nini hasa?

Unaona raha kwa huu ushetani anaofanya mama ako samuya kisa tu ni muislamu mwenzio au?

Una matatizo sana wewe tena makubwa sio kidogo.
 
Hawa jamaa wamefikia extent ya kuteka mpaka wajeda, ila TZ wanajeshi ni machoko sana yaani nao huyo Mafwele anawagaragaza kama nao ni defenseless common citizens.
JWTZ mmetia aibu, Mafwele anawateka na anatamba kwa polisi wenzake, wananrekodi na kuzivujisha mpo mmekaa kikondoo tu stupid.
Tulia dogo,Kila kitu kina pa kuanzia.
Furahia kitu alichofanya kuwateka TPDF maana ndio kachokonoa mzinga wa nyuki.
Watakata kamba Sasa hivi.

Civ in uniform hawawezi kutoka Soldier,haipo hiyo.
 
Duuh... hii comment yako imezidi kunitia simanzi kwakweli.

Maana sasa kama ni hivi mtu pekee ambaye watanzania yapaswa tumtegemee kutulinda ni Mungu tu labda na sisi wenyewe.
Bro naomba nikuambie kitu na unielewe.
Jeshi (Jw) Kuna nidhamu ya Hali ya juu sana na iliyotukuka.
Waona na kufatilia Kila kitu.
Tuombe waendelee kua wapole hivyohivyo dhidi ya hao akina Mafwele.
Hawa jamaa wakiamia kupiga shoo Yao dhidi ya akina Mafwele Dunia itasimama.
Shika maneno yangu bro.
Mziki wa Hawa jamaa hakuna anaeweza kuucheza.
Tuendelee kuwaoana hivyohivyo dhaifu ili maisha yaende.
Huko vikosini Wana hasira sana lkn wanatulizwa.
Wacha yapite salama TU.
 
Kwamba tuendelee kuwaona hivyo ili maisha yaende?......maisha yapi kwa mtekwaji na mpotezwaji mtarajiwa??..... adui yako kasema wazi kubwa UKIKAMATWA HAKUNA MAISHA, wee unasema maisha yaendelee, how?
 
Nchi ya hovyo hii Mafwele anaweza pewa ukuu wa majeshi walahi
 
Mara nyingi historia za waasi huanza hivi hivi, pale waliokosa nguvu wanapoungana na kuingia msituni.

Vitu huwa havitokei ghafla ila huwa ni mfuatano wa umaskini uliokithiri, matukio ya kutia hofu na watu kuona hawana cha kupoteza..

Ukiongezea na udini unaopaliliwa, I hope watawala hawatoyachukulia haya kikawaida.. Hali inatisha
Misikitini mawaidha (hasa ya Ijumaa iliyopita) ni kuwa Samia hapendwi kisa ni Muislam. Na pia hao wanaoongea ni Wakristo na chuki zao tu kwa Waislam.. Yani huyu mama kiujumla kaamua kuharibu nchi kwa kila kona. Hapa hata sijui tunatokaje huku tulikofika.
 
Tulia dogo,Kila kitu kina pa kuanzia.
Furahia kitu alichofanya kuwateka TPDF maana ndio kachokonoa mzinga wa nyuki.
Watakata kamba Sasa hivi.

Civ in uniform hawawezi kutoka Soldier,haipo hiyo.
Maisha Gani yaendelee acha ujinga hao jwtz hamna lolote wanaloweza kumfanya mafwele sababu wanamuogopa unaandika mashudu unafikiri hii ni miaka ya kudanganya watu
 
Bro naomba nikuambie kitu na unielewe.
Jeshi (Jw) Kuna nidhamu ya Hali ya juu sana na iliyotukuka.
Waona na kufatilia Kila kitu.
Tuombe waendelee kua wapole hivyohivyo dhidi ya hao akina Mafwele.
Hawa jamaa wakiamia kupiga shoo Yao dhidi ya akina Mafwele Dunia itasimama.
Shika maneno yangu bro.
Mziki wa Hawa jamaa hakuna anaeweza kuucheza.
Tuendelee kuwaoana hivyohivyo dhaifu ili maisha yaende.
Huko vikosini Wana hasira sana lkn wanatulizwa.
Wacha yapite salama TU.
Kwa unaniambia wao wenyewe wanajua kila kinachoendelea hapa nchini ila wameamua kukaa kimya tu kisa hawataki shari?

Kwamba wanajua kabisa mafwele amewakamata wanajeshi wenzao kwa kosa la kipuuzi la kubandua stickers zenye picha ya raisi, ila wameamua kukaa kimya tu?

Kwamba wanajua wahusika wa matukio yote ya utekaji na mauaji ila wameamua kukaa kimya tu huku wanainchi wakiishi kwa hofu?

Kwamba wanaona ufisadi wooote huu unaofanywa na mama abdul ila wameamua kukaa kimya tu? Sijui hawataki inchi ichafuke?

Oyaa mwanangu hebu acha nikupanga hapa, hili jeshi letu mpaka hapa limeonesha halina meno na ni dhaifu sana..!!

Ingekuwa ni yale majeshi ya west africa huko siku nyingi sana wangekuwa wameshaichukua nchi bila hata ya kusubiri wanainchi waandamane
 
Back
Top Bottom