Muliro: Polisi haipingi watu Kuabudu katika maeneo yao rasmi kisheria

Kwan hkn makanisa mengn dsm mpk hapo hapo hao nikuchukuliwa hatua tu
 
kinachosikitisha ni kwamba, huyu anayeongea ni muislam anayezuia wakristo wasisali. hawa watu wameifanya watu waichukie serikali na kuna siku mwisho wao utafika tu.
Awe muislam au sio muislam, kuingia barabarani ni kosa la kisheria. Unahisi kwa sababu ni wakiristo ndio wana special previligies? Hakuna kusali barabarani kwa kupiga kelele na kuanzishwa vurugu
 
Awe muislam au sio muislam, kuingia barabarani ni kosa la kisheria. Unahisi kwa sababu ni wakiristo ndio wana special previligies? Hakuna kusali barabarani kwa kupiga kelele na kuanzishwa vurugu
HAWAENDI barabarani, wanaenda kanisani kusali. ninyi mashetani hukumu yenu ataitoa Mungu mwenyewe kuzuia watu wasio na hatia kuabudu.mtawapiga, mtawauwa ila imani ya Yesu Kristo itadumu milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…