Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
mulilo nawe utakufa kama wengine na utaoza na hukumu ya mungu itakuwa juu yako. hilo usilisahauJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa onyo kali kwa kundi la watu wanaodaiwa kufanya vurugu mara baada ya ibada katika maeneo ya Kibo, Ubungo, likisema halitavumilia vitendo vyovyote vya uvunjifu wa amani vinavyofanyika chini ya mwavuli wa dini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Julai 5, 2025, na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, kundi hilo linaelezwa kuwa limekuwa likijitokeza kila Jumapili kwa wiki mbili mfululizo mwezi Juni, baada ya ibada katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), na kuanza kupiga kelele na kujaribu kuingia barabarani kwa nguvu kwa lengo la kuchochea vurugu.
“Kuna kundi la watu ambao wamekuwa wakitokea kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) na mabango baada ya ibada, wakati wenzao wakitawanyika kwa amani kuendelelea na kazi zingine wao huanza kupiga kelele na kutaka kuingia. barabarani kwa nguvu kwa lengo la kufanya vurugu”, imesema sehemu ya taarifa hiyo.
Jeshi hilo limeweka bayana kuwa halipingi watu kuabudu kwenye maeneo yaliyo rasmi kisheria, lakini pia lina wajibu wa kulinda haki na usalama wa watu wengine kwenye maeneo hayo.
“Jeshi la Polisi linawatahadharisha watu hao na kutoa onyo kali kuwa halitaruhusu kundi hilo kuendelea na mipango ya vurugu na uvunjifu wa amani kama ambavyo wamekuwa wakijaribu kufanya. Wakijaribu tena watajikuta kwenye msuguano mkali wa usimamizi wa sharia”, ameeleza Muliro.
Kamanda wa Polisi amesema kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na mamlaka nyingine za kisheria katika kuhakikisha hali ya usalama inaendelea kuimarika jijini Dar es Salaam, na kuwahimiza waumini wote kuendelea na ibada zao kwa amani bila kukiuka sheria.
Watu wanaenda kuabudu Mungu. Kawauwe tu si mmesaonja damu za watu na mmeona taaaaaaaamuuuu sana hamuwezi kuacha kuuwaMliro awaelekeze amewaandalia wapi wakamwabudu Mungu. Naamini Kuna seheme pameandaliwa na serikali ya mama Dakta.
kinachosikitisha ni kwamba, huyu anayeongea ni muislam anayezuia wakristo wasisali. hawa watu wameifanya watu waichukie serikali na kuna siku mwisho wao utafika tu.Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa onyo kali kwa kundi la watu wanaodaiwa kufanya vurugu mara baada ya ibada katika maeneo ya Kibo, Ubungo, likisema halitavumilia vitendo vyovyote vya uvunjifu wa amani vinavyofanyika chini ya mwavuli wa dini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Julai 5, 2025, na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, kundi hilo linaelezwa kuwa limekuwa likijitokeza kila Jumapili kwa wiki mbili mfululizo mwezi Juni, baada ya ibada katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), na kuanza kupiga kelele na kujaribu kuingia barabarani kwa nguvu kwa lengo la kuchochea vurugu.
“Kuna kundi la watu ambao wamekuwa wakitokea kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) na mabango baada ya ibada, wakati wenzao wakitawanyika kwa amani kuendelelea na kazi zingine wao huanza kupiga kelele na kutaka kuingia. barabarani kwa nguvu kwa lengo la kufanya vurugu”, imesema sehemu ya taarifa hiyo.
Jeshi hilo limeweka bayana kuwa halipingi watu kuabudu kwenye maeneo yaliyo rasmi kisheria, lakini pia lina wajibu wa kulinda haki na usalama wa watu wengine kwenye maeneo hayo.
“Jeshi la Polisi linawatahadharisha watu hao na kutoa onyo kali kuwa halitaruhusu kundi hilo kuendelea na mipango ya vurugu na uvunjifu wa amani kama ambavyo wamekuwa wakijaribu kufanya. Wakijaribu tena watajikuta kwenye msuguano mkali wa usimamizi wa sharia”, ameeleza Muliro.
Kamanda wa Polisi amesema kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na mamlaka nyingine za kisheria katika kuhakikisha hali ya usalama inaendelea kuimarika jijini Dar es Salaam, na kuwahimiza waumini wote kuendelea na ibada zao kwa amani bila kukiuka sheria.
Kichwa pumbu unaakisi jina lakomuislam anayezuia wakristo wasisali.
Limepewa onyo wakikaidi ndio hatua zitachukuliwaHilo kanisa linaloleta fujo si lifungwe nalo kama la gwajima
Muliro anatimiza wajibu wake hazuii kifo chake we bwege. Akiacha muharibu amani ya nchi yetu hatakufaa na kuoza? We umeoza akili kabla hujafamulilo nawe utakufa kama wengine na utaoza na hukumu ya mungu itakuwa juu yako. hilo usilisahau
We mbwa usitake kutumia dini kutafuta upenyo wa kutuharibia nchi yetu, ht Muliro angekuwa mkristo asingewaruhusu nyie mambwa mtaharibie nchi yetu tukufukinachosikitisha ni kwamba, huyu anayeongea ni muislam anayezuia wakristo wasisali. hawa watu wameifanya watu waichukie serikali na kuna siku mwisho wao utafika tu.
hoja yangu kubwa ni kwa nini gwajima na kanisa lake lenye watu wengi zaidi ya hao wa mwamposa, wanafutiwa kanisa, wanapigwa na kuumizwa wasisali ati kwa sababu tu amekosoa utekaji. alafu leo mtu anaenda kwa mwamposa ili wakristo waonekane wanapendwa wakati wengine anawaminya. tunampenda Rais, tunaipenda nchi ila tunachukia kufingiwa makanisa na kunyimwa uhuru wa kuabudu kwa kosa la mtu mmoja. sasa jitafakari wewe unayenitukana mimi mbwa, kati yangu mimi na wewe nani mbwa? tena mbwa jike.We mbwa usitake kutumia dini kutafuta upenyo wa kutuharibia nchi yetu, ht Muliro angekuwa mkristo asingewaruhusu nyie mambwa mtaharibie nchi yetu tukufu
Mlaumu Mkatoliki Innocent Bashungwa ndiye anayemyamuru. Muliro japo naye ni mtu katili sanakinachosikitisha ni kwamba, huyu anayeongea ni muislam anayezuia wakristo wasisali. hawa watu wameifanya watu waichukie serikali na kuna siku mwisho wao utafika tu.
Waumini wa Gwajima waliteka hilo kanisa la KKAM wakanyang'anya kipaza sauti mchungaji na kuanza kuendesha ibafa kinyume na utaratibu wa hilo kanisaHilo kanisa linaloleta fujo si lifungwe nalo kama la gwajima
MUULIZE MAA YAKO KAMA MIMI NI BWEGE, TULIKUZAA MIMI NA YEYE,we bwege.