Muliro na Mafwele hivi, hao jamaa ni binadamu kama sisi au?

Hao hawajafukuzwa kazi, sikiliza vizuri kauli ya Mafwele. Wamewasomba active soldiers na kuwatia nguvuni kana kwamba wao ni civilians, hii ni dharau kwa jeshi. Kwa kifupi hali ilivyo kwa sasa JWTZ(TPDF) si lolote si chochote mbele ya Mafwele.
 
Jwtz
Ni
Jeshi la WAOGA Tanzania
Jeshi la wanaccm Tanzania
Jeshi la walanchi Tanzania
 
Hao hawajafukuzwa kazi, sikiliza vizuri kauli ya Mafwele. Wamewasomba active soldiers na kuwatia nguvuni kana kwamba wao ni civilians, hii ni dharau kwa jeshi. Kwa kifupi hali ilivyo kwa sasa JWTZ(TPDF) si lolote si chochote mbele ya Mafwele.
Kuna mtu alisema Twitter kuwa Jwtz kirefu chake ni Jeshi la waoga Tanzania na mafwele ndio Defacto president wa Tanzania ni rais kivuli wa Tanzania.
 
Hahaha na akiamua anawala jicho
 
CDF Mkunda na ***** tu mbele ya Mafwele na hiyo clip ndiyo imetuthibitishia kila kitu, yaani Mafwele ni zaidi ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama combined. Jamaa anaua watu kama anaua sisimizi sasa kaanza kuteka wajeda nao walivyo maboya wameufyata tu.
 
Inasemekana huyo mtu ana pawa kubwa sana. Ipo siku atamshughulikia hata bitozo. Kiufupi huyo jamaa ni De facto president
 
Wakerewe wanatumaga mamba nchi kavu😊
 
Hahaha na akiamua anawala jicho
Labda keshawala teyari, kama aliwala mpaka activists wa Kenya na Uganda nao wakayamwaga hadharani hiyo huwa ndiyo psychological plus physical tortures ambazo huwa wanawafanyia na kuwarekodi huku wakiwatishia kuzivujisha wasipo-comply.
 
Inasemekana huyo mtu ana pawa kubwa sana. Ipo siku atamshughulikia hata bitozo. Kiufupi huyo jamaa ni De facto president
My thoughts wanaweza kumuua wakiona alipowafikisha pametosha kwakuwa wamemtumia sana hivyo ana siri zao za kuweza kuwabomoa into tiny pieces, secondly jamaa it's like hana rules na hana limits so he is the kind of terribly dangerous, scary and unpredictable monster. Anaweza kumgeuka mtu yoyote dakika yoyote and nobody wants to be close to that type of a person.
 
Umenikumbusha stori.ya yule kijana aliyekuwa akipiga kelele analiwa na chui kumbe anatania. Watu wakamzoea wakamchukulia poa. Siku analiwa na chui kweli watu wakajua anatani kumbe kweli. Ikawa basi tena. Sasa wewe umekuwa mpinzani kweli wa wadau humu ndani dhidi ya serikali. Yani we ni pro gavt. Leo unanipa mashaka na mada yako
 
Huko Twitter wanasema yeye ndio kilakitu. Hakuna aliye juu yake.
 
"Najua mnafahamu kifuatacho ITV ,hawana maisha" - Ma-FUEL.

"Najua kuna baadhi humu watasema usitutishe ,lakini kwenye sayansi hii ukigundulika tunakumaliza" - J4
 
Lini mimi nimekuwa pro government humu?
 
Huko Twitter wanasema yeye ndio kilakitu. Hakuna aliye juu yake.
Duh.....! Wote wanamuogopa na hiyo ni hatari kwake, wanaweza kumpa sumu wakiona matumizi yake yamefikia kikomo. Kinachomsaidia ana kakikundi(a terribly feared gang) ndani ya TISS na jeshi la polisi lililoanzishwa enzi za Jiwe yaani hao wako loyal kwake tu na si yoyote yule hata awe amiri jeshi mkuu, hiyo gang inaogopwa na viongozi wote hata wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Polisi ni kazi ya kipumbavu na ni kazi ya laana.
Inakuwaje Muliro na Mafwele wanakuwa na nguvu kuliko watu wotee ndani ya nchi?? Hili halikubariki.
Na hivi vipolisi vijinga vijinga lazima tuvishikishe adabu. Enough is enough.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…