Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Kabla ya ukoloni kuleta Dini Africa kwa mababu zetu, walikuta mababu zetu wanaoa mke zaidi ya mmoja na wanaishi kwenye mji mmoja comfortably.....

Waislamu wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja na wanaishi comfortably..

Kwenye Bible tunaona zipo hadithi za Mitume na manabii kuwa na wake zaidi ya mmoja na waliishi bila shida...

Hakuna niliposikia mwanamke anaolewa na mwanaume zaidi ya mmoja, hakuna palipoandikwa kwenye dini yeyote mwanamke anaolewa na mwanamme zaidi ya mmoja, Hakuna historia yeyote ya mababu inayosema yupo mwanamke aliyeolewa na mwanaume zaidi ya mmoja..

Mwanamke kuwa na uhusiano na wanaume huku na kule huwa ni fedheha kwa Mwanamke na jamii humuita na kumuona malaya japo hufanya kwa kificho, Mwanamme kuwa na mahusiano meengi sio issue na jamii huona kawaida kwasababu hiyo ni sifa ya mwanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja...

Kuishi tofauto na nature ya mwanadamu ndio kumemfanya Mwanamke kuwa kiumbe korofi na kutaka umiliki wa ufalme...HAPANA ..
 
Ndoa hizi zinahitaji AKILI kuzimudu. Hivi kama mme( hata kama hana interest ya kwenda) ukanunua tickets 2, mkaenda na mkeo, ukavumilia, kingeharibika kitu?. Huyu mwanamme hamwonei huruma mama yake? Is it worthy kwenda jela/ kujiua sababu ya mkeo kwenda concert?
 
Nimeondoka na hii

"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".
Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
 
Tatizo uhuru huo ndo unasababisha usaliti, hakuna mwanaume anaweza vumilia kuchapiwa hiyo ni asili, so nyie wanawake inabidi kabla hujamsaliti mme wako ni bora ukaondoka hapo kwa mwanamme, sio unafanya usaliti then unarudi kupata hifadhi.

hawajui hii ni nature.... Mwanamme akisalitiwa ni kama nchi imetekwa na adui na hili hudisturb sana ubongo..
 
Miaka ya nyuma nilitembelea na kuishi visiwani kama Ntama Kome Zilagura Kasalazi Gembare Chamagati Soswa n.k nikutana na watu wanakupa stori zao na matukio yako na wamejichimbia huko Dah uwezi amini Tanzania ni kubwa aisee watu wamepotea miaka na miaka kumbe wapo visiwani tu
 

kwanini mwanamke asinunue tiketi na kumsuprise mume wake kumpeleka kwenye concert... ?
 
Midude ya namna hii kumuoa na kumuweka ndani ni ujinga wa standard gauge .
Hawa ni chapa ilale , tembea!! yani hadi mwenyewe ajue kabisa kwamba hakuna mipango endelevu.
 
Sasa mtu unaoa mwanamitindo unategemea nini
 
Hiyo ni ndoa ya pili, huyu jamaa kweli kama alikuwa muowaji angefanya upelelezi kilichofanya atoke ndoa ya kwanza, ndoa ya kwanza jamaa alinyosha mikono, huyu jamaa wakakutana uko kwenye bata, clubs wakatangaza ndoa. Hao piss kali siyo wa kuweka ndani piga pumbu songa mbele, usifute number yake, ukiitaji mwite piga pumbu kata kona kuwa nao kwenye nyumba moja kitanda kimoja ni stress za kufa mtu. kama jamaa alikuwa anamuchora uko kwa diamond akiwa na jamaa mwingine na huyo binti hakujua Kama jamaa yupo pale kwenye tukio. Ndo kasheshe ilipoanzia, hilo danga lake baada ya kupiga pumbu binti karudi home kamukuta jamaa kaiva sana ndo maana alipiga risasi 7 bila kujielewa. Inasemekama binti ana madanga zaidi ya 10 hapo mjini Mwanza. Anayapanga vizuri kila mmoja kwa wakati wake. Kwa vile jamaa muda mwingi yuko mgodini binti anapata muda wa kutosha kugawa ubinti wake.
 

Attachments

  • VID-20220530-WA0008.mp4
    6.7 MB
" Mke aliaga mume alhamisi anaenda Shinyanga kumfanyia mteja wake make- up anarudi ijumaa ,mume kamruhusu, mke ijumaa hajarudi , jumamosi kaenda kuangalia mpira Simba na Yanga, kutoka Kirumba hajarudi home kainganisha Show ya Diamond," Mume kapanick , and the rest is history.
 
Kipindi hichobkiliwezekana ila sio dunia ya Leo, visiwa vingi vina watu wenye smartphone, pia watu wengi wanaenda nunua samaki/dagaa huko kutoka mijini, yani tayari picha za jamaa zishasambaa sana, hata uende Goziba, utakuka jamaa tayari anafahamika.

Hivyo njia pekee ni kuvuka boarder, huko Uganda ndio utakuta hawana interest na story za bongo, huko ndio anaweza ishi na kuanza maisha mapya, kama kaondoka na boat yake, basi huo ndio mtaji wake.
 
udogo unajichagulia vizuri tu! labda ndo maana baada ya muda eneo fulani linagundulika kuwa na madini
 
Kwa hisani ya watu wa Ukrein [emoji1]
 
Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
changamoto ya wanawake wazuri na hasa hawa wanaojiona weupe halafu watoke familia bora ambao siku zote wanafikiri wanapendwa na wanaume wengi huwa wingi hawajitambui na hawako tayari kubembeleza mapenzi na haya ndo matokeo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…