Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

Acha akatoe ushahidi kwanza ili akitoka huko watuhumiwa mahakaman kabisa maan anaonekana ana mengi sana anayajua
 
UONGO MTUPU
O
 
Dhambi zingine zinaepukika kabisa tu, sijajua Muliro na ukoo wake wanabugi wapi? Mjue siku shilingi ikigeuka upande wa pili mtatembelea matrako maana miguu yenu haitakuwa salama kabisa.
 
Sasa mnataka kupindua nchi halafu mnalia.....ilikuwa inakuja tu kaanza mzee jana katoa kila kitu bado mzee Warioba hamshangai yupo kimyaa. Hakuna mtu akatukana serikali personal majina ya watu na wafanya biashara wakubwa akabaki salama.
We will even kill them
 
Akili zenu ndogo sana yule mwana kapachikwa kwenu mwanajeshi mkaamini ni kweli mkamuamini kumbe mtu yupo kwenye mission, askari gani anapindua nchi anatuma barua? lakini sababu uelewa mdogo wa kijasusi mkaingia choo cha kike. Hamjiulizi tu yupo wapi?
 
Kuanzia sasa huyo mama amiri jeshi mkuu akienda popote, kikwete pia, bibi na familia yake tunawasubiria mtaani muda wowote chochote kitatokea bora wabakie mdani tu. JF msibadilishe comment zangu tafadhali nipo humu over 18 years....
 
Muliro bwana!

Majibu ya Muliro yako personal sana, Anapaswa tu kujibu amepokea taarifa na wanafanyia kazi. Hayo anayomuuliza mwandishi anaonesha wazi ana kitu dhidi ya Polepole, Of which kama mkuu wa jeshi la polisi hatakiwi kuwa na kitu against Polepole, ethical-wise. Polepole sio muhalifu ina a bigger picture.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…