Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa we mtu mumeo anapiga simu mara 42 hupokei uko nje ya mji eti unadai umechoka!! yaani kuchukua simu hata basi kuiweka loud au headphone inakuwa shida !!? huyo alikuwa ananyanduliwa
 
Kuzaliwa Africa shida sana.Hapa wanaume wamejaa na kuanza kujustify mauaji ya huyo mwanamke!Na tutatatawaliwa mpaka mwisho wa dunia kama wanaume wenyewe ndio nyie.

usilolijua, wanaume wote dunia nzima wanafanana...kuanzia USA, Urusi mpaka Yemeni.

By nature mwanaume ameumbwa kuwa kichwa, usaliti wowote kwake ni kama nchi iliyovamiwa na nchi nyingine...

Ukiona mtu ana hela zake muache, kama unataka uhuru na kufanya starehe ni bora ukaishi mwenyewe au ukalolewa na utakayeona unampenda na atakuridhisha.....
 
Ila wanaume wao sawa wafanye umalaya ?
 
Jamaa kenge sana na midevu yake unauaje mtoto mbichi kama huyu??labda jamaa ni wale suruali fupi kaishi pakstan wanabrainwash kwanza ukimuona kwa sura ana miss manegment kichwani nivilw watu huwa awajiulizi
Toa ujinga wako hapa. Mtu amuue mwengine kwa sababu zake binafsi zisizohusiana na dini, matusi uwatukane watu wa Sunnah. Nyie watu mnaudhi sana.
 
Duh,mkuu not kumtoa uhai
Unaachana naye tu
Najua ngumu wa wengine

Ova
 
Swalha mwenye mzuri sana aisee mwamba nae wivi mwingi, watoto wa kiume tupunguze hasira na wivu, hawa viunbe tuishi nae kwa akili tu
 
Mbona huyo mumewe haujampa RIP? Au mpaka ithibitishwe kuwa kafa?
 
Hivi jinsia yenu ina tatizo gani na image risasi saba kwa kweli hata chetani alichangaa kwa tukio hili🤷🏼‍♀️
Ndio mjue kuchagua wanaume sasa kwa usahihi na wanaume nao wachague kwa usahihi.. Maana hao wote inaoneaka walikuwa na shida pahala fulani ila mwanaume kazingua zaidi
 
Hivi jinsia yenu ina tatizo gani na image risasi saba kwa kweli hata chetani alichangaa kwa tukio hili🤷🏼‍♀️
Kwani silaha gani ilitumika? Kwa jinsi shetani anavyoelezewa, sidhani kama ana hisia kama kushangaa. Labda kama wapo wengi na ni tofauti tofauti!
 
Mkuu asante sana. Naona umepata ''likes'' nyingi na nakuhakikishia kuwa wengi wameona na wanashukuru busara ulizotoa hapa, nikiwepo mimi. Ni wengi wanapitia kwenye mtihani kama huu na utakuwa umewasaidia sana.
 
Ndio mjue kuchagua wanaume sasa kwa usahihi na wanaume nao wachague kwa usahihi.. Maana hao wote inaoneaka walikuwa na shida pahala fulani ila mwanaume kazingua zaidi
Mpendwa binadamu ana kawaida ya kuficha udhaifu wake baada ya kujua kwa sasa kakumiliki ndipo anaanza kuonesha rangi yake halisi ila huyo Mwanamke kwa kumuangalia anaonesha mpenda starehe na kuna uwezekano mwanaume kampata huko sasa alitegemea aache haiwezekani.
 
Ila wanaume wao sawa wafanye umalaya ?
Wapi umesoma kuhusu mme wa marehemu kufanya umalaya? Punguzeni umalaya mfurahie utamu wa ndoa, mkileta ujuaji adhabu yetu ni hiyo.

Na yakikushinda useme mapema upewe talaka saba, sio ung'ang'ania kuwa katika ndoa ilihali bado una vinasaba vya kihuni.

HESHIMUNI WAUME ZENU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…