mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kile ni chombo cha burdan siyo mkeMimi bado lawama napeleka kwa mwanaume mwenzetu. Aliolea tamaa.
Jamaa alikosea hapo
Sema katumia njia siyo kabisa ya kumuaa angeaachana naye tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile ni chombo cha burdan siyo mkeMimi bado lawama napeleka kwa mwanaume mwenzetu. Aliolea tamaa.
Sasa we mtu mumeo anapiga simu mara 42 hupokei uko nje ya mji eti unadai umechoka!! yaani kuchukua simu hata basi kuiweka loud au headphone inakuwa shida !!? huyo alikuwa ananyanduliwaHuyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ungejitolea posaLakini na nyie kwanini kumzuia mwenzako asiende kwenye shoo kitu roho inapenda?
Kwanini mnataka kusikilizwa nyie tu, kwanini wake zenu hamuwasikilizi?
Kuzaliwa Africa shida sana.Hapa wanaume wamejaa na kuanza kujustify mauaji ya huyo mwanamke!Na tutatatawaliwa mpaka mwisho wa dunia kama wanaume wenyewe ndio nyie.
Ila wanaume wao sawa wafanye umalaya ?Huyo marehemu ndio sampuli ya namna hii, aliolewa akavunja ndoa sasa kakutana na kisiki cha kisukuma akasema haiwezekani amemtanguliza mapema kwenda kubusu miguu ya shetani.
Mwanamke mwenye vinasaba vya usaliti na umalaya hapaswi kusamehewa, hata zamani kwenye maandiko wanawake kama hawa walikuwa wakipondwa mawe hadi kifo.
Toa ujinga wako hapa. Mtu amuue mwengine kwa sababu zake binafsi zisizohusiana na dini, matusi uwatukane watu wa Sunnah. Nyie watu mnaudhi sana.Jamaa kenge sana na midevu yake unauaje mtoto mbichi kama huyu??labda jamaa ni wale suruali fupi kaishi pakstan wanabrainwash kwanza ukimuona kwa sura ana miss manegment kichwani nivilw watu huwa awajiulizi
Duh,mkuu not kumtoa uhaiHuyo marehemu ndio sampuli ya namna hii, aliolewa akavunja ndoa sasa kakutana na kisiki cha kisukuma akasema haiwezekani amemtanguliza mapema kwenda kubusu miguu ya shetani.
Mwanamke mwenye vinasaba vya usaliti na umalaya hapaswi kusamehewa, hata zamani kwenye maandiko wanawake kama hawa walikuwa wakipondwa mawe hadi kifo.
Iko siku atakuwekea kweliJuzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hivi jinsia yenu ina tatizo gani na image risasi saba kwa kweli hata chetani alichangaa kwa tukio hili🤷🏼♀️
Mbona huyo mumewe haujampa RIP? Au mpaka ithibitishwe kuwa kafa?Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.
Ila na nyie Wanawake mpunguze visirani. Inaonesha jinsi huyu Marehemu alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme wake.
Mme kakuambia sitaki uende pahala fulani then wewe unakaidi ni nini kama sio dharau na kiburi?
By the way anything else Happen for a reason.
RIP Binti Mzuri
==================================
Mama mzazi wa marehemu, Bi Tiba Mohamed anasimulia kilichotokea kuhusu ndoa ya mwanaye na mumewe ambao wamedumu katika ndoa kwa muda wa miezi mitano, kwani walifunga pingu za maisha Desemba 30, 2021.
Anasimulia: “Watoto wangu waliitwa na baba yao hapa nyumbani (Mei 28, 2022), walipofika baba yao akapata dharura hivyo hakuzungumza nao nikabaki nao tukawa tunataniana tu.
“Alikuwa akinitania kwa kufurahi kuwafunga Simba akawa anishawishi na mimi nihamie Yanga (Yanga iliifunga Simba bao 1-0 siku hiyo kwenye CCM Kirumba Mei 28, 2022).
“Baadaye baba yake akapiga simu na kusema mume wa Swalha amepiga simu kumjulisha kuwa amefika na hivyo Swalha aende akampokee Igombe.
“Swalha akasema gari yake haina mafuta, hivyo wakakubaliana wakutane nyumbani na mwanaume akasisitiza kuwa ana njaa sana, akamtaka mke wake aende akampikie.
“Nikawasindikiza hadi barabarani mida ya saa moja usiku, muda huohuo mume wake akapiga simu akiwa anafoka, nikamtaka awe na subira mkewe anakuja yupo njiani.
CHANZO CHA UGOMVI
“Kuhusu ugomvi kati yao labda ni kuhusu simu, Jumatano iliyopita alipata tenda ya kwenda kumpodoa bibi harusi Shinyanga. Alipofika huko wakati akiwa kwenye kazi mume akawa anapigapiga simu, Swalha akawa anamwambia asimpigie kwa kuwa yupo kwenye kazi.
“Ijumaa jioni akawa anamtafuta hivyohivyo na kumsisitiza arudi nyumbani, Ijumaa hiyohiyo jioni akarudi akafika nyumbani usiku, mume akawa anapiga simu, Swalha akapokea na kumwambia anaomba apumzike kwa kuwa amepodoa watu wengi na amesimama muda mrefu hivyo amechoka.
“Mwanaume akawa anaendelea kupiga simu usiku huohuo, Swalha akalala, alikuja kushtuka saa tisa usiku akakuta miss call 42. Akampigia alivyopokea wakaanza kukwaruzana tena, mwanaume akawa analalamika na kumfokea alikuwa wapi na anafanya nini mpaka hapokei simu.
