Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,423
- 29,012
Mimi nimekuwa naongea humu kama kichaa. Ila ni mpuuzi grade ya mwisho asiyeelewa kuwa races za uchaguzi zimeweka nyufa na hizi nyufa hatujui zitakomaa lini, na zikikomaa zitazaa niniMisikitini mawaidha (hasa ya Ijumaa iliyopita) ni kuwa Samia hapendwi kisa ni Muislam. Na pia hao wanaoongea ni Wakristo na chuki zao tu kwa Waislam.. Yani huyu mama kiujumla kaamua kuharibu nchi kwa kila kona. Hapa hata sijui tunatokaje huku tulikofika.
Japo walio wengi wanaona hii ni issue ya uchaguzi.. SIO ISSUE YA UCHAGUZI HII