Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Yaa hii inawezekana iwe kama wanavyofanya kwenye hospitali teule,Bima ya afya nk serikali inashea na wamiliki binafsi.Pia itasidia kupunguza mzigo kwa serikali kwa sababu wamiliki binafsi wana miundombinu ya kutosha.
Ila tuu wajadiliane gharama za kulipia,mwisho wale ambao watakosa shule za serikali zilizopo na za binafsi ndio watajengewa madarasa mapya.
Hii nchi kasi ya uzazi ni kubwa sana sio mchezo,huko usukumani ndio balaa