samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Kabla ya ukoloni kuleta Dini Africa kwa mababu zetu, walikuta mababu zetu wanaoa mke zaidi ya mmoja na wanaishi kwenye mji mmoja comfortably.....
Waislamu wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja na wanaishi comfortably..
Kwenye Bible tunaona zipo hadithi za Mitume na manabii kuwa na wake zaidi ya mmoja na waliishi bila shida...
Hakuna niliposikia mwanamke anaolewa na mwanaume zaidi ya mmoja, hakuna palipoandikwa kwenye dini yeyote mwanamke anaolewa na mwanamme zaidi ya mmoja, Hakuna historia yeyote ya mababu inayosema yupo mwanamke aliyeolewa na mwanaume zaidi ya mmoja..
Mwanamke kuwa na uhusiano na wanaume huku na kule huwa ni fedheha kwa Mwanamke na jamii humuita na kumuona malaya japo hufanya kwa kificho, Mwanamme kuwa na mahusiano meengi sio issue na jamii huona kawaida kwasababu hiyo ni sifa ya mwanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja...
Kuishi tofauto na nature ya mwanadamu ndio kumemfanya Mwanamke kuwa kiumbe korofi na kutaka umiliki wa ufalme...HAPANA ..