Mulugo: Mwaka Kesho Serikali itashindwa kuwapeleka watoto Sekondari

"Ndugu zangu watanzania fyatueni watoto, nitasomeshaaa, nasema fyatueni watoto nchi hii ni kubwa saaaana" alisikika akisisitiza
 
Tangu Elimu bure imeanza,
Ukichanganya na madhara yaliyosababishwa na virusi vya korona mifukoni mwa watu.

Biashara ya Shule Binafsi Inachechemea sana.
 
Amekuwa muwazi kwamba anamiliki shule inaitwa "Southern High land"

Pia issue ya capacity ya miundombinu ya kubeba form one in the comming years ni ndogo sana. Sijui kama itawezekana. Halafu tatitizo litakuwa endelevu hata kwenda A-level pia vyuo.
Angesema na ada sh ngapi
 
Hiyo kasi ya uzazi kwasasa imepungua Ila shule ndo chache, imagine mitaa na vijijini vingi havina shule zao Ila shule unakuta zipo ngazi za wilaya au mkoani kitu kinachofanya watoto watoke mkoa mmoja kwenda mwingine kufata shule, Mimi nachoshauri kila mkuu wa wilaya akasimamie kila mtaa utenge eneo la shule na shule zijengwe haraka hata kwa nguvu ya wananchi Ili mwakani isiwe shida.
 
Imepungua wapi? Huko Kanda ya ziwa wako juu ya wastani wa Kitaifa wa 3% wao fertility rate yao iko kwenye 4-5%
 
Ppp ndio nini
In this era and age of technology ignorance is a chioce, bongo safari ndefu sana kwa wengine
si jiwe alisema vyatueni watoto nitawapa elimu ya bure
 
Mzee wa slip of the tongue 11964 Unity of Unguja and Zimbabwe.
 
Lazima aje na PPP maana shule zake zinapotea

Rais Samia Suluhu Hassan kanyaga twende
Labda Una uwezo wa kupeleka Feza, lakini kuna Watanzania masikini, ambao wana watoto wazuri kiakili, lakini hawana uwezo wa kupeleka huko unakopeleka Wewe! Sasa huyu mdau analeta suluhisho, Wewe unataka tukanyagwe tu, kwa sababu hata mshahara wako haukatwi kodi! Ndo maana hiyo mitoto mnaisomesha huko, inakua mishoga na mibwia madawa ya kulevya!
 
Duuu CCM wataajiri walimu wangapi wa kutosha kwa hizo shule za kujengwa haraka haraka,,,
 
sister kwanini usingekuja na fact hili utusaidie tusioelewa

Yuko kwa maslahi yake binafsi
 
Huyu si walisema vyeti FEKI!
Enzi akiwa Waziri tena wa elimu alitamka kwamba Tanzania inapakana na Zimbabwe
Huyuhuyu Mulugo mzee wa kusema Tanzania inaoakwna na Zimbabwe 😃😃
 
Na alisimama mkutanoni SA akasema Tanzania ni matokeo ya muungano wa Zimbabwe na Pemba kama sijakosea Mafia
Sawaa Ila wewe unahisi alikuwa hajui? Kuchanganya Mambo kupo tu mkuu wangu.
 
Amekuwa muwazi kwamba anamiliki shule inaitwa "Southern High land"

Pia issue ya capacity ya miundombinu ya kubeba form one in the comming years ni ndogo sana. Sijui kama itawezekana. Halafu tatitizo litakuwa endelevu hata kwenda A-level pia vyuo.
Ila tuache utani bongo tunazaana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…