Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Dah huyu mwamba angesoma huu uzi hapa chini pengine asinge chukua uamuzi huo. Maudhi ya mwanamke ni natural. Do not take it personal. Mwanamke akiwa mzuri zaidi anakuwa na maudhi zaidi.

Mama yangu aliniambia usioe sura mwanangu wanawake wengi wanajikuta pisi kali wengi hutumia ndoa kama kigezo cha kuficha maovu yao lakini umalaya wao unakuwepo bado
 
Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.

Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu jf muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamzi ya kiume kabla hamjachelewa.


"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".

Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
Kunywa Serengeti mkuu🍺
 
Kaamua kumalizana na tatizo lake. Kiukweli kila mwanaume angeamua kuua mwanamke kwasababu ya dharau, kiburi, jeuri, kejeli, ununda, ubabe nk, wanawake wote wangeisha duniani.
Kuna wakati huwafikiria wanawake kama viumbe waliokosewa ktk uumbaji na hakuna namna ya kuwarekebisha.
File lili corrupt kabla halijafika mwisho, tukaletewa wanawake
 
Unaweza kuta kamwambia katika wanaume wote naowajua, ww ndio sio mwanaume nimekosea sana kukaa na ww, natamani uniue kabisa sasa hivi, akamalizia niue niuee, niuee, niuee sasa, niuee, nimechoka, nasema niueeeee, alafu kamtemea mate usoni mara kibao, alafu anampiga piga na vibao ili amuue, alafu anamkanyaga miguu, mateke ili amuue, anampiga vibao vya kila mahali ili amuue, yaani anataka kuuawa, hata ingekuwa mm nitafanyaje sasa.
 
Unaweza ukamlaumu mwanaume kwanini amng'ang'anie huyo mwanamke yawezekana Jamaa alishwekewa kitu na mwanamke kwahiyo hawezi kumuacha au mwanaume anajua akimuacha huyo mwanamke atavujisha Siri zake watu wenye pesa Siri ya anazipataje maranyingi mke anakuwa anajua
Matajiri wanasiri nyingi sana
 
Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa ndugu yangu hata kama unachelewa kurudi home ni wajibu wako kumuambia mkeo mapema tu leo nitachelewa kurudi sababu moja mbili huwezi kuishi na mtu bila kuwa na mawasiliano unajifanyia unayo yataka simu zipo lazima kuambiana. Mimi nashangaa ndoa zingine mimi siwezi nje ya routine zangu ni lazima nimjulishe mwenzangu niko wapi nafanya nini unajenda kitu baina yako na yeye. Nadhani kuna kitu hakiko sawa katika ndo nyingi. Mwanammke wakati mwingine sio pesa anahitaji zaidi kuthaminiwa wanapenda ukimthamini kumuheshimu vitu vidogo lakini vinawapa faraja, kumpigia simu nitachelewa kwa sababu moja napita sehemu hii ni heshima kwake. Tujifunze kuishi na wake zetu, wanawake kama watoto wavumilivu sana lakini pia ni hatari sana ukiwavunjia heshima.
 
Back
Top Bottom