Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Hakika Mungu nashukuru kwa kunipa mke mwema. Ananisikiliza na kuniheshimu pia
 
Matajiri wanasiri nyingi sana
Maskini ni Rahisi kuacha mwanamke na kuoa mwingine na siyo mtu mwenye Fedha, hapo lazima tujiulize kwanini? Na hata Masuala ya ndoa watu wenye Fedha walio wengi hawanafurahana na ndoa zao, tofauti na watu wenye maisha ya kawaida wanafurahia ndoa zao na migogoro ni michache
 
Hilo jana kike uenda litakuwa puuzi kama chifu hangaya [emoji849][emoji849] know one know?
 
Asilimia kubwa ya hao wenyewe fedha japo sio wote maagano ya hizo fedha zao huwalimiti namna ya kufanya sio Kwa akili zao, Kuna mwingine unakuta amekuwa kicheche hatari anazalisha huku anazalisha kule sio Kwa sababu yake
 
Na nyie vijana mnaoa pisi kali zinawaletea matatizo tu, kila saa utawaza anataka kukusaliti, tafuteni pisi za kawaida muoe
Unakuta manzi ni pisi kali hatari, halafu anapenda mziki na pombe🤔 Hapo HAKUNA wife material kabisaa, maana huyo ni shamba la bibi a.k.a cha wote!
Wa hivyo, 'Hit & Run' ndo mpango mzima 😊
 
Kuoa hakuna ubaya wowote ila unamuoa nani? Wengi wenu mnapenda maslay queens ndo mana moto unawawakia.
Tatizo liko kwenu Wanawake, mkitaka Ndoa mnakua wapole sana hadi mnatujaza kingi mazima, mkisha tujaza mko tayari ndani ya ndoa Sasa ndiyo mnaanza kuonesha kucha zenu za ukweli kua nyinyi ni Maslay Queens wa ukweli! Sasa mkikutana na vidume wasiokua na kifua ndiyo hayo ya marisasi yanawakuta!!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…