ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Huyu nae ndio wale wale kibri kibri! Ukishaoa au kuolewa kubali asilimia 50 ya uhuru wako/ me au ke umeucopromise/umeipotezaKiukweli ndoa isiwe utumwa si angeendae nae tu kwa shoo ,ukimuoa mtu hujanunua uhuru wake au vitu anavyopenda,badilikeni
Kafara hizoHeading isomeke kwaherufi kubwa DAIMOND ASABABISHA KIFO CHA WANANDOA
WTF.....! [emoji15][emoji15]Huyo Swalher ni shabiki wa harmo,domo anasingiziwa. Alikua anatumia jina iam_swallher kule instaView attachment 2243690
Siyo rahisi kama unavyozani
Duuh! ingekua wewe ni mpelelezi,ungeanzia upelelezi wako hapo kujua hilo bifu kwanza,ndo uendelee na upelelezi.Huoni ungekua mpelelezi kimeo?Jamaa lilikuwa na bifu kali sana na Diamond maana sio kwa risasi hizo
Kuna vitu vingi sana havisemwi, kuna mambo mengi yamerukwaHii habari ni kama skeleton isiyo na nyama. Kuna vitu haviconnect kabisa. Ila kama kawaida yetu tunatiririka nayo tu
Wengine tunakitu kinaitwa love to death!Juzi tu IGP kasema usimuue mtu kama hamuendani muache.. achaneni.. there is always second chance
Mtu mmoja anatafutwa na Polisi baada ya kujiua na kukimbia...Jamaa amekimbia mbona hawajakuta mwili
Mama yangu aliniambia usioe sura mwanangu wanawake wengi wanajikuta pisi kali wengi hutumia ndoa kama kigezo cha kuficha maovu yao lakini umalaya wao unakuwepo badoDah huyu mwamba angesoma huu uzi hapa chini pengine asinge chukua uamuzi huo. Maudhi ya mwanamke ni natural. Do not take it personal. Mwanamke akiwa mzuri zaidi anakuwa na maudhi zaidi.
Mwanamke akiwa mzuri sana huwa ana mringia hadi baba yake mzazi
Au wana kuwaga na mapepo nini ? maana mwanamke akiwa mzuri kupita kiasi hadi mapepo huwa yanawapenda ( Gen 6:1–4 ) Kama una mwanamke mzuri kupita kiasi usizae nae mpaka baada ya miaka mitano ya ndoa/mahusiano kwa sababu uzoefu unaonyesha kwamba mwanamke mzuri...www.jamiiforums.com
Kunywa Serengeti mkuu🍺Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.
Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu jf muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamzi ya kiume kabla hamjachelewa.
"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".
Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
Kafara hizo
Wabaya wengi ni waaminifu maana hawana choice nyingineIla alikuwa na nafasi ya kumwacha kuliko kuumuua.
.
Ila Kuna wanawake wazuri na waaminifu pia na si wote wabaya pia waaminifu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
File lili corrupt kabla halijafika mwisho, tukaletewa wanawakeKaamua kumalizana na tatizo lake. Kiukweli kila mwanaume angeamua kuua mwanamke kwasababu ya dharau, kiburi, jeuri, kejeli, ununda, ubabe nk, wanawake wote wangeisha duniani.
Kuna wakati huwafikiria wanawake kama viumbe waliokosewa ktk uumbaji na hakuna namna ya kuwarekebisha.
Kuuwa nako ni sehemu ya kuacha!Angemuacha tu kuliko kuua na kujiua
Huyo jamaa ni attention seeker anaetafuta ujiko tu na credit za kishamba kwa mabinti humu JF kwa kujikuta feminist. Sijui ndio anahisi ndio watamwagika PM na kumuona nice guy.Mpuuzie!Sema wewe jamaa una ushauri wa kingese sana kuhusiana na mambo ya wanawake na mahusiano
Naona una jaribu ku justify ufala wa huyo demu Malaya mdangajiMtu yoyote mwenye hasira kama hizi za kuweza kuchukua maamuzi kama haya ni menace to society..
Matajiri wanasiri nyingi sanaUnaweza ukamlaumu mwanaume kwanini amng'ang'anie huyo mwanamke yawezekana Jamaa alishwekewa kitu na mwanamke kwahiyo hawezi kumuacha au mwanaume anajua akimuacha huyo mwanamke atavujisha Siri zake watu wenye pesa Siri ya anazipataje maranyingi mke anakuwa anajua
Sasa ndugu yangu hata kama unachelewa kurudi home ni wajibu wako kumuambia mkeo mapema tu leo nitachelewa kurudi sababu moja mbili huwezi kuishi na mtu bila kuwa na mawasiliano unajifanyia unayo yataka simu zipo lazima kuambiana. Mimi nashangaa ndoa zingine mimi siwezi nje ya routine zangu ni lazima nimjulishe mwenzangu niko wapi nafanya nini unajenda kitu baina yako na yeye. Nadhani kuna kitu hakiko sawa katika ndo nyingi. Mwanammke wakati mwingine sio pesa anahitaji zaidi kuthaminiwa wanapenda ukimthamini kumuheshimu vitu vidogo lakini vinawapa faraja, kumpigia simu nitachelewa kwa sababu moja napita sehemu hii ni heshima kwake. Tujifunze kuishi na wake zetu, wanawake kama watoto wavumilivu sana lakini pia ni hatari sana ukiwavunjia heshima.Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app