Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Hana uzuri kivileee,mirangirangi tu make ups tu
Ila jamaa kazingua angechana naye tu
Madem wazur ni wengi tu

Ova
 
True indeed! Kwa wale ambao hamjaoa: Mna bahati sana kwani technolojia imerahisisha sana namna mnaweza kumjua mwanamke mzuri. 1. Mwanamke anayejipost sana kwenye social media kaa naye mbali. 2. Wanawake wanaojifanya kufanya ''biashara'' za kupamba kumbi, mabibi harusi, kutengeneza keki nk waangalia kwa macho mawili.
 
View attachment 2244316
Wanawake kuna la kujifunza hapa,Mwanaume anaye nyanyua mkono wake na kukupiga kibao au ngumi hata aombe msamaha vipi iko siku atakupiga teke la mbavu huyu marehem ilitakiwa aliache hili ibilisi haraka sana.
Hamna kitu wanaelewa watakufa sana akili zao ziko kweny makalio ndo kitu wako wanaringia
Bastola tu mpaka wakome nampa bigup jamaa
 
Mwanamke hajaumbwa kuzururazurura, tunapoenda tofauti na nature na kudharau elimu ya uumbaji ndio hizi shida zinaanza...

Lile shimo ni hatari likishamilikiwa na mtu halafu ghafla ukatokea uvamizi...lolote linaweza kutokea..

Dada zetu ukishakubalu kumilikiwa na mwanaume na ukakubari utii kwenye serikali jiepushe sana na usaliti + kutotii mamlaka, lolote linaweza kutokea...
 
Hamna kitu wanaelewa watakufa sana akili zao ziko kweny makalio ndo kitu wako wanaringia
Bastola tu mpaka wakome nampa bigup jamaa
Yaani Mwanaume anakupiga mpaka unazima ukiamka unaendelea nae huu upendo wa aina gani😬
 
Wapi umesoma Swalha alikuwa Malaya ?
 
Ndio maana nimesema mwanaume kazingua zaidi, mwanamke anakuwa defined sana na mazingira uliyo mkuta. Unapo amua kuwa nae it means ukubaliane na ulivyo mkuta na kama unataka abadirike pia uvumilie na uende nae kwa akili na maarifa. Kitu ambacho vijana wana fail, leo mmekutana unataka kesho abadirike haijawahi kuwa hivyo
 
Mwanamke umempata baa,kumbi za starehe unategemea ukimuweka ndani ataacha kuna vitu vipo ndani ya moyo kuacha haiwezekani labla mhusika aamue mwenyewe,Watu wajifunze kuoa wa kufanana nao.
 
Kuna wanawake wengine mkiwa kwenye uchumba kabla hujamuoa utaona ni mtu wa maana anayekusilikiza lakini ukishamuoa utaona anabadilika taratibu haswa akishaanza kujua baadhi ya issue zako,
Wanawa
Kama umemuoa TEGEMEZI basi jua ni sehemu ya MKATABA WA NDOA KUMUHUDUMIA....

usitake kumwekea vikwazo baada ya kumwoa!!!!!

Umemchoka ni bora mkaachana...
Kwa sampuli ya watu kama wewe hivi vifo vitaendelea
 
Ndoa ina miezi minne yaani hawa inaelekea usiku wa harusi yao walikiwasha 😬
 
Huyo bwana basi alikuwa bwege sana unalazimishaje kuoa wakati kama huwa unamtia.
 
Ndoa ina miezi minne yaani hawa inaelekea usiku wa harusi yao walikiwasha 😬
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mambo ya kuopoa The Cask au Diamond lazima akili ikukaa sawa kama huna kifua kipana cha kuvumilia mtu kipindi cha kumbadilisha au kipindi cha kubadilishana tabia ili muweze ku fit.. ila jamaa hata kimuonekano anaoneka bola ya mwanamke, yule mwanamke ni rahisi sana kubadilika kwa sie waataalamu wabobezi ila mwanaume ni mtu wa uchungu uchungu anaonekana
 
Mwanamke mwenye marafiki wengi naye siyoooo
Atajazwa tu ujinga

Ova
 
Najaribu kuwaza tu ikiwa kwenda kwenye shoo tu kamfumua risasi zote hizo, sipati picha huyo bro akikufumania unamkula mke wake atakufanya Nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…