“Swalha alivyoona wanazidi kugombana akaamua kuweka simu pembeni ili ugomvi usiwe mkubwa.
“Asubuhi yake mume wake akanipigia simu na kusema kuwa mke wake amemjibu vibaya. Kwa hiyo ndio akapanga kurudi Mwanza.
“Baba yake alivyomuita hapa nyumbani nadhani alitaka wazungumze kuhusu hilo, lakini ikatokea wamepishana na mume alivyofika nadhani ugomvi utakuwa uliendelea.
KUHUSU KUPIGWA RISASI
“Taarifa ni za kweli, pale ndani (wanapoishi Swalha na mumewe) kulikuwa na watoto watatu wametuambia risasi zilipigwa.
“Wanasema huyo baba alikuwa na kawaida ya kuijaribu silaha yake, mara nyingine anapiga hewani, hivyo walivyosikia mlio wa risasi wakawandelea kulala.
“Ni hadi waliposikia Swalha amepiga kelele mara moja tu lakini risasi zikawa zinaendelea kupigwa. Mtoto mmoja akaenda kusikiliza mlangoni kwa Swalha kisha akatoka mbio kwenda kwa kuwataarifu majirani.
“Wakaenda Polisi, kumbe yule mtoto alivyotoka tu yule baba naye (mume wa Swalha) akaondoka. Polisi walivyofika wakauchukua mwili wa Swalha.
“Taarifa za tukio sisi tulianza kuzipata kutoka Kisiwani huko anapofanyia kazi (mume wa Swalha), ndipo majirani wa Swalha na askari wakaja kutoa taarifa wakisema mwanangu ana hali mbaya ameshambuliwa kwa risasi.
“Baba Swalha akaondoka na ndugu zangu kwenda huko maana nilibaki nyumbani, niliishiwa nguvu baada ya taarifa hizo, nikashindwa kwenda, saa tisa usiku wakarejea na ndipo nikajulishwa kuwa Swalha ameshafariki dunia.
“Marehemu hakuwa na mtoto na sijajua nini kinaendelea mpaka sasa.
“Kuhusu huyo mume wake haijulikani yuko wapi, kwani Polisi mara ya mwisho walisema wameangalia simu yake ikaonekana yupo maeneo ya Tunza.”
JESHI LA POLISI LINAMSAKA MTUHUMIWA
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi ni kuwa ni kweli tukio hilo limetokea kutokana na mgogoro wa ndani wa kifamilia na mtuhumiwa ametoroka, anaendelea kusakwa kwa kuwa alitoroka baada ya tukio.
Kuhusu madai kuwa mtuhumiwa ni mtu wa usalama kama inavyodaiwa na baadhi ya watu amesema sio kweli, ni mvuvi na anamiliki silaha yake kihalali. Jina lake halijatajwa kutokana na sababu maalum.
Huyo jamaa ilibidi ate mbele jukwa la warembo wakali jf,ajione lazima angepata kituSwalha mwenye mzuri sana aisee mwamba nae wivi mwingi, watoto wa kiume tupunguze hasira na wivu, hawa viunbe tuishi nae kwa akili tu
Ndio mjue kuchagua wanaume sasa kwa usahihi na wanaume nao wachague kwa usahihi.. Maana hao wote inaoneaka walikuwa na shida pahala fulani ila mwanaume kazingua zaidiHivi jinsia yenu ina tatizo gani na image risasi saba kwa kweli hata chetani alichangaa kwa tukio hili🤷🏼♀️
Pamoja na dada zako wapigwe visu au?Mwanaume wa kweli lazima akupige tukio, unakuwaje fala kisa mapenzi. Kama huna bastola zamisha kisu cha bega. Hawa wanawake wana ufala mwingi na tumekubaliana ndio dawa yao hiyo.
Kwani silaha gani ilitumika? Kwa jinsi shetani anavyoelezewa, sidhani kama ana hisia kama kushangaa. Labda kama wapo wengi na ni tofauti tofauti!Hivi jinsia yenu ina tatizo gani na image risasi saba kwa kweli hata chetani alichangaa kwa tukio hili🤷🏼♀️
Mkuu asante sana. Naona umepata ''likes'' nyingi na nakuhakikishia kuwa wengi wameona na wanashukuru busara ulizotoa hapa, nikiwepo mimi. Ni wengi wanapitia kwenye mtihani kama huu na utakuwa umewasaidia sana.Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.
Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu jf muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamzi ya kiume kabla hamjachelewa.
"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".
Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
Ataachwa na kilema, hakuna mwanamme anayeweza vumilia dharau kutoka kwa mwanamke aliyemtolea mahali, never on earth..Duh,mkuu not kumtoa uhai
Unaachana naye tu
Najua ngumu wa wengine
Ova
Mpendwa binadamu ana kawaida ya kuficha udhaifu wake baada ya kujua kwa sasa kakumiliki ndipo anaanza kuonesha rangi yake halisi ila huyo Mwanamke kwa kumuangalia anaonesha mpenda starehe na kuna uwezekano mwanaume kampata huko sasa alitegemea aache haiwezekani.Ndio mjue kuchagua wanaume sasa kwa usahihi na wanaume nao wachague kwa usahihi.. Maana hao wote inaoneaka walikuwa na shida pahala fulani ila mwanaume kazingua zaidi
Wapi umesoma kuhusu mme wa marehemu kufanya umalaya? Punguzeni umalaya mfurahie utamu wa ndoa, mkileta ujuaji adhabu yetu ni hiyo.Ila wanaume wao sawa wafanye umalaya ?