Sawasawa itakuwa vyemaLimepewa onyo wakikaidi ndio hatua zitachukuliwa
Mliro awaelekeze amewaandalia wapi wakamwabudu Mungu. Naamini Kuna seheme pameandaliwa na serikali ya mama
Hyo n onyo atakae vunja sheria ten nikucgukuliwa hatua kali makanisa n meng yakufanyia ibadaMuliro ni mpuuzi kabisa. Anafikiri ataishi milele huyu mpumbavu.
Mkuu,watajikuta kwenye msuguano mkali wa usimamizi wa sharia”,
Awe muislam au sio muislam, kuingia barabarani ni kosa la kisheria. Unahisi kwa sababu ni wakiristo ndio wana special previligies? Hakuna kusali barabarani kwa kupiga kelele na kuanzishwa vurugukinachosikitisha ni kwamba, huyu anayeongea ni muislam anayezuia wakristo wasisali. hawa watu wameifanya watu waichukie serikali na kuna siku mwisho wao utafika tu.
HAWAENDI barabarani, wanaenda kanisani kusali. ninyi mashetani hukumu yenu ataitoa Mungu mwenyewe kuzuia watu wasio na hatia kuabudu.mtawapiga, mtawauwa ila imani ya Yesu Kristo itadumu milele.Awe muislam au sio muislam, kuingia barabarani ni kosa la kisheria. Unahisi kwa sababu ni wakiristo ndio wana special previligies? Hakuna kusali barabarani kwa kupiga kelele na kuanzishwa vurugu