Mulugo: Mwaka Kesho Serikali itashindwa kuwapeleka watoto Sekondari

Mulugo: Mwaka Kesho Serikali itashindwa kuwapeleka watoto Sekondari

Amekuwa muwazi kwamba anamiliki shule inaitwa "Southern High land"

Pia issue ya capacity ya miundombinu ya kubeba form one in the comming years ni ndogo sana. Sijui kama itawezekana. Halafu tatitizo litakuwa endelevu hata kwenda A-level pia vyuo.
"Ndugu zangu watanzania fyatueni watoto, nitasomeshaaa, nasema fyatueni watoto nchi hii ni kubwa saaaana" alisikika akisisitiza
 
Tangu Elimu bure imeanza,
Ukichanganya na madhara yaliyosababishwa na virusi vya korona mifukoni mwa watu.

Biashara ya Shule Binafsi Inachechemea sana.
 
Amekuwa muwazi kwamba anamiliki shule inaitwa "Southern High land"

Pia issue ya capacity ya miundombinu ya kubeba form one in the comming years ni ndogo sana. Sijui kama itawezekana. Halafu tatitizo litakuwa endelevu hata kwenda A-level pia vyuo.
Angesema na ada sh ngapi
 
Yaa hii inawezekana iwe kama wanavyofanya kwenye hospitali teule,Bima ya afya nk serikali inashea na wamiliki binafsi.Pia itasidia kupunguza mzigo kwa serikali kwa sababu wamiliki binafsi wana miundombinu ya kutosha.

Ila tuu wajadiliane gharama za kulipia,mwisho wale ambao watakosa shule za serikali zilizopo na za binafsi ndio watajengewa madarasa mapya.

Hii nchi kasi ya uzazi ni kubwa sana sio mchezo,huko usukumani ndio balaa
Hiyo kasi ya uzazi kwasasa imepungua Ila shule ndo chache, imagine mitaa na vijijini vingi havina shule zao Ila shule unakuta zipo ngazi za wilaya au mkoani kitu kinachofanya watoto watoke mkoa mmoja kwenda mwingine kufata shule, Mimi nachoshauri kila mkuu wa wilaya akasimamie kila mtaa utenge eneo la shule na shule zijengwe haraka hata kwa nguvu ya wananchi Ili mwakani isiwe shida.
 
Imepungua wapi? Huko Kanda ya ziwa wako juu ya wastani wa Kitaifa wa 3% wao fertility rate yao iko kwenye 4-5%
 
Ppp ndio nini
In this era and age of technology ignorance is a chioce, bongo safari ndefu sana kwa wengine
Yaa hii inawezekana iwe kama wanavyofanya kwenye hospitali teule,Bima ya afya nk serikali inashea na wamiliki binafsi.Pia itasidia kupunguza mzigo kwa serikali kwa sababu wamiliki binafsi wana miundombinu ya kutosha.

Ila tuu wajadiliane gharama za kulipia,mwisho wale ambao watakosa shule za serikali zilizopo na za binafsi ndio watajengewa madarasa mapya.

Hii nchi kasi ya uzazi ni kubwa sana sio mchezo,huko usukumani ndio balaa
si jiwe alisema vyatueni watoto nitawapa elimu ya bure
 
Lazima aje na PPP maana shule zake zinapotea

Rais Samia Suluhu Hassan kanyaga twende
Labda Una uwezo wa kupeleka Feza, lakini kuna Watanzania masikini, ambao wana watoto wazuri kiakili, lakini hawana uwezo wa kupeleka huko unakopeleka Wewe! Sasa huyu mdau analeta suluhisho, Wewe unataka tukanyagwe tu, kwa sababu hata mshahara wako haukatwi kodi! Ndo maana hiyo mitoto mnaisomesha huko, inakua mishoga na mibwia madawa ya kulevya!
 
Hiyo kasi ya uzazi kwasasa imepungua Ila shule ndo chache, imagine mitaa na vijijini vingi havina shule zao Ila shule unakuta zipo ngazi za wilaya au mkoani kitu kinachofanya watoto watoke mkoa mmoja kwenda mwingine kufata shule, Mimi nachoshauri kila mkuu wa wilaya akasimamie kila mtaa utenge eneo la shule na shule zijengwe haraka hata kwa nguvu ya wananchi Ili mwakani isiwe shida.
Duuu CCM wataajiri walimu wangapi wa kutosha kwa hizo shule za kujengwa haraka haraka,,,
 
sister kwanini usingekuja na fact hili utusaidie tusioelewa
Hakuna anayekosa hoja nzuri kwenye kutetea ugali wake

Angetoa ushauri huu ukiwa na suluhu kwa kuzingatia gharama za shule yake huku akilinganisha na uwezo wa watanzania haswa wale wapiga kura wake pale jimboni. Angekuja na ushauri wa jinsi ya kuisaidia serikali kuendelea kutoa elimu kwa kugharamia kila kitu ili watoto wa kitanzania waelimike katika usawa

Yeye kama mtu aliyeamua kuwekeza kwenye elimu anaweza kuendelea kupokea wanafunzi wachache wenye uwezo wa gharama zake

Pia ni muda muafaka kwake kuangalia mahitaji ya taifa hili kwenye elimu kwa level nyingine kama Ufundi stadi, kilimo na ufugaji akawekeze huko

Yuko kwa maslahi yake binafsi
 
Huyu si walisema vyeti FEKI!
Enzi akiwa Waziri tena wa elimu alitamka kwamba Tanzania inapakana na Zimbabwe
Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo leo Bungeni amesema mwaka kesho serikali itashindwa kuwapeleka watoto Form one kwenye shule za serikali kwasababu mpango wa elimu bure ulianza miaka sita iliyopita hivyo watoto waliopo leo darasa la sita ni takribani 1.8 milioni ilhali madarasa na madawati ya shule za serikali uwezo wake ni kuchukua wanafunzi laki saba na nusu.

Amesema serikali itabidi ijenge shule jambo ambalo hadhani kama itawezekana, ameiomba serikali ije na mpango wa PPP kwani shule binafsi zina kila kitu lakini zinakosa wanafunzi na nchi ni ya wote hivyo ameomba wake pamoja.

Mulugo ame-declare interest kwamba yeye ni mdau wa elimu na mmiliki wa shule binafsi.

Huyuhuyu Mulugo mzee wa kusema Tanzania inaoakwna na Zimbabwe 😃😃
 
Na alisimama mkutanoni SA akasema Tanzania ni matokeo ya muungano wa Zimbabwe na Pemba kama sijakosea Mafia
Sawaa Ila wewe unahisi alikuwa hajui? Kuchanganya Mambo kupo tu mkuu wangu.
 
Amekuwa muwazi kwamba anamiliki shule inaitwa "Southern High land"

Pia issue ya capacity ya miundombinu ya kubeba form one in the comming years ni ndogo sana. Sijui kama itawezekana. Halafu tatitizo litakuwa endelevu hata kwenda A-level pia vyuo.
Ila tuache utani bongo tunazaana sana
 
Back
Top Bottom