Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Aah sidhan kama na hela ilikuwepo hawez kua na pisi moja tu.
Sasa kama unazadi ya pisi kali moja mwanamke kwenda show shida nini? Kwamba atat.ombwa? 🤣🤣🤣
Aya kwani duniani mwanamke aliumbwa kwa ajili y nini kama sio hiyo kazi. Jingi tuu yule. Ata uoe sura personal bado watu watakugegedea tuu. Mbususu ni yake ana haki ya kumpa atakaye
 
Maria bwana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!

Tofautisha maisha ukiwa single na ukiwa kwenye commitment. Huwezi kuishi ndani ya ndoa kama vile hujsoa/hujaolewa.

Na kuna mambo lazima mkutane katikati utake usitake, kuna utaacha kufanya ili muishi kwa amani, kuna utayofanya ili muendane ma mwenzako. Lazima zipo tabia utaziacha tu.

Unataka kuingia kwenye ndoa na mentality za usingo?
 
[emoji23][emoji23] ila wee jamaa, haya bwana mzee wa mbususu.
 
Maria anataka kusema ukishakutana nae Kwenye uchumba umwambie Sitaki Uvae Vimini. Inabidi atofautishe commitment za Uchumba na Commitment za Kwenye Ndoa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mmmmh
 
Maria anataka kusema ukishakutana nae Kwenye uchumba umwambie Sitaki Uvae Vimini. Inabidi atofautishe commitment za Uchumba na Commitment za Kwenye Ndoa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwanamke wa hivi anaingia kwenye ndoa na uanaharakati wake anaishia kulimwa risasi saba kichwani. Kuna watu wamevurugwa sio poa.
 
Lakini kumbuka Mke alikua na kazi yake ya upambaji,anakodishwa hadi huko shinyanga anapiga kazi hata siku tatu mfulululizo hajarudi home! Sasa huu wivu wa ghafla Mume kautoa wapi!!!??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Inaonyesha risasi ziliyeyusha mwili wake!
 
Dah...Ni vichaa tu ndiyo hupewa silaha....mtu mwenye akili timamu hawezi kumlenga mwanadam akafyatua risasi....na kamwe hawezi pewa silaha....ya nini? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbuka kila binadamu ana level yake ya ukichaa, kuna point ukimfikisha mtu anakubadilikia na kuwa zaidi ya mnyama. Unadhani wakipewa hizo silaha hawawaangalii mkuu?
 
Ngoja niwapigie simu wale jamaa zangu wa " crimes of passion" watatupa full story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…