Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha.
Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Oktoba sita nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.
Polisi waache dhihaka Kwa Maisha ya Mtu, kama mlimvamia Dada yake Polisi , kwanini usiwe hivyo Kwa pΓ³lepole Mwenyewe, kiasi cha kukejeli kama wao wanamsubiri offisini Kwa DCI, wakati wao ndio wanafanya tukio kutokana na ushahidi wa kimazingira
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha.
Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Oktoba sita nyumbani kwake jijini Dar Es Salaam.
Hivi jeshi la Polisi na lile la uhamiaji taarifa hazisomani kiasi cha Muliro kutojua kama Pole Pole muda wote akizungumza alikuwa ndani au nje ya nchi? π²