MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,562
- 3,380
JIWE lingine limepatikana. Visasi vimeanza mapema hivi! Mjiandae ya kina Ouko yana rudi. Huyu hajaribiwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si habari imesema signal itauzwa bure kwa stesheni zote za Kenya kwahivyo hakuna atakae lipia kuona rais akiapishwaSijui Katiba yao inasemaje, kuhusu Wananchi kulipia kumuona Raisi wao mteule akiapishwa.
Nilidhani aliyepo madarakani ndiye anaandaa shughuli za uapisho,
Inawezekanaje hajaapa huku kaanza kazi ikiwa hiyo ya kutoa kibali kwa atakayerusha matangazo ya uapisho.........!
Waliwahi kuomba kumpata mtu kama Jiwe sasa mungu kawajibu, walidhani masiharaWamempata jpm wao atawanyoosha Sana!!
"Rasimu ya WARIOBA irudi mezani sasa iwe katiba Mpya"
Mwana kulitafuta mwanakulipata, walikuwa wanamtaka mtu kama Jiwe
Hakika, hakujua alilokuwa analifanya, siyo yeye pekee kuna Bashite, Saambaya, Ndungayai na the likesHongera William ruto. tatizo la raila odinga lilianzia hapa. Sio Kila MTU anaweza kuwa swaiba wako wengine wamezaliwa na "NUKSI"
View attachment 2354194
Jiwe ana nuksi ya kuzaliwa, wahaya walimkataa akakimbilia kwa wasukuma.Una maanisha Kenyata nae swahiba wa machadema amezaliwa na nuksi?
Alafu jameni[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mtu kashaiwekea familia na ukoo wake legacy ya kutoa rais wa nchi alafu wewe mnuka mkojo unasema ana nuksi?
Hivi kati ya jpm ambae familia yake inapata kila kitu na wewe ambae bado familia yako inashindwa kumudu mlo mmoja kwa siku nani ana nuksi?
Ogopa sana watu wanaomtaja Mungu Kila muda refer JPM.Anavyomtaja Mungu sasa
Tusubiri muda utasemaOgopa sana watu wanaomtaja Mungu Kila muda refer JPM.