Mulugo: Mwaka Kesho Serikali itashindwa kuwapeleka watoto Sekondari

Yaa hii inawezekana iwe kama wanavyofanya kwenye hospitali teule,Bima ya afya nk serikali inashea na wamiliki binafsi.Pia itasidia kupunguza mzigo kwa serikali kwa sababu wamiliki binafsi wana miundombinu ya kutosha.

Ila tuu wajadiliane gharama za kulipia,mwisho wale ambao watakosa shule za serikali zilizopo na za binafsi ndio watajengewa madarasa mapya.

Hii nchi kasi ya uzazi ni kubwa sana sio mchezo,huko usukumani ndio balaa
 
Rais yeye hajui hilo. Yeye kichwani kwake anawaza tu kujenga shule za wasichana na Academy za michezo kila mkoa.
Wewe ni mropokaji tuu, hizo shule za wasichana watakaoingia ni tofauti na hawa anaowataja Mulugo?

Pili hizo academy ni za kuwajengea watu skills ili waje kujiajiri badala ya huo mzigo kuachiwa serikali au kila mtu kuwa machinga,anajaribu ku diversify soko la ajira na skills kwa vijana.
 
Gharama zinajadilika, kwani bima ya afya ikoje? Pia gharama ya kumsomesha mtoto bila ada inajulikana sasa hapo ndipo pa kujadiliana na hawa wamiliki binafsi.

Kwamba serikali iwe tayari kutoa wanafunzi kama rasilimali ambayo wao hawana na wao wakubali kushusha bei ili waache kulia lia kukosa wanafunzi
 
Nampongeza kwa kudeclare interest kama miongoni mwa wamiliki wa shule binafsi
 
Uwezekano wa serikali kuingia ubia au kutoa ruzuku ni solution nzuri, kwa maana watoto wasikose nafasi.
Kuliko kuanza from 0 kujenga madarasa, waalimu na miundombinu mingine, sekta binafsi tayari hivyo wanavyo. Inaweza tatua changamoto kwa muda kuliko kukaa hadi tatizo lipigiwe kelele.

Shida ya mindset za serikali za kijamaa ni kuona kama private sector ni mbaya kuchangia maendeleo ya jamii
 
Huyu jamaa yuko vizuri sana kufikiri. Japo ana self interest kwenye elimu lkn wazo lako lifanyiwe kazi mapema
 
Rais yeye hajui hilo. Yeye kichwani kwake anawaza tu kujenga shule za wasichana na Academy za michezo kila mkoa.
Hao wasichana,ni miongoni mwa hao 1.8,kwa hiyo zikijengwa hizo shule za wasichana,ambao huwenda wakawa 65%,ya wanafunzi wote wa msingi,hapo imeshapunguza idadi ya wanafunzi,ukitoa watakaokwenda ufundi kama ni 15%,ukitoa watakashindwa kuendelea na watakao soma shule binafsi,bado kuna watakaokosa masomo?
 

Jaribu kuangalia Opportunity Cost hapo☺☺☺☺
 
Souther Highland ni ya akina Joseph Mungai
 
Umemaliza mjadala,umeelezea vizuri sana.
 

Kabla ya kusema ni wazo zuri tujue kwenye elimu sasa hivi serikali inamgharamia mwanafunzi kiasi gani cha pesa?
 
Ni Mulugo huyu huyu aliyeunganisha Physics, Chemistry na Biology kuwa Somo moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…