Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Kwani kuvunjika kwa ndoa ya Bill Gates chanzo ni Melinda? Halafu wale ni partners in business hata kama founder ni Bill.
 
Ndoa yao ndio kwanza ina miezi mitano, hiyo inatosha kusema jamaa kamkuta mkewe kama alivyo
 
Hao wanawake wakitaka kuzitafuta baadhi yenu mnawawekea kauzibe. Halafu sasa hivi mnawananga. Hamuwatendei haki dada zetu. Jaribuni kuwa fair.
 
Hapo sawa
What is sustainability of that practice if the wife is not going to invest that money? Hatuombei lakini what will happen or what is the future of her and the family just in case Muumba anachukua kiumbe chake? (the husband). Narudia tena hatuombei hilo litokee.
 
Mkuu kuna wanawake ni wa kawaida sana, il nyumba inakuwa kama mko Ukraine, yaani ni moto kila siku. Wengine tuko nao kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 ila unatamani sijui uhame tu umuachie hayo makazi.
Pole sana. Kwa experience yangu miaka 10 hadi 18 ina challenges nyingi. Mkivuka hapo mnatoboa. Mnakuwa siyo mke na mume but best friends na mapenzi yanaongezeka na imani to each other inakuwa kubwa.
 
Wewe wakati unaoa ulikuwa bikra?
 
Samahani naomba hizo picha unazoongelea tuwekee hapa na wengine tuzione.
 
Inategema mnaishije nani amekuambia ndoa ni uwanja wa vita mnafeli sana vijana na mnadanganyana eti kuua ndiyo uanaume, kama amekushinda nakushauri tafuta unaemmudu, usiwe kama gari bovu kijana wangu
Nashukuru sana brother. Nimesoma comments nyingi humu 99% zinaonyesha ubabe lakini nadhani wengi wao hata ndoa hawana. Lakini tuendelee kuwashauri
 
Hata kama ni mke ndiyo unapiga simu mara 42!!! This is insane!!!
angepokea mara ya kwanza , ya pili ya tatu , ya nne, ya tano, wala isingefika jumla ya 42 missed calls, hapa kuna la kujifunza , io ilkua ndoa sio urafiki wala uchumba.
 
Hivi kuna clip 2 tofauti za Mama au ni ileile ya Ayo? Maana unayoongea wewe na aliyoongea huyo Mama ni 2 different things.
 
Unachakata mbususu 50 tena za watoto wakali, hapo bado za wenye sura za Baba zao, bado wenye sura personal, halafu mnataka kuoa mabikra!!!

mrangi mzabzab
 
Kwa madini haya nakupa zawadi ya mchepuko wangu mmoja umgegede 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Anakufuru huyu jamani.
Hapa mtaani kuna Guruguja hata ijilembe vipi hainogi na haitustui kabisa na inafanya kazi taasisi fulani kubwa.
Make up zimemsaidia kupunguza ubaya ila mbaya tu ht iweje.
Unakufuru uumbaji wa Mungu eeh?? Hujafa hujaumbika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